Magufuli City yaiva huko Dodoma, wasiompenda kuteseka maisha yao yote

Where is he now? [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
We jasusi la "twirrah" niaje?

Afu zamani nilikuaga najua jasusi ni jitu fulani supernatural lenye maguvu na uwezo wa kutisha.

Kumbe.....

Hivi kwani we ni jasusi?

Walikuwa wanakuitaje huko? Jasusi ama?

Si huwa nasikia kuna vitengo sijui? Wengine wanaitwa majasusi, wengine under cover sijui na manini nini?

Walishakufukuza? Ulikuwa huna nidhamu ama?
 


Watanzania tuacheni tabia ya kutafuta ushindani usio na msingi! Ni nani apendi wananchi kujengewa nyumba. Haya ndiyo mambo Raisi Samia anayosema watu wanashinda kuweka uzushi. Watu wanashinda kutafuta vitu vya kupingana bila sababu
 
Aliyoyafanya ya kuua watu na kutesa watu unadhan watu wasifurahi!mbona nyir wenyewe mmeanza kufunguka huko bungeni? Mnaropokwa balaa...mtuache
Kuua watu kwa maslahi ya nchi sidhani kama ni tatizo.

Maendeleo ni vita na vita haina lelemama unapoingia vitani na askari mzuri ni anayemuangamiza adui mara mmoja kulingana na kiapo chake.

Kama alitoa amri ya watu kuuwawa kwa maslahi ya nchi nadhani ni baada ya kupewa taarifa na kuthibitishiwa na vyombo vyenye mamlaka ya kuua kupitia walioua na waliomshauri JPM hakuwa na kosa.
 
kwio
 
Comment ya kipungu kuliko zote nilizowahi kuzisoma! Mfyuuuuuu!
Mh. Dr. John Pombe Joseph Magufuli (may his precious soul rest in eternal peace and power 🙏), ni rais atakayekumbukwa kwa vizazi vingi vijavyo kuwa ni rais aliyewapenda wananchi wake kama baba anavyowapenda na kuwalea watoto wake responsibly, na kwamba hakuwa na uvumilivu kwa yeyote aliyejaribu kuwaonea au kuwanyanyasa wananchi wake hasa wanyonge🤔, rais aliyeamini na kutekeleza dhana ya kujitegemea na 'value for 💰 na hivyo kuvunja rekodi ya kuipaisha kiuchumi Tz ktk kipindi ambacho dunia yote iliporomoka kiuchumi na kuifikisha uchumi wa kati! Kwa upande mwingine, atakumbukwa kwa kuwa adui mkuu wa mafisafi, wababaishaji(wafoji vyeti/vyeti feki, wezi, waonevu na wanyanyasaji wa watz wanyonge!
Hili kundi kwa upumbafu wao ndilo hasa litamkumbuka kwa kumchukia na kumuona katilo!
N
 
..Naunga mkono kuwepo kwa kumbukumbu za Magufuli.

..Wanaompenda Magufuli watafarijika kutokana na kufiwa kila wanapokutana na kumbukumbu yake.

..Wasiompenda Magufuli wakiona kumbukumbu zake watakuwa wanahakikishiwa kwamba mtesi wao amekufa hivyo nao watakuwa na furaha wakati wote.
 


^Na wavimbe wapasuke^
 
Aliyoyafanya ya kuua watu na kutesa watu unadhan watu wasifurahi!mbona nyir wenyewe mmeanza kufunguka huko bungeni? Mnaropokwa balaa...mtuache


^Kufunguka Bungeni^!??? Ndiyo maana mapeeemaaa Anko Bulldozer alijinasibu waziwazi -- ^Ndugu zangu, mnaweza msinione kama wanasiasa mliowazoea^ Wabunge wanalinda vyeo vyao, as usual. Hata Mbowe wako leo ingetokea fursa tunda la Urais limdondokee, kama hivi kwa Bi Mkubwa, ukweli si uongo, msema kweli mpenzi wa Mola, haohao wabunge usingeamini macho na masikio yako. Umeelewa sasa!???

Wazo la msingi ni kwamba JPM hakuwa na watu wengi walioelewa na kuishi falsafa & njozi zake. Ndiyo maana ya panga pangua na tumbua tumbua nyingi za wakati wake. Hivyo, ^kufunguka kwao Bungeni^ sasa hakudhihirishi ushujaa wowote kwa upande wao, bali kiwango kikubwa cha woga na hulka ya unafiki. Hao watu wa sampuli hiyo ni just nominal leaders.
 
Halafu mbona Anko mwenyewe hakuwa mkali vile!??? Watu wanajua kunogesha habari jamani, acheni!!!


 
Well-said. Ila tu hapo kwenye RIP ni false assertion. Sorry for disappointment.

 
[emoji28][emoji28][emoji28] acheni mzee wa Watu Apumzike aaahhh Kwani hizi hela alitoa mfukoni. Malizeni Matanga Harudi huyo atiii
 
[emoji28][emoji28][emoji28] acheni mzee wa Watu Apumzike aaahhh Kwani hizi hela alitoa mfukoni. Malizeni Matanga Harudi huyo atiii

Vipi na wewe ni mjumbe kwenye kamati ya amani ile ya wavuta bange akina malasusa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…