Master Oogway
Senior Member
- Jul 7, 2022
- 141
- 342
- Thread starter
-
- #61
1. Kwani Chato ipo Kenya au Tanzania?Kwa nini alijengea nazo Airport Chato ambako hakuna biashara ya ndege? Kwa nini alinunulia nazo korosho ambazo hakujua atazipeleka wapi? Kwa nini alilipia nazo wakina Halima Mdee na wenzake? Kwa nini alilipia nazo chaguzi za marudio kwa wabunge waliounga juhudi mkono ??
Hongera sana kama kumtukuza Magufuri na kumsifu ndiyo usomi wacha niitwe cheti feki milele na wasiojitambua.Nakubali kuitwa majina yoyote yale na Sukuma gang lakini moyo wangu uko salama maana yule dhalimu hayupo tena duniani ameenda kukutana na wale wote aliowaua sababu tu hawakukubaliana na uongozi wake.Vyeti mpo humu mitandaoni mmejaa mlitumbuliwa 13000 na Magufuli mnahasira nae
Sote ni Watanzania.na mamako
Fedha za plea bargain na bureu de change na vitambulisho vya wamachinga " je" zilijenga JS Hotel and Zoo kwa fisadi kuu kule chato?Cheti feki
Unatetea ujinga wewe.Kama wasomi wa Tanzania ndiyo ninyi basi Tanzania haiwezi kuendelea kamwe.1. Kwani Chato ipo Kenya au Tanzania?
2. Hizo korosho alizonunua zinatoka Nchi ya Kigeni au Tanzania?
3. Hao wakina Halima Mdee na Wenzake ni raia wakigeni au Watanzania?
Naimbie ni Raisi gani ambaye alikuwa madarakani akaacha kupaendeleza kwao.Unatetea ujinga wewe.Kama wasomi wa Tanzania ndiyo ninyi basi Tanzania haiwezi kuendelea kamwe.
Kanisa gani na mauuaji ya mapadri gani yalitokea wakati wa Aliy Hassan Mwinyi au Hussei Ali Mwinyi?nilicheka juzi kuna mjinga mmoja anasema enzi za JK na Mwinyi kulikuwa hakuna mauaji 😃 😃 😃 😃
nikamkumbusha kifo cha mwandishi Mwangosi(RIP) na kutekwa na kuteswa kwa DR Ulimboka enzi za JK
nkamkumbusha tena mauaji ya Mapadri Zanzibar na uchomaji wa makanisa enzi za Mwinyi
mwisho nikamsihi asiwe msahaulifu ana asiwe mtu wa mrengo anapokuwa anadadavua mambo.
Awamu zote zilitawala kwa weledi maana nchi ya Tanzania kwa ujumla wake ilikuwa mali yao hivyo waliweza kuendeleza kila mahali bila kujali kuwa walizaliwa wapi,ila alipokuja huyo wa awamu ya Tano miradi mingi alipeleka Chato kwao alikozaliwa.Naimbie ni Raisi gani ambaye alikuwa madarakani akaacha kupaendeleza kwao.
Tazama sasa Zanzibar inavyochanua unafikiri kwa nini?
Wewe ni mtoto wa juzi? Huyo azory gwanda muulize baba yenu mkwere maana ilikua awamu yenuAzory Gwanda, Ben saa Nane Nk
Huyo mfu wako aliongoza nchi kwa maslahi yake, familia yake na wapambe wake usitukumbushe habari za huyo katili muuaji. Huna hata haya we ngedere eti alijitoa kwa ajili ya watu, labda alijitoa kwa ajili ya mamako. Yule mhutu mbaguzi? Aligawa nchi, alimsaidia nani, alifukuza wafanyakazi kwa chuki na roho mbaya tu, km ni vyeti, PhD yake ni feki na ukweli wake ukaondoa roho ya Ben Saanane. Wafanyakazi wa nchi hii waliishi kwa vitisho hawakujaribu kunyanyua midomo yao kudai hazi zao za kupandishwa madaraja wala mishahara maana ukijaribu jibu lilikuwa acha kazi km unaona hailipi, watu waliishi km wako jehanamu usitutoneshe vidonda we poyoyo.
Hakuna ajira miaka 6, mpaka leo watanzania wamejaa mitaani na vyeti vyao watu wanawakebehi, wanawatukana kisa Magufuli, yule shetani anatakiwa afe mara 7 bado hajafa na aitumikie adhabu ya kaburi inavyomstahili.
Kwahiyo Covax ni nguruwe? 🤣
yule shetani ataendelea kuishi jikoni kwenu, hivi hamuamini amekufa?
Aliyoyasema na matendo yake vitu viwili tofauti, utajiri wa kutajirisha kwao hiyo ni falsafa mfu.
Hata kwangu na ndugu zangu na watu kibao naowafahamu kasoro wewe tuAcha ujinga alijitolea kwa nani labda kwa wewe na familia yake ndgu na marafiki.
Alijitolea kuuwa watu kwa kuteka kupiga risasi na kubambikia kesi. Na visasiMagufuli hakika uliifanyia mema Tanzania kwa niaba ya Watanzania Wazalendo na sio Kwa ajili ya Wapiga dili na Wauza nchi mchana kweupe.
Your life was a blessing, your memory a treasure[emoji120]
View attachment 2618627
Alifuata taratibu za serikali kwa kwenda kujenga uwanja wa ndege wa Chato kijijini kwake bila ridhaa na kibali cha bunge?1. Kwani Chato ipo Kenya au Tanzania?
2. Hizo korosho alizonunua zinatoka Nchi ya Kigeni au Tanzania?
3. Hao wakina Halima Mdee na Wenzake ni raia wakigeni au Watanzania?
R.i.p JPM ❤️Magufuli hakika uliifanyia mema Tanzania kwa niaba ya Watanzania Wazalendo na sio Kwa ajili ya Wapiga dili na Wauza nchi mchana kweupe.
Your life was a blessing, your memory a treasure🙏
View attachment 2618627
Inategemea anatajwa kwa yepi, huyu ataendelea kutajwa kwa uovu na mauaji dhidi ya aliotofautiana nao.Ukiwa mwenye akili fupi kama wewe, utaona amekufa. Lakini kwa wenye akili kubwa wanaendelea kumuona na kuishi naye. Ndiyo maana mpaka leo hii JPM haachwi kutajwa kila mahali.