Je, ni Kweli 96% ya Wagombea wa Upinzani kwenye SM unaamini hawakufaa, na 100% CCM walikuwa Correct?Hakuna ninachokitetea kwa sababu siwezi kutetea suala ambalo halipo!
Kikao cha mpango kazi serikalini hakiwezi kuwa kama mkutano wa hadhara ndio maana kuna sheria na kanuni za utumishi wa umma ikiwa ni pamoja na kutunza siri za serikali!
Hakuna Uchaguzi Mkuu mwepesi kama ule wa 2020!
Hofu yangu ni kujikuta bungeni kuna wabunge wa upinzani wasiozidi 10 baada ya Uchaguzi Mkuu 2020!
Sina jibu halisi la swali lako kwa sababu sijui procedure zilivyokuwa katika kujaza fomu.Je, ni Kweli 96% ya Wagombea wa Upinzani kwenye SM unaamini hawakufaa, na 100% CCM walikuwa Correct?
Na apo ndo nchi itapaa zaidi kiuchumi na teknolojia... Lazma UN watupugie magoti,lazma tuingie kwenye G 8 ..bila wapinzani yote ayo yatakua poa sanaSidhani kama wabunge wa upinzani watazidi wawili au sanasana maximum ni watano au saba tu
Kitu ambacho ni dhahiri nawewe unakijua ni Kuwa CCM=Majeshi ya Nchi=Serikali=Judiciary.Sina jibu halisi la swali lako kwa sababu sijui procedure zilivyokuwa katika kujaza fomu.
Inawezekana kuna baadhi ya wagombea wa upinzani hawakutendewa haki lakini pia tuelewe kuwa kulikuwa na nafasi ya hao wagombea kukata rufaa kama hawakutendewa haki.
Wakati wagombea hao wakijiandaa kukata rufaa, baadhi ya viongozi wa juu wa vyama vya upinzani wakatoa matamko kuwa vyama vyao vimejitoa katika uchaguzi.
Aache watu wawe huru kujieleza Kama kwa TRUMP......akiendelea hivi siku ukipatikana Uhuru wa kujieleza itakuwa patashika nguo kuchanika
Demokrasia haitolewi kama zawadi na haiombwi. Kama unaamini hakuna demokrasia unatakiwa uidai kwa mbinde au kwa upinde. Jifunze sehemu nyingine duniani wamefanyaje. Mbona wakati wa JK watu walikuwa wanaidai demokrasia walipoona inaminywa..?Nini kimebadilika sasa?Mwambieni asijaribu kuruhusu demokrasia ichukue mkondo wake, UJOGOO wake utakwenda na maji mara moja.
Mkuu, wewe ndiye Profesa Palamagamba nini? Umesahau kabisa kilichowapata akina Ben Saanane, Azory Gwanda, Tundu Lissu na wengineo? Utawala huu una tofauti gani na ule utawala wa MR AMIN kule Uganda? Una tofauti gani na ule utawala wa Omar al-Bashir?Demokrasia haitolewi kama zawadi na haiombwi. Kama unaamini hakuna demokrasia unatakiwa uidai kwa mbinde au kwa upinde. Jifunze sehemu nyingine duniani wamefanyaje. Mbona wakati wa JK watu walikuwa wanaidai demokrasia walipoona inaminywa..?Nini kimebadilika sasa?
Na upuuzi huo umejaa pale chadema! Kuamini ni Mbowe tu ndio anaweza kuongoza wakati kuna wanachadema mamilioniNi upuuzi kuamini mtu mmoja anaweza kuongoza maisha yote wakati tupo watanzania millioni 55+, huu unaitwa ubinafsi na uroho wa madaraka.
Kwani hapa unafanya nini!!??Aache watu wawe huru kujieleza Kama kwa TRUMP......akiendelea hivi siku ukipatikana Uhuru wa kujieleza itakuwa patashika nguo kuchanika