Magufuli alisema "nanyoosha nchi kwanza" Samia kasema "nisimamie uchumi kwanza"

Kwani nani kapinda? Yeye aliyepinda kujinyoosha kavunjika, was not flexible
unajiandikia tu,wakati wewe ni mhanga wa utawala wake.

unadhani angechukiwa na weww kama asingekuwa amegusa popote palipooza!!
 
Hii kauli ni pigo kubwa kwa wale panya wa ufipa ambao walitegemea mama angelainisha msimamo kutokana na sifa bandia wanazompa mitandaoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…