Magufuli alifariki miezi 3 iliyopita lakini unaweza kudhani alifariki kabla ya Nyerere

Ni swala la muda tu apa Tanzania mbaka miti na mawe Yatamkumbuka JPM, Tangu akiwa waziri mbaka akiwa Rais hakuna kiongozi yoyote aliye mkaribia katika Mambo mengi na Nchi ilikua inasonga mbele kwa Kasi Sana.
Nchi ilikuwa inaenda shimoni, Mungu aliingilia kati. Huyo jamaa hata huko aliko afe tena
 
Juzi nilikuwa nimekaa sehemu kimya, nikakumbuka kifo cha Magufuli. Nikajiuliza hivi kafa lini? Nikagundua ni miezi 3 tu iliyopita. Nikashtuka, ashaanza kupotea kwenye kumbukumbu zangu zaidi hata ya Nyerere aliyefariki miaka 22 iliyopita.
Angepotea kwenye kumbukumbu zako ungemkumbuka hapo ulipokuwa umekaa kimya? Unafki huu.
 
Juzi nilikuwa nimekaa sehemu kimya, nikakumbuka kifo cha Magufuli. Nikajiuliza hivi kafa lini? Nikagundua ni miezi 3 tu iliyopita. Nikashtuka, ashaanza kupotea kwenye kumbukumbu zangu zaidi hata ya Nyerere aliyefariki miaka 22 iliyopita.
Ukiangalia Magufuli kauli yake ile ya "MTANIKUMBUKA" hakukosea, mtawala au kiongozi anaweza akakumbukwa kwa wema au hata kwa maovu, ila kwa wema sio sana kutokana viongozi au watawala waliowafanyia mema wananchi wao niwengi zaidi kuliko wale waliofanya mabaya. Ndio maana kumbukumbu za Madikteta kama Farao wa Misri, Hitler wa Ujerumani' Pinochet wa Argentine, Siad Bare wa Somalia na Sani Abacha wa Nigeria, hawa kumbukumbu zao za uovu hubaki kwenye vichwa va vizazi na vizazi vya wahanga waliofanyiwa unyama.
 
Juzi nilikuwa nimekaa sehemu kimya, nikakumbuka kifo cha Magufuli. Nikajiuliza hivi kafa lini? Nikagundua ni miezi 3 tu iliyopita. Nikashtuka, ashaanza kupotea kwenye kumbukumbu zangu zaidi hata ya Nyerere aliyefariki miaka 22 iliyopita.
Hivi kumbe alifariki mwaka huu, mawa,o yangu yote alifariki miaka kumi iliyopita
 
Aah ok.. But remember one thing.. Mtoto wa nyoka sio kenge.. Ni nyoka na sumu ni ileile
Hapana!

Sasa hivi naona mnademka mambo yenu yote yako poa baada ya yule mbaya wenu kufariki,

Kiufupi sasa hivi tuko vizuri,
 
Huu n
Juzi nilikuwa nimekaa sehemu kimya, nikakumbuka kifo cha Magufuli. Nikajiuliza hivi kafa lini? Nikagundua ni miezi 3 tu iliyopita. Nikashtuka, ashaanza kupotea kwenye kumbukumbu zangu zaidi hata ya Nyerere aliyefariki miaka 22 iliyopita.

Juzi nilikuwa nimekaa sehemu kimya, nikakumbuka kifo cha Magufuli. Nikajiuliza hivi kafa lini? Nikagundua ni miezi 3 tu iliyopita. Nikashtuka, ashaanza kupotea kwenye kumbukumbu zangu zaidi hata ya Nyerere aliyefariki miaka 22 iliyopita.
Kwa kutuandikia tu umemkumbuka.Sijui kama ww au baba yako atakumbukwa kama JPM.Juzi tu kwenye mkutano wa SADAC wamemkumbuka.Unateseka kuhusu JPM ukiwa wapi ndugu?
 
Hakuwa kiongozi bali mta
Ukiwa mtawala mzuri unaweza kupata maendeleo kuliko kua na kiongozi mwizi mla rushwa. Ona oman kuwait bahrain..nchi za kiarabu zenye watawala wenye kuleta maendeleo kwa watu wao. Magufuli alikua kiongozi na mtawala aliyechaguliwa ila watu fisadi walimchukia huku umma ukimpenda.
 
Juzi nilikuwa nimekaa sehemu kimya, nikakumbuka kifo cha Magufuli. Nikajiuliza hivi kafa lini? Nikagundua ni miezi 3 tu iliyopita. Nikashtuka, ashaanza kupotea kwenye kumbukumbu zangu zaidi hata ya Nyerere aliyefariki miaka 22 iliyopita.
Mimi mpaka jina lake nishalisahau. Na ni Moja ya kiongozi Tanzania ambaye kifo chake kilisheherekewa. Hatukuwahi kutokea. Iwe funzo Kwa viongozi wengine wa sasa na wajao hata Kwa familia yake kama itatokea kuwa na kiongozi hata DC Tu wajifunze kutoka Kwa Baba Yao. Ninaamini wanapitia mitandao na kuona yaliyomo. Ni funzo Kwa kila mtu hata kwenye familia kama wewe Siyo mzazi mwema Kwa familia ukifa utasahauliwa haraka mno. Tena mpaka kaburi wanaweza kulitelekeza. Tenda wema na mema na usiumize watu.
 
Juzi nilikuwa nimekaa sehemu kimya, nikakumbuka kifo cha Magufuli. Nikajiuliza hivi kafa lini? Nikagundua ni miezi 3 tu iliyopita. Nikashtuka, ashaanza kupotea kwenye kumbukumbu zangu zaidi hata ya Nyerere aliyefariki miaka 22 iliyopita.
Yaani ******** umkumbuke kwa lipi wakati watu muda wote tunapambana kumfuta kwenye akili na mioyo yetu! Sio kwa mateso makubwa vile aliyotusababishia!
 
Back
Top Bottom