G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 11,795
- 36,704
Kuharibu nchi hujakusema tafadhali. Yani kaharibu hadi mama mwenye huruma anadiriki kumsema!Huyo mtu anawaumiza sana,waoga mnaongea baada ya yeye kuondoka.Hana alichobakiza kawa mbunge,waziri na Rais....mtabaki kuguna guna na kufa mtakufa