Elections 2015 Magufuli akutana na nguvu ya Umma Mbeya, azomewa, aambiwa wanamtaka Lowassa

Ni uhuni ambao unapunguza kura za ukawa toka kwa watu wastaarabu. Kama wewe umeshaamua unamtaka Lowassa huna sababu ya kwenda kupiga kelele kwenye mkutano wa Magufuli.

Kama kuna chama kisichokuwa na ustaarabu duniani ni CCM,Mfano i.Kauli ya goli la mkono ii.Kauli za Bulembe iii.Matusi ya Mkapa Jangwani na Bukoba vs Kibajaj + Msukuma iv.Nunua nunua wasani na Viongozi wa upinzani v.Mashabiki kugaiwa tiketi na mabango taifa vi.Ulaghai wa kisiasa wa Masaburi etal NB:LOWASSA ANATOSHA!
 
"I am politicians " by magufuli

Politiziano(politicians), ukisoma ulaya unakumbana na lugha za asili ya kilatini nazo ni kifaransa,Spanish, na kireno,pia kiitaliano. Sasa herufi Z inatamkwa (tz), kumbe ujue mazingira gani ametoka na unaona kabisa ndio bado kuchanganya lugha. Kwa msomi wala hana shida kwani anajua kukosea lugha sio shida kwani lugha nyingi zinakuchanganya katika kuzungumza. Kumbe unapohukumu ujue mazingira ya msomi ndio uhukumu. Se vuoi di imparare diversi lingua è così la vita di cambiamento. Take care.
 

Maguful anawatu gani zaid ya pesa za kununua watu utafikiri ni bidhaa
 

Unamfundisha mwalimu kushika chaki?.
 

Uhuni ccm walianza kitambo, hivi majuzi wamebomoa gari la sugu
 
Ni uhuni ambao unapunguza kura za ukawa toka kwa watu wastaarabu. Kama wewe umeshaamua unamtaka Lowassa huna sababu ya kwenda kupiga kelele kwenye mkutano wa Magufuli.
X-pen inauma sana ila ni dawa na sharti upate 5MIU injection 6hrly haina namna.

Pole sana ,naona imewauma sana wazee wa siasa chafu.
 

Kwani alietupa Bomu Arusha hatumjui???? Si mtu savimbi aliuwa watu halafu anajifanya kwenda kutubu kwa TB Joshua. Hiyo laana itamtafuna yeye na kizazi chake.
 
Iyo video imeniongezea chuki dhidi ya ukawa
 
mmmh hii video clip imenistua kidogo.Sikujua Wananchi wanaichukia CCM kiasi hiki
 

Nakujibu kwa kuwa nimeona utulivu Fulani ktk andishi lako.

Kama kuna uvunjaji wa taratibu na vyombo vya dola vikawa fair kwa pande ZOTE naamini tusingefika huko.

Shida ni pale kosa linapofanywa kwanza na Ccm police na tume wakakaa kimya then Ukawa wanapofanya kosa hilo na zaidi Polisi wana kuwa na hofu ya double standard hiyo tayari ni shida.

Umezungumzia kauli za mbowe vipi kuhusu maneno ya bulembo kuwa Ccm haiwezi kuachia ikulu na tume imesema ni ya kisiasa, ukweli ni kuwa MTU asiye na ufahamu Mkubwa aliyeamua kumpa kura Lowasa anaweza asiende kupiga kura . kwanini apoteze muda wakati Ccm haitaachia ikulu kwa kura??

NINATAMANI TUFIKE MAHALI VYAMA VYOTE VIFANYE SIASA ZA HAKI, NA VYOMBO VYA DOLA NA TUME VIWE HURU KUFANYA KAZI ZAO.

LKN HAYO SIO RAHISI ISIPOKUWA KWA HISANI YA CCM AU KWA KUING'OA CCM TUJIPANGE UPYA, NAFASI TULIYONAYO KWA SASA NI KUITOA CCM ILI TUANZE UPYA.
 
Halafu hizo video ndizo zinaonesha ni kwa namna gani UKIWA inaungwa mkono na watu wasiojitambua....
 

huo ulioongea hapo ni utumbo.. kama ameenda kambi ya upinzani ulitaka wafanyeje. hiyo pia ni message kwake kukubaliana na hali halisi mimi sijaona kosa lao. wewe ni sawa na mgombea ubunge wa moshi na watu wake kupiga watu wanaoonyesha kuwa wako tofauti na yeye.
 
umesahau alichokisema pombe kahama alisema kuna watu watakuja kuwadanganyeni wakija wazomeeni,nayeye alitaka kudanganya watu kazomewa.

Halafu watu wanaongea kwa kupotosha wananchi mpk wanasahau. Aliongea hivyo Magufuli kahama hakujua hatapiga hatua tatu bila mungu kumuumbua.
 

Mkuu hizi ndo siasa za bongo. Hii nipande zote wala usikemee ukawa tu. Ccm majuzi hapa waliwavalisha vijana flana za Chadema, wakawapanga waandamane dhidi ya Chadema. Mwishowake wakakamatwa nakuhojiwa wakakiri kutumwa na Masabuli.

Hivisasa huku ubungo, kunavijana wamepewa tenda yakuhakikisha popote itakapoonekana picha ya Kubenea inachanwa. Haya yanafanyika nawatu wanaona. Uchafu nimwingi sana kusema kweli nikisema nikuolodheshee kilatukio tutakesha.

Lakini mambo haya kwautashi wangu waasisi wake nihao Ccm. Malanyingi wamekuwa watu wakuanzisha vurugu wakijiona wao ndowenye haki ktk kilakitu. Nachakusikitisha wakifanya wao sioni watukama nyinyi mkikemea. Ila ikifanywa naupande wapili ndotunaona watu mkijitokeza kulaumu kanakwamba ndoleo vitendo hivi vinaanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…