Santi
JF-Expert Member
- Oct 30, 2016
- 547
- 1,201
Basi sawa, tuombe uzima mkuu.The home of intellectuals, hawataisha mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi sawa, tuombe uzima mkuu.The home of intellectuals, hawataisha mkuu
Haahaa sasa hayo mapungufu uyajuyo ndio yataifaa lile shirika maana itakuwa rahisi kutii bila kuuliza.Naona kaamua kuweka Mhaya ila kwa dkt. Mwinuka ndo kachemsha moja kwa moja!! Namfahamu Mwinuka tena sana.
Wanatakiwa pia waweke daraja la watumiaji ambao hawazidi unit 500 huwezi kumfananisha mtumiaji wa nyumbani na mwenye kiwanda huu ni upofu. Nashauri hata boss wa ewura apumzike. Yaani ukitoka ile tariff ya chini kabisa inafuata watumiaji wa kati hadi 7500units. Kwanini kusiwe na rate za majumbani hadi 500units???ingekuwa wanajiendesha kwa faida na hawapandishi bei ovyo. tusingelalamika..
kwanza wajiendeshe kwa faida kwa kufanya kazi kwa spidi.... ndio wapate bonus.
mtu haperform na bado unampa unit 700 huko ni kulea ujinga..
nitajie shirika popote linalogawa bonus huku linajiendesha kwa hasara
Hujitambui wereYeye badala ya kuanza kujenga viwanda kila siku anatengua na kuteua tumeshamaliza mwaka mmoja tayari. Washauri wa raisi wana kazi gani?
Siyo kweliMramba alikuwa team EL so alikuwa atafutiwa net
EWURA kwani JIPUKASKA?Ila mbona jamaaa namuonaga anapiga kaz kisomi sana mramba ...ila duh hizi drama ...
Na wa ewura nae mbona kaachwa
Hakuna kuangalia suraOyoooooooooooo! hatimae Fel Mramba ameuanza mwaka 2017 vibaya!