Magori: Selemani Mwalimu mchezaji gani yule wa kumlipia Tsh. Bil. 1 kwa mkopo?

Magori: Selemani Mwalimu mchezaji gani yule wa kumlipia Tsh. Bil. 1 kwa mkopo?

Yule mzee ubongo ushachoka, bado anaishi kizaman🤣
😀 wewe na Magori tukusikilize wewe kweli..... Tukiweka tu vigezo hivi vitatu EXPOSURE.EXPERIENCE NA EDUCATION.
Kuna mtu naishi kizamani anakuwa vile...
Hata kama ni utani kuna time tuwe na appreciation.
 
Huyu jamaa ndiyo simba inamtegemea kuongoza, bogus
Hapo alikuwa anataka kuanza kukuna matako kama kawaida yake
 
Watakatisha fedha ndio wanazo pesa za kuchezea ngoja mama yao aondoke tutaelewana tu, yale mabakuli yao wasijisahau wakayatupa.

Wasije na visingizio vyao vya wamefilisika.
Mnatamani magu arudi mumpe GSM kesi kama ilivyotokea kwa manji,duniani kote mpira unataka pesa,sio pesa ikae bank eti halafu jukwaani utangaze unataka kubeba ubingwa wa afrika
 
😀 wewe na Magori tukusikilize wewe kweli..... Tukiweka tu vigezo hivi vitatu EXPOSURE.EXPERIENCE NA EDUCATION.
Kuna mtu naishi kizamani anakuwa vile...
Hata kama ni utani kuna time tuwe na appreciation.
Labda experience ila education na exposure akitanua tu domo lake unajua ni zero😄
 
Back
Top Bottom