Magufuli alifariki miezi 3 iliyopita lakini unaweza kudhani alifariki kabla ya Nyerere

Magufuli alifariki miezi 3 iliyopita lakini unaweza kudhani alifariki kabla ya Nyerere

Juzi nilikuwa nimekaa sehemu kimya, nikakumbuka kifo cha Magufuli. Nikajiuliza hivi kafa lini? Nikagundua ni miezi 3 tu iliyopita. Nikashtuka, ashaanza kupotea kwenye kumbukumbu zangu zaidi hata ya Nyerere aliyefariki miaka 22 iliyopita.
Tuliposema huyu sheitwani na genge lake hawafiki July tulimaanisha.

Ona Sasa kila mtu kamkana hadharani
 
Aliyesahaulika ni Maalim seif tuseme ukweli ila hauwezi kuzungumzia utawala wa Samia bila kumtaja Magufuli na jana katajwa sana ukiacha humu JF ambapo anatajwa kila siku ya Mungu.
Huwezi kuswali bila kumtaja sheitwani
 
Legacy haiandikwi. Hujiandika!
Binafsi nilimtoa kasoro JPM kwa kutomchagua hata mtoto mmoja wa Nyerere kwenye Ubunge au hata kumpa ubunge wa kuteuliwa mtoto wa Nyerere na uwezo alikuwa nao japo alijidai kufuata nyendo za baba wa Taifa.

Mama kathubutu na Wala hajidai ufuasi.
 
na kafanya mengi kuliko Nyerere na waliomfuatia combined
 
Ni swala la muda tu apa Tanzania mbaka miti na mawe Yatamkumbuka JPM, Tangu akiwa waziri mbaka akiwa Rais hakuna kiongozi yoyote aliye mkaribia katika Mambo mengi na Nchi ilikua inasonga mbele kwa Kasi Sana.
😕😱
 
Juzi nilikuwa nimekaa sehemu kimya, nikakumbuka kifo cha Magufuli. Nikajiuliza hivi kafa lini? Nikagundua ni miezi 3 tu iliyopita. Nikashtuka, ashaanza kupotea kwenye kumbukumbu zangu zaidi hata ya Nyerere aliyefariki miaka 22 iliyopita.

Si vyema kujaribu kukumbuka (recall) mabaya, jambo baya au watu wabaya, hisia mbaya au matendo mabaya...

Ili kuimarisha imani zetu chanya (positive faith), tunashauriwa kuweka katika benki zetu za kumbukumbu mambo mazuri na mema, watu wazuri na wema, matendo mazuri na mema, hisia nzuri na njema...

Acha kabisa kumweka mtu mbaya katika kumbukumbu zako kwa sababu atakuwa anasababisha kukosa amani yako na kukurejesha katika hisia mbaya na visasi ambavyo vitaharibu mahusiano yako na Mungu muumba wako....!

Kumbuka uzuri wa Mungu. Kumbuka matendo makuu ya Mungu kupitia kwa watu wake wema. Mtukuze Mungu kwa hayo...
 
Yule kafungiwa chemba maalumu ya mateso hatuwezi kukutana naye.Labda wewe na ukoo wenu.Jamaa kafungiwa na kina hitler na stalin
Sawaaa bwana baiskeliii...muda utaongeaaa...ila najua hata ww moyoni unasema kabisaa jmp was the real deal in bongooo...
 
Juzi nilikuwa nimekaa sehemu kimya, nikakumbuka kifo cha Magufuli. Nikajiuliza hivi kafa lini? Nikagundua ni miezi 3 tu iliyopita. Nikashtuka, ashaanza kupotea kwenye kumbukumbu zangu zaidi hata ya Nyerere aliyefariki miaka 22 iliyopita.
Ww kweli kichaa unajichanganya mara useme ukamkumbuka!!?
mara amepotea kwenye kumbukumbu zako..
unaandika ushubwada tu hapa!!?
 
Back
Top Bottom