Magufuli alisema "nanyoosha nchi kwanza" Samia kasema "nisimamie uchumi kwanza"

Magufuli alisema "nanyoosha nchi kwanza" Samia kasema "nisimamie uchumi kwanza"

Ndugu zangu,

Mwaka 2016 Hayati Rais Dr.John Magufuli akiulizwa kuhusu mikutano ya vyama vya siasa na Katiba Mpya alisema "nataka niinyooshe nchi kwanza nipeni muda"....
Huyo wa kwanza alinyoosha na yeye akanyooshwa, unataka kusema huyu wa pili naye atasimamiwa badala ya kusimamia uchumi?!
 
Huyo wa kwanza alinyoosha na yeye akanyooshwa, unataka kusema huyu wa pili naye atasimamiwa badala ya kusimamia uchumi?!
lazima asimamishwe,maana uchumi na kubembeleza havikai chungu kimoja.
 
Mimi naona alikuwa kikwazo ndio maana Almighty God akanyoosha
Mungu hapendi umuwekee maneno mkononi,yaliyo moyoni mwake ni siri kubwa.

anachukua wema na wabaya,wanaokukwaza na wanaokufurahisha pia,

funga mdomo wako na ushukuru tu.
 
pole mkuu,huna akili.

lini alitamba kwamba ni mkubwa kumzidi Mungu!!!

..vitimbi alivyokuwa akivifanya ni mfano wa kiongozi aliyelewa chakari na madaraka, asiyejitambua, anayeamini yeye ndio alfa na omega.
 
Hakuna mahali panaposema kuwa ukiwa na katiba mpya huwezi kujenga uchumi. Hitajio la katiba mpya haliwezi kuzimwa na kauli za kisiasa za Samia.

Sisi tunaamini uchumi bora uko linked na uongozi bora na siasa safi, na hivyo vitu vitapatikana tukiwa ma katiba mpya iliyo bora
 
Mimi huyuhuyu sishauriki ......

Yaani alikuwa alpha na omega..... ridiculous

Only God is perfect
sasa unamshauri nini mtu kama wewe,ambaye hujui hata unachohitaji maishani ni nini.
 
tunajua team viwavijeshi mlikuwa kwenye angle mbaya sana.

mshukuruni sana mungu wenu wa matapeli kwa kwenda sawa na beat lenu.
Kwani Gwaji boy anakwama wapi? Si anamchukua anaenda kumuweka pale Kawe kisha anamuamuru aamke na nyie mnademka kwa shangwe? Mtumieni Gwaji vizuri atawavusha!
 
..vitimbi alivyokuwa akivifanya ni mfano wa kiongozi aliyelewa chakari na madaraka, asiyejitambua, anayeamini yeye ndio alfa na omega.
huo ni mtazamo wako,wengine wanakuona kama mwizi fulani ambaye ulipoteza uelekeo baada ya utawala wa jpm kuingia.
 
Kwani Gwaji boy anakwama wapi? Si anamchukua anaenda kumuweka pale Kawe kisha anamuamuru aamke na nyie mnademka kwa shangwe? Mtumieni Gwaji vizuri atawavusha!
kwanini msimkodi nyinyi akazindue wale jamaa zenu wasiojulikana mpaka leo wako wapi??
 
Mungu hapendi umuwekee maneno mkononi,yaliyo moyoni mwake ni siri kubwa.

anachukua wema na wabaya,wanaokukwaza na wanaokufurahisha pia,

funga mdomo wako na ushukuru tu.

Ila wewe unajiona unauhalali kuniwekea maneno?
 
huo ni mtazamo wako,wengine wanakuona kama mwizi fulani ambaye ulipoteza uelekeo baada ya utawala wa jpm kuingia.

Wewe jisemee pekee yako

Usijumuishe wengine kijinga ...... eti wenzio! Wakinani?

Kwanini unatuwekea Maneno ya kizushi.
 
Anataka atupige chekundu cheusi kama Kikwete. Akibakiza miezi 6 ya muda wake ajifanye kuanzisha mchakato alafu anaemfatia anasema sio kipaumbele chake
Kumbe mnajua kitachofata 😂😂kaeni kwa kutulia sasa
 
Back
Top Bottom