Jenerali Ambamba
JF-Expert Member
- Sep 8, 2014
- 3,344
- 2,536
Teua tengua, tengua teua.
Hahahah chumbile nnungu cha kumemena
alikuwa anamlia timing tu mie nilikuwa najua huyu jamaa hachomoki,Alikuwa anamvutia kasi tu kwa muda mrefu
Kosa Ni kuwaongezea mzigo wananchi wakati mzigo walio nao umewachoshaHivi kosa ni nini?
Kwani kanuni na sheria ya EWURA inawataka washauriane kwanza na Rais,Makamu na Waziri Mkuu kabla ya kufanya uamuzi wa kupandisha bei?Rais ameshangazwa na kitendo cha watendaji waliopandisha bei ya umeme bila hata ya kushauriana na yeye, Makamu wa Rais, Waziri Mkuu au Waziri wa Nishati na Madini, Prof Sospeter Muhongo.
''Ninamshukuru sana Waziri wa Nishati na Madini kwa maamuzi ya kusitisha hayo. Kwa hiyo umeme hakuna kupanda bei, Amesema.
Hatari sana, hivi hawa wanaoteuliwa huwa wanapewa taarifa mapema ama wanastukizwa kama 'wanavyotumbuliwa?'yaaani