Matokea tutapata je ni ya kushinda au kufungwa? Sele akicheza anatupiaYanga wamedanganywa wanatambulisha Namba 6 ya mpira, ilitambulishwa?!
Ni haki kuchukia kwasababu tunachekwa mtaani.
Ila trust me, tukifanikiwa kupata matokeo kwenye mechi ya kesho kila kitu kitabadilika. Time will tell.!
Wakati mwingine muoneeni huruma Mo. Yule naye ni binadamu sio kwa kumpiga kule. Huku mmemletea Mwangosi haijatosha mmemletea Doumbia. Na mbaya zaidi mmeamua kumdhalilisha duniani live kwa video call ya Mwalimu.Hili gazeti halina paragraph!
Ajichunge asiyejua kutimiza promise mpaka akakiri mwenyewe alikuwa tayari kuja Simba.
Sio Simba wajichunge kwa kukataa kutoa mapesa mengi kwa ajili ya mchezaji wa mkopo.
Hiyo akili matope ipo kwa watakatisha fedha tu.
Ni mchezaji wa kawaida. Faida yake ni mzawa tu, hajazi nafasi za usajili.Matokea tutapata je ni ya kushinda au kufungwa? Sele akicheza anatupia
Kwa miaka ya hivi karibuni simba tumekuwa wanyonge katika usajili unakubaliana na hili? Najua we ni mwanasimba mwenzangu ila nakusihi acha kuwaamini viongoz wetu, wagaigai kinoma noma,Yanga wamedanganywa wanatambulisha Namba 6 ya mpira, ilitambulishwa?!
Ni haki kuchukia kwasababu tunachekwa mtaani.
Ila trust me, tukifanikiwa kupata matokeo kwenye mechi ya kesho kila kitu kitabadilika. Time will tell.!
Wapi umeona bil.1? Au ukivyosikia Huyo mbwabwajaji ndo ukaamini? Mangungu ni kiongozi Bora siyo Magori kutafuta fursa.Tunaweza kulaumu kushindwa kukamilisha deal kwa wakati. Na kuuma kuna kuja kwasababu tumeshazoea kuzodoana kati ya Simba na Yanga.
Lakini hebu tusemezane kwa upole, je Sele Mwalimu anathamani ya Bilioni 1 kwa mkopo?!
Last season yote alikuwa anatokea benchi na hata sisi mashabiki hatukuwahi kumwamini Sele Mwa
Narudia, viongozi wa Simba wengi wagaigai na kona kona nyingi.Kwa miaka ya hivi karibuni simba tumekuwa wanyonge katika usajili unakubaliana na hili? Najua we ni mwanasimba mwenzangu ila nakusihi acha kuwaamini viongoz wetu, wagaigai kinoma noma,
Yanga wana kawaida moja ile siku ya kufunga dirisha la usajili usiku mnene wanashusha chuma,, This time Yanga wadead kinoma, tumekuwa underdog kila sajili😂
Tulivyomkosa Aziz Ki nikajua kabisa zile zama zetu za kupora pale jangwani kwisha kabisa, huu mwaka wa 5 tunapelea tu,
Jamaa wanamwaga pesa hatari,,
Pale EPL si unaona mwalabu anafanya kufuru na man cty, mpira pesa izi chuplichupli hazina afya kabisa
Hakuna cha husda...huna hoja ww tulia dawa iwaingie kama anatakatisha nenda na ushahidi mfungulie kesi
mengine nikuchafua watu kwa husda zako
Dola 200,000 plus player's signings on fee ya Milioni 160 inakuja ngapi kwa pesa zetu za madafu?Wapi umeona bil.1? Au ukivyosikia Huyo mbwabwajaji ndo ukaamini? Mangungu ni kiongozi Bora siyo Magori kutafuta fursa.
Sure.!Hakuna cha husda...
Hiyo ni common sense tu...
Kuna namna pesa ya GSM ni nyepesi kupatikana.
Thamani yake kubwa kwenye kuwavuruga wapinzani.Kwasababu chochote kinaweza kutokea, sitoshangaa akifunga. Lakini tukiwa wa kweli Sele Mwalimu hana thamani ya Bilioni tena kwa mkopo.
Ndio mana nikasema, mashabiki wenzangu ni wepesi kumezwa na presha na propaganda kutoka upande wa pili.Thamani yake kubwa kwenye kuwavuruga wapinzani.
Hii inaenda kuwagawa na kufubaza mauzo ya jezi na mahudhurio ya wanasimba kwenye kurasa za mitandao za Simba na viwanjani
Inaweza kuwarudisha nyuma wadhamini klabu ikapoteza mapato tarajiwa ....
Fikiria mbali.
Nashukuru umelitambua kwa sasa viongozi wetu wanapelea,Narudia, viongozi wa Simba wengi wagaigai na kona kona nyingi.
Ila wakiruhusu kutumia pesa nyingi kwa aina ya mchezaji kama Mwalimu, watakuwa mataahira zaidi.
Dirisha hili, Simba kampiga 'Knouckout' Yanga kwa Keletso, unajua hilo?
Wenzetu wameinvest kwenye propaganda hususani kwenye vyombo vya habari
Bado hujajua mbinu za biashara.Ndio mana nikasema, mashabiki wenzangu ni wepesi kumezwa na presha na propaganda kutoka upande wa pili.
Yani wadhamini washindwe kuja sababu ya Sele Gomez?!
Zaidi ya 90% ya sajili za Yanga last season wote walikuwa magarasa na wameondoka. Mbona hakuna mdhamini aliekimbia?
Nakubaliana na wewe, ila sio kwa kiwango hicho cha pesa kinachotajwa.Ni mchezaji mzuri wa ndani , ni chagua bora kabisa kwa wachezaji wa nafasi yake wa ndani
Baada ya kesho hakuna mtu atakamuwaza Sele Gomez.Bado hujajua mbinu za biashara.
Rudia kusoma maelezo yangu.
100% huu ni ukweli, japo watapinga mkuu.Thamani yake kubwa kwenye kuwavuruga wapinzani.
Hii inaenda kuwagawa na kufubaza mauzo ya jezi na mahudhurio ya wanasimba kwenye kurasa za mitandao za Simba na viwanjani
Inaweza kuwarudisha nyuma wadhamini klabu ikapoteza mapato tarajiwa ....
Fikiria mbali.
Mkuu ameandika ukweli mtu,Ndio mana nikasema, mashabiki wenzangu ni wepesi kumezwa na presha na propaganda kutoka upande wa pili.
Yani wadhamini washindwe kuja sababu ya Sele Gomez?!
Zaidi ya 90% ya sajili za Yanga last season wote walikuwa magarasa na wameondoka. Mbona hakuna mdhamini aliekimbia?