Magufuli alisema "nanyoosha nchi kwanza" Samia kasema "nisimamie uchumi kwanza"

Magufuli alisema "nanyoosha nchi kwanza" Samia kasema "nisimamie uchumi kwanza"

kwanini msimkodi nyinyi akazindue wale jamaa zenu wasiojulikana mpaka leo wako wapi??
Wale jamaa watajulikana tuu ni jambo la muda as far as kikwazo hakipo tena eeewaaaaa
 
..naheshimu mtazamo wako.

..mimi mtazamo wangu ni kwamba magufuli alikuwa mtawala katili aliyeamini kuwa yeye ndiye alfa na omega hakuna zaidi yake.
na ukweli utabaki hivyo,hizi nyingine siasa na matumbo tu ndio vinahangaisha watu.
 
Ndugu zangu,

Mwaka 2016 Hayati Rais Dr.John Magufuli akiulizwa kuhusu mikutano ya vyama vya siasa na Katiba Mpya alisema "nataka niinyooshe nchi kwanza nipeni muda"

Leo Rais Samia Hassan akijibu hoja hizi za "Katiba mpya" na Mikutano ya vyama vya siasa" kasema "nipeni muda nisimamie uchumi wa nchi" ameendelea kusema "mbunge afanye Mkutano jimboni kwake"

Ni dhahiri tunahitaji kujenga nchi.
Mbona badhi ya miradi ya barabara imesimama?

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
kikwazo hakipo toka wamepotea.
Yani wewe lia tuu ila jamaa yako hayupo tena yani hayupo kabisaaaaa. Tulivyokuwa tunalia humu kulalamikia matendo yake mlituona hamnazo!
 
Tupo huru tumekombolewa utumwani
angalia mko huru na mnadai katiba[emoji23][emoji23][emoji23].

wanasema mwisho wa kiranga cha wamanfunzi wa kike ni mimba,ndicho kitu mnataka.
 
Yani wewe lia tuu ila jamaa yako hayupo tena yani hayupo kabisaaaaa. Tulivyokuwa tunalia humu kulalamikia matendo yake mlituona hamnazo!
utabaki kuwa hamnazo maana unasisitiza kifo cha jamaa kama hakuna anayejua hapa.

hiyo ni dalili ya kuweweseka mkuu,au kisasa tunaita mhaho.
 
Lakini nafikiri anawapiga na kupuliza! Kesi ya kina Mbowe imebatilishwa, Mdude yupo huru! Mnapigwa huko huko top, kurudi chini!
hakuna anayepigwa ndugu.

usichojua,kuanzia polisi mkamataji,majaji na mahakimu wanajua kabisa hakukuwa na kesi za msingi pale.
kwenye ulimwengu wa intel tunasemaga,hakuna jambo linatokea bahati mbaya.

wewe endelea kudhani yanafanywa hayo ili mataga walie.
 
Huyo mtu anawaumiza sana,waoga mnaongea baada ya yeye kuondoka.Hana alichobakiza kawa mbunge,waziri na Rais....mtabaki kuguna guna na kufa mtakufa
Yani wewe lia tuu ila jamaa yako hayupo tena yani hayupo kabisaaaaa. Tulivyokuwa tunalia humu kulalamikia matendo yake mlituona hamnazo!
 
Back
Top Bottom