Magufuli hakika ulijitolea maisha yako kwa ajili ya Watanzania

Naimbie ni Raisi gani ambaye alikuwa madarakani akaacha kupaendeleza kwao.

Tazama sasa Zanzibar inavyochanua unafikiri kwa nini?
Nyerere na Mkapa hawakupendelea kwao, kwa akili yako kupendelea kwao kwako ni jambo jema kwa ustawi wa nchi?
 
Kuwafilisi wapinzani kama alivyofanya kwa Mbowe ni sawa?
Kuwashambulia wapinzanikama Lissu kwako ni sawa?
Kuwaua waliotofautiana nae kama Simon Kangoye, Azory Gwanda na wengineo ni sawa?
Kuwateka anaotofautiana nao kwako ni sawa?
Kutumia rasilimali za taifa bila ridhaa na kibali cha bunge kujenga uwanja wa ndege wa Chato kijijini kwake kwako ni sawa?
Kupora uchaguzi na mchakato wa uchaguzi na kuwaingiza kinyume cha sheria akina Halima Mdee bungeni kwako ni sawa?
Haya ndio mabadiliko ya dunia?
Upstairs kuna tatizo kubwa kuliko dikteta Magufuli
 
CAG report is a technical report. Siyo kila lumpen kama wewe anaweza kuisoma na kuielewa.
 
Issue uliyoisema ni CAG report. Sasa suala la muuaji limetokea wapi ewe lumpen?
Wewe mpumbavu zaidi ya wizi alipoamua kumfukuza kazi CAG profesa Assad aliposema kwa kusema kweli, Magufuli pia ni muuaji, jambazi shetani kumsapoti lazima uwe chizi
 
Wewe mpumbavu zaidi ya wizi alipoamua kumfukuza kazi CAG profesa Assad aliposema kwa kusema kweli, Magufuli pia ni muuaji, jambazi shetani kumsapoti lazima uwe chizi

Haya mambo hayahitaji hasira, hisia wala jazba. Tulia bwana mdogo. Hujui akina nani na wangapi wamekufa katika awamu zilizopita. Kaa kimya tu. Hujui mengi. Ukikua utajua.
 
Mtoto
Haya mambo hayahitaji hasira, hisia wala jazba. Tulia bwana mdogo. Hujui akina nani na wangapi wamekufa katika awamu zilizopita. Kaa kimya tu. Hujui mengi. Ukikua utajua.
Mtoto huku haukuwezi acha wenye akili wazungumzie mustakabali wa nchi yetu, kama unampenda muuaji, mwizi, aliyepora pesa kwenda kujenga uwanja wa ndege wa Chato kijijini kwake bila ridhaa na kibali cha bunge utakuwa kichaa kuliko yeye
 
Bado hujakomaa, na bado hujajua na kuona mengi. Umeona mambo ya kawaida sana. Hayo uliyoyataja ni ya kawaida mno kwa wabobezi na wajuvi wa aina yetu.
Endeleza mazungumzo na wenzako wenye uwezo wa kawaida wa kutumia akili.
 
Pumbavu bado limekariri mistari ya chuoni, wake up juha wewe face reality
Hey, usituaribie Uzi.
Tumia lugha za stara naona umekazania neno "pumbavu". Hapa sio kilabuni, kama unashindwa kubishana kwa hoja usitukane watu.
 
Magufuli hakika uliifanyia mema Tanzania kwa niaba ya Watanzania Wazalendo na sio Kwa ajili ya Wapiga dili na Wauza nchi mchana kweupe.

Your life was a blessing, your memory a treasure[emoji120]

View attachment 2618627
Watanzania wapi kwani watumishi wa serikali walionyimwa haki zao za kisheria siyo Watanzania.
 
Kuwa kiongozi mzuri Na ukakubalika kwa wale unaowaongoza ni package.

Kuna mambo ya msingi ukikosea inatia dosori kubwa kwenye uongozi mzima.

This is a lesson.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…