Mbona ile kumzungumzia kila siku ni kumbukumbu au legacy toshaKumbukumbu yake itakuja kurudi kwa speed ww kaa kwa kutulia ni swala la muda tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona ile kumzungumzia kila siku ni kumbukumbu au legacy toshaKumbukumbu yake itakuja kurudi kwa speed ww kaa kwa kutulia ni swala la muda tu
Mbona tayari unamkumbuka kwa kumtaja hayati. Nyinyi watu wa ajabu sana.Hakuna mwenye akili timamu akamkumbuka dikteta, aliyebariki utekaji na kupigana risasi,maiti kutupwa kwenye viroba, kauli za ovyo Kama "BAKINI NA MAVI YENU MAJUMBANI"
Daaa...mkuu nikupe pole sana ww pamoja na familia yako na mademu zako na wake zako..magu alikufanyia kitu kibaya sana..pole sana..ndo maisha jitahd kukubaliana na hali halisi kashasepa hivyoo utafuata ww mtakutana huko mbele..kikubwaa songa mbele..ila uacha ujanja ujanja na ukanjanja wa kuwa na vyeti feki, kutolipa kodi na upuuzi mwingine.Juzi nilikuwa nimekaa sehemu kimya, nikakumbuka kifo cha Magufuli. Nikajiuliza hivi kafa lini? Nikagundua ni miezi 3 tu iliyopita. Nikashtuka, ashaanza kupotea kwenye kumbukumbu zangu zaidi hata ya Nyerere aliyefariki miaka 22 iliyopita.
AHAAA SAFI SANA KIONGOZI,UZI WAKO NIMEUPENDA SANAA......Juzi nilikuwa nimekaa sehemu kimya, nikakumbuka kifo cha Magufuli. Nikajiuliza hivi kafa lini? Nikagundua ni miezi 3 tu iliyopita. Nikashtuka, ashaanza kupotea kwenye kumbukumbu zangu zaidi hata ya Nyerere aliyefariki miaka 22 iliyopita.
umeandika uongo.Juzi nilikuwa nimekaa sehemu kimya, nikakumbuka kifo cha Magufuli. Nikajiuliza hivi kafa lini? Nikagundua ni miezi 3 tu iliyopita. Nikashtuka, ashaanza kupotea kwenye kumbukumbu zangu zaidi hata ya Nyerere aliyefariki miaka 22 iliyopita.
MTANIKUMBUKA!!
Shida ni kwamba unakumbukwaje?Kuwa president wa nchi hata kaa asahaulike kwenye historia ya nchi hii labda nchi hii ije ifutwe
Aliishi vibaya sn na jamiiHakuwa kiongozi bali mtawala
Kila mtu atachagua la kulikumbuka, hata huyo Baba wa taifa kuna wengine wanamkumbuka kwa matendo yake mabaya tu na kumlaani.Shida ni kwamba unakumbukwaje?
Nobody will came to remember of him,#Tutende mema na mazuri kwa binadamu wote maisha ni mafupi mpo na hatuna cha maana hapa duniani "" we are strangers"evil always consume evilour" wenzetu weupe katika Akili ya kawaida wametuzidi sana life is sometime nothing at all.Ni swala la muda tu apa Tanzania mbaka miti na mawe Yatamkumbuka JPM, Tangu akiwa waziri mbaka akiwa Rais hakuna kiongozi yoyote aliye mkaribia katika Mambo mengi na Nchi ilikua inasonga mbele kwa Kasi Sana.
Umesahau matusi na uongo.Kwa utekaji
Kwa kutokutuongezea madaraja
Kwa kauli chafu
Labda mawe ya kuchambia yale ya zamani,ya kijijini kwenu.Ni swala la muda tu apa Tanzania mbaka miti na mawe Yatamkumbuka JPM, Tangu akiwa waziri mbaka akiwa Rais hakuna kiongozi yoyote aliye mkaribia katika Mambo mengi na Nchi ilikua inasonga mbele kwa Kasi Sana.
Yule kafungiwa chemba maalumu ya mateso hatuwezi kukutana naye.Labda wewe na ukoo wenu.Jamaa kafungiwa na kina hitler na stalinDaaa...mkuu nikupe pole sana ww pamoja na familia yako na mademu zako na wake zako..magu alikufanyia kitu kibaya sana..pole sana..ndo maisha jitahd kukubaliana na hali halisi kashasepa hivyoo utafuata ww mtakutana huko mbele..kikubwaa songa mbele..ila uacha ujanja ujanja na ukanjanja wa kuwa na vyeti feki, kutolipa kodi na upuuzi mwingine.
Yule alikuwa jembe asiependa upuuz wa kina sandali..wacha apumzikee sisi ametufanyia mambo makubwaa sana..nikipita pale ubungo fly over, nikienda tazara..nikitazama hospital huku kijjn kwetu, nikitazama maji yaliyoletwa kijjn baada ya miaka 50 nikitazama shule zilivyoboreshwaa majengo yakee..nikitazama nidhamu aliyoiweka kwa ofc za uma, nikitazama kiwanda cha uchenjagi wa dhahabu mwanza..nikitazama masoko ya madini kwenye mikoa mbalimbali...bwana bwana..ni mengi mno..nabakia kutokwa na machozi kumpoteza mtu kama yule.
Kwa sasa sielew kinachoendelea ni mauza uza tu..corona inalazimishwa kuja na wakat haitak, mikataba ya kishenzi ya kiswahili inafanyika kipuuzi..mambo ya ajab ajab...
Aaaaahhh..wacha tuliwe tenaaaa..
Ndoto ya jinamizi husahaulika kirahisi...Juzi nilikuwa nimekaa sehemu kimya, nikakumbuka kifo cha Magufuli. Nikajiuliza hivi kafa lini? Nikagundua ni miezi 3 tu iliyopita. Nikashtuka, ashaanza kupotea kwenye kumbukumbu zangu zaidi hata ya Nyerere aliyefariki miaka 22 iliyopita.
Acha utani bro!!! Yaani unataka kusema Jiwe Bulldozer kesha sahaulika mara moja hii? Yeye akisema Watz watamkumbuka kwa mama aliyoifanyia TZ k.m.Flyovers, SGR na Bwawa la Nyerere!!!Je, na hayo Watz wesha yasahau tayari?Juzi nilikuwa nimekaa sehemu kimya, nikakumbuka kifo cha Magufuli. Nikajiuliza hivi kafa lini? Nikagundua ni miezi 3 tu iliyopita. Nikashtuka, ashaanza kupotea kwenye kumbukumbu zangu zaidi hata ya Nyerere aliyefariki miaka 22 iliyopita.
Watu makopa kama weye mnatakiwa muda huu muwe gereza la Kisongo pamoja na mhuni mwenzenu Ole Sabaya!!Ni swala la muda tu apa Tanzania mbaka miti na mawe Yatamkumbuka JPM, Tangu akiwa waziri mbaka akiwa Rais hakuna kiongozi yoyote aliye mkaribia katika Mambo mengi na Nchi ilikua inasonga mbele kwa Kasi Sana.