Magufuli alisema "nanyoosha nchi kwanza" Samia kasema "nisimamie uchumi kwanza"

Uchumi usipotengemaa kwa miaka mia watu wasifanye mikutano huru ya kisiasa kwa miaka mia?

Rais anavunja katiba iliyopo, hiyo mpya ataiheshimuje?
Nimeitafakari kauli ya huyu mama Kisha nikaigeuza geuza usiku kucha. Nimejiridhisha na kufikia hitimisho kwamba huyu mama ni dikteta
 
Nimeitafakari kauli ya huyu mama Kisha nikaigeuza geuza usiku kucha. Nimejiridhisha na kufikia hitimisho kwamba huyu mama ni dikteta
Huo ndio mfumo aliokulia na kufundishiwa.

Kumwambia aishi vingine ni sawa na kumtaka samaki atoke baharini aishi nchi kavu.
 
Wapi mzee Hashim Rungwe?! [emoji14][emoji14][emoji14]
[emoji2369][emoji2369]

Alimuuliza jamaa unaposema unanyoosha nchi Kwani imepinda kwa wapi?

Ubungo au Kariakoo au airport? [emoji3][emoji3]
 
Usisahau amesema pia "anafungulia nchi"
 
Hivi hapo US "mikutano ya hadhara" baada ya uchaguzi uinaendelea?
Uchumi usipotengemaa kwa miaka mia watu wasifanye mikutano huru ya kisiasa kwa miaka mia?

Rais anavunja katiba iliyopo, hiyo mpya ataiheshimuje?
 
Hofu yangu inawezekana kweli ukaweza kujenga nchi!
Hivyo ni Lazima Ujenzi wako Ulindwe kwa Katiba!
Ili Asije mwingine kama hupo akabomoa nchi...
 
Ninyi watu hamuna hoja za kumpinga mama

Magufuli alivyosema hivyo kila kitu nchi hii kilisimama
Hakuajiri, kupandisha madaraja, annual increament na mengine mengi kwa sababu ya kunyoosha nchi

Mama anasimamisha nchi huku mambo mengine yanaenda kama kawaida
 
Tuko pamoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…