Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 54,943
Rais ana makusudi sana yaani mwaka haujanoga mtu kalazwa mbele
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maskofu wanaingia vipi? Ngamia wewe, msipo wataja Maaskofu hamjisikii?Hilo ni kosa? Huyu mtu na maaskofu wake watahukumiwa!
Ngoja ngoja huumiza matumboJamaa si angesubiri angalau hata kesho au tarehe tatu ndio atumbue? Shikamoo Rais wangu Magufuli
Hivi kosa ndio hilo la kuiomba EWURA ipandishe bei ili kuweza kujiendesha?au kuna mengine?
Rais Magufuli leo ametengua rasmi uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme nchini(TANESCO), Eng. Felchesmi Mramba.
Aidha Rais amemteua Dkt. Tito Esau Mwinuka kukaimu nafasi hiyo. Kabla ya uteuzi huo Dkt. Mwinuka alikuwa mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam(UDSM).
wakuu unajua nawaonea huruma sana watanzania wajinga wasiojua haya mambo Tanesco, Baada ya Muongo kuingia aliondoa bonus ya wafanyakazi wa tanesco kinyume cha sheria. Lakini kwasababu wafanyakazi wa tanesco wanajitambua walipiga kelele waziri akabadilisha msimamo wake. Hapa katikati kuna makampuni yamezima mitambo yake kushinikiza tanesco kuwalipa fedha zao, Tanesco wameshindwa kuwalipa wazalishaji. Leo kwa lugha za kusema unawatetea masikini, unaua shirika la umeme. Ngojeni tusubiri, wawekezaji wanakataa kuwekeza kwenye sectoor hizi kwasababu ya tanesco kuchelewa kulipa leo unakuja unajifanya unawatetea wananchi while mmnaenda kinyume ya mikataba .......................let us waitDah jamaa kaanza mwaka vibaya, kaweka rekodi ya kutumbuliwa siku ya mwaka mpya. Kwanza ilikuwaje atake kupandisha bei ya umeme wakati uzalishaji wa gesi ndio unaongezeka na umeme uzalishaji unaongezeka
JIPU KUU ni TANESCOYule jamaa wa EWURA aliekubaliana na ombi la Mramba la kupandisha bei ya Umeme anafanya nini ofisini mpaka leo??
Mramba ana makosa yake nae, lakini na yule jamaa nae angetimuliwa tu. Maana alichofanya yule M-Ewura ni sawasawa na Mwele wa NIMR, anapandisha bei bila kuwasiliana na Waziri husika
well said,,,,Bado huyu wa EWURA
Huyu anatakiwa atumbuliwe kabisa waache kula pesa za mafisadi na kuja kusingizia professional...........
Sasa hivi kuna gesi inazalishwap umeme,Tanesco wamefunga Luku karibu kwa watumia 75% sasa hasara inatoka wapi?.........
Wakati mtu akitaka kuunganishiwa umeme ananunua nguzo,vifaa vyote kama mita ananunua sasa hizo garama zinatoka wapi?......
Mchawi ni Tanesco wenyewe waliokubali kuingiza siasa kwenye professional yao kusaini mikataba mibovu kama kuwalipa watu Milioni 400 kwa siku...........
Huyu mkurugenzi huwezi sema hana maslahi wakati umeme ukipanda na tozo yao kama EWURA inapanda pia....
Hawa ndio walisababisha mafuta ya taa yapande bila sababu eti uchakachuaji...
Uchakachaji unathibitiwa kwa kupandishwa mafuta ya taa?.......
Halafu kichekesho pesa wanayokusanya yote kwenye mafuta,umeme maji ni pesa ya kugawana tu kula kwenye vikao,posho na kuandaa press kwa ajili ya kutoa matamko......
Huyu anatumwa na wezi na wanyonyaji wenye kampuni za kufua umeme tuwe wa kweli hapa Rais kuchukua hatua wala siwezi shangaa............
Haya ndio majipu........
Wewe ni mwongo. Dr. Tito anatoka Nyand za Juu Kusini, O-level alisoma Bihawana (Dodoma), A-level alisoma Azania, halafu UD. Sawa huo uhaya wake wewe ulikutana nao wapi?
Acha uongo wewe....hukumbuki JPM aliwaambia nini watu wa Tanesko na wizara ya nishati kuhusu kukatika umeme hovyo hovyo.Sikubaliani na wewe,JPM alivyokuja Arusha kipindi cha kampeni umeme ulikaa kwa siku mbili bila ya kukatika. Ilikua ni mara ya kwanza tokea mwezi wa 6 2015.
Hivi kosa ni nini?
Wewe ni mwongo. Dr. Tito anatoka Nyand za Juu Kusini, O-level alisoma Bihawana (Dodoma), A-level alisoma Azania, halafu UD. Sawa huo uhaya wake wewe ulikutana nao wapi?
Leo watu hawapo job... Hadi kesho it's holiday... Kisheria mfanyakazi hatakiwi kuwa distabunce.... Hii ni aina yake ya huu uongozi....Yule mpuuzi wa Ewura bado anafanya nn ofisini?
Yule alikuwa ni DG hivyo anaondoka japo na virago vyake!Mimi naomba mnisadie... hivi alivyotumbuliwa anaondoka Tanesco au anaendelea kuwa mfanyakazi wa Tanesco ila tu anakuwa siyo Mkurugenzi mkuu tena?