Uchaguzi 2020 Magufuli akishinda tena Urais mimi nahama Nchi

Well said Mkuu.
 
Very true, yani akishinda ile kauli tutalima kwa kutumia meno itatimia kwa sababu kuu 2. Mosi, hakuna tena cha kupoteza kwa kuwa hahitaji tena kura yako. Pili atalipiza kisasi cha wengi kutomchagua/mkataa pamoja na madaraja yake alojenga.
 
Kama unaamini JPM atashindwa we tayari ushakuwa FALA tu!
Kwa hiyo ondoka zako mapema.
 
Na hii corona sijui ni wapi watakupokea, Magufuli ameshashinda Urais tunachofanya ni kukamilisha tu ratiba ya uchaguzi
 
We uwezi kuama kama ujaama adi sa ivi
 
Anza tu kuwapa wafanyakazi wako haki zao mapema siyo uje kutoroka na haki za watu.
Safari njema ya kuhama nchi,huwa hawatuwataki wakimbia tatizo kama wewe.
 
Madaraka ya kutokana na ndagu ni hatari sana!
 
Huna madhara yoyote!

Nilidhani kwamba hoja yako ni Magufuli akishinda tena utahama Nchi Kwa sababu tu ya nguvu ya upinzani ulio na nguvu na uhakika wa kumwondoa?

Kumbe unahama kumkomoa Raisi!! Hama tu mkuu, Kwa sababu ni lazima ashinde
 
sasa hiyo biashara yako ya kuuza vitunguu ndiyo unatutisha nayo? anza tu kuondoka maana tunasubiri kuapishwa kwa JPM tu kwani wewe ulitaka nani awe rais?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…