Magufuli alisema "nanyoosha nchi kwanza" Samia kasema "nisimamie uchumi kwanza"

Magufuli alisema "nanyoosha nchi kwanza" Samia kasema "nisimamie uchumi kwanza"

angalia mko huru na mnadai katiba[emoji23][emoji23][emoji23].

wanasema mwisho wa kiranga cha wamanfunzi wa kike ni mimba,ndicho kitu mnataka.
Tupo na mama anatulea tumetulia.
Tunataka katiba mpya Ili kuepuka vichaa kupewa Madaraka
 
Mathayo 11:1
Ikawa Yesu alipokwisha kuwaagiza wanafunzi wake kumi na wawili, alitoka huko kwenda kufundisha na kuhubiri katika miji yao.
Mathayo 11:2
Naye Yohana aliposikia huko gerezani matendo yake Kristo, alituma wanafunzi wake, kumwuliza,
Mathayo 11:3
Wewe ndiwe yule ajaye, au tumtazamie mwingine?
Mathayo 11:4
Yesu akajibu akawaambia, Nendeni mkamweleze Yohana mnayoyasikia na kuyaona;
Mathayo 11:5
vipofu wanapata kuona, viwete wanakwenda, wenye ukoma wanatakaswa, viziwi wanasikia, wafu wanafufuliwa, na maskini wanahubiriwa habari njema.
Mathayo 11:6
Naye heri awaye yote asiyechukizwa nami.

Furaha kurudi tena, heri asiye na shaka na Samia Suluhu Hassani.

Mitano tena jamani.
 
Samia = Magufuli

Kazi iendeleee
Mh. Samia S. S. si sawa na Magufuli.

Samia ni Mcha Mungu huku Magufuli akiwa mcha miungu.

Samia ni mpenda haki huku Magufuli ni mnyang'anya uhai.

Samia ni mkweli huku Magufuli akiwa baba wa uongo.

Kufananisha Mh. Samia na Magufuli ni kujitakia laana ya bure.
 
Tujengee uchumi mama nchi ilivurugwa kabisa.....rudisha imani kwa wafadhili
Akili matope, hao wa fadhili wata kufadhili mpaka lini?.. Nchi zao nani alizifadhili na kufanikiwa ndio wakufadhili wewe?.
 
Mh. Samia S. S. si sawa na Magufuli.
Samia ni Mcha Mungu huku Magufuli akiwa mcha miungu.
Samia ni mpenda haki huku Magufuli ni mnyang'anya uhai.
Samia ni mkweli huku Magufuli akiwa baba wa uongo.
Kufananisha Mh. Samia na Magufuli ni kujitakia laana ya bure.
Vice versa is true.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania SAMIA SULUHU HASSAN baada ya siku 100 za utumishi wake anetoa dira na mwelekeo katika kuendelea kuongoza nchi ambapo tayari ameutaarifu umma kuwa kwa sasa anajenga nchi suala la katiba mpya kwa sasa siyo la kumzungumziwa kwenye vinywa vya watu hata kwenye midahalo yoyote ndugu zangu kwa wale ambao wanahamasisha maandamano juu ya swala hilo kuweni makini na kes za uchochezi. Maana mama hatamvumilia mtu yeyote anayetaka kumkwamisha
 
Amesema anaomba muda aimarishe uchumi halafu ndipo atairekebisha KATIBA . Ameongeza kwa kusema anafanya hivi kwa kutambua kuwa economic power buys political power.

Amemaliza kwa kusema KATIBA Ni muhimu Sana kwasabb italeta utulivu wa nchi.
Uchumi usipotengemaa kwa miaka mia watu wasifanye mikutano huru ya kisiasa kwa miaka mia?

Rais anavunja katiba iliyopo, hiyo mpya ataiheshimuje?
 
Back
Top Bottom