Magufuli alifariki miezi 3 iliyopita lakini unaweza kudhani alifariki kabla ya Nyerere

Magufuli alifariki miezi 3 iliyopita lakini unaweza kudhani alifariki kabla ya Nyerere

Wewe utakuwa taahira,

Wenzio humu haipiti siku asipotaja jina la Magu anaanza kuharisha,

Hata nyuzi zinazoanzishwa humu hugeuka na kuwa za kumjadili magu badala ya mada iliyopo.

Wewe utakuwa ni nyumbu uko porininna siyo ufipa
 
Juzi nilikuwa nimekaa sehemu kimya, nikakumbuka kifo cha Magufuli. Nikajiuliza hivi kafa lini? Nikagundua ni miezi 3 tu iliyopita. Nikashtuka, ashaanza kupotea kwenye kumbukumbu zangu zaidi hata ya Nyerere aliyefariki miaka 22 iliyopita.
Kumbukumbu yake itakuja kurudi kwa speed ww kaa kwa kutulia ni swala la muda tu
 
Hebu ukipata wasaa naomba unisaidie kujijibu
Naona sasa hivi mko wote ccm!?

Mnasema mbaya wenu kafa kwahiyo sasa tuko vizuri tumeungana na mama kujenga nchi!

Mambo ni super! Magu alituchelewesha sana, sasa tuko vizuri, ccm imeji update, legacy inajifuta, tuko na mama

Ccm mbele kwa mbele. Mi 10 tena kwa mother,
 
Juzi nilikuwa nimekaa sehemu kimya, nikakumbuka kifo cha Magufuli. Nikajiuliza hivi kafa lini? Nikagundua ni miezi 3 tu iliyopita. Nikashtuka, ashaanza kupotea kwenye kumbukumbu zangu zaidi hata ya Nyerere aliyefariki miaka 22 iliyopita.
Mungu Fundi nyie!! [emoji3][emoji3]
 
MTANIKUMBUKA!!

Mimi nitamkumbuka kwa kuongezea nyama kwenye kitabu changu cha ujasiriamali kwa mambo yafuatayo 1.Sera za kukurupuka na zinazo badilikabadilika (regime uncertainty) 2.Kuwacha Viongozi wa kitaifa wakijitoa ufahamu kwenye mamuzi ya kitaifa kwa masirahi ya wachache (unyumbu) 'herding behaviour'
 
Juzi nilikuwa nimekaa sehemu kimya, nikakumbuka kifo cha Magufuli. Nikajiuliza hivi kafa lini? Nikagundua ni miezi 3 tu iliyopita. Nikashtuka, ashaanza kupotea kwenye kumbukumbu zangu zaidi hata ya Nyerere aliyefariki miaka 22 iliyopita.
Ni ngum kumsahau mtu uliyemsoma vitabuni kuanzia darasa la kwanza,hadi nyimbo za mashuleni zilikuwa ni nyerere.
 
Naona sasa hivi mko wote ccm!?

Mnasema mbaya wenu kafa kwahiyo sasa tuko vizuri tumeungana na mama kujenga nchi!

Mambo ni super! Magu alituchelewesha sana, sasa tuko vizuri, ccm imeji update, legacy inajifuta, tuko na mama

Ccm mbele kwa mbele. Mi 10 tena kwa mother,
Aah ok.. But remember one thing.. Mtoto wa nyoka sio kenge.. Ni nyoka na sumu ni ileile
 
Nimekupa like ili angalau hii uikumbuke utakapokuwa unakumbuka kutokukumbukwa kwake [emoji23]
Ni swala la muda tu apa Tanzania mbaka miti na mawe Yatamkumbuka JPM, Tangu akiwa waziri mbaka akiwa Rais hakuna kiongozi yoyote aliye mkaribia katika Mambo mengi na Nchi ilikua inasonga mbele kwa Kasi Sana.
 
Kumbe kwenye kumbukumbu zako nilidhani kumbukumbu za watanzania.Pole sana kapime huenda una matatizo ya akili.
 
Back
Top Bottom