Elections 2015 Magufuli lugha za Kimataifa ni Kizungumkuti, wenye ufahamu tujadiliane


Hoja dhaifu kwahiyo kujua english ni kigezo cha kuwa rais? Mmejaribu kuua umoja wa watanzania kwa kuleta vurugu imeshindikana sasa mmeanza na kampeni ya kutuaminisha kuwa kiingereza ni bora kuliko lugha yetu adhimu ya kiswahili.

Tutamchagua mtu kwa utendaji wake na sio kwa ufisadi uliopakwa rangi kwa jina la mabadiliko.

Kaulize china kama xi jinping anaijua hiyo lugha mnayoipigia debe, nenda hata kwa vladimir putin. Leteni sera na mipango kuwa hayo mabadiliko mnayoyapigia kelele mtayatekelezaje sio kuleta mipasho. Igeni wenzenu CCM japokuwa wanajua kuwa Mmoja wa mgombea urais wa Upinzani ni MNYAJI MZURI wa MAVI HADHARANI awapo katika mikikimikiki ya kampeni zake na wafuasi wao ni TEAM MIMAVI lakini hawajaishikia bango hiyo single
 
Kama watu wanataka mgombea mwenye weledi ambaye atatusitiri kimataifa tumchague Mama Anna Mghwira. Vinginevyo tujiandae kuficha nyuso zetu for five years. Inaumiza lakini hiyo ndiyo hali halisi.

Ahaaa, piece of fun! But your university awarded him (Magufuli aka Aliselema) PhD jubilantly...
 
Ni kweli, ila ishu ya hapa ni je doctorate yake aliipata kwa lugha gani? maana haiwezekani kama mtu uko sawa ukasoma mpaka Phd kwa lugha ya kizungu alafu sentence rahisi tu ya kizungu ukashindwa unga! Hapa ni kwamba eidha mtu haufundishiki au ulikuwa haufiki darasani ila umepitishwa tu na kupewa elimu uliyonayo, haukuitafuta!
 
Aisee umejibu kwa busara sana hadi kuendelea ku argue nimeshindwa,kweli mwaka huu kazi ipo.

Ndiyo hajui kiingereza kwani kinatusaidia nini kama siyo kuendekeza ukoloni? ilimradi anajua lugha anayoifahamu bibi yangu kule kijijini inatisha.[/QUOTE]

Kwa taifa kama Tanzania Rais wake kutokuijua international language tena kwa level ya elimu yake PhD !!!

Big No kuna Tatizo kuanzia Elimu yake mpaka akili
 
Aisee umejibu kwa busara sana hadi kuendelea ku argue nimeshindwa,kweli mwaka huu kazi ipo.

Ndiyo hajui kiingereza kwani kinatusaidia nini kama siyo kuendekeza ukoloni? ilimradi anajua lugha anayoifahamu bibi yangu kule kijijini inatisha.
Ishu ni je ANAFUNDISHIKA?
mimi binafsi hainiingii akilini mtu anayefundishwa kwa kizungu mpaka kupata PhD eti hajui kizungu.
 
Umefika wakati wa kujenga nchi mpya,kama ulipewa degree,phd ,diploma upimaji uanze haraka na mapema,hata maofosini kumejaa wajinga wengi sana ndio maana kazi haziendi sababu ya kujuana na undugu.
 
Alishindwa hata kukariri sentensi kumi za kusema???? faiza foxy baro Mr Chin MOTOCHINI njooni muone aibu ilioje!!! Kiukweli makufuli hafai na hana sifa za kuwa hata mwenyekiti wa kijiji.
 
Last edited by a moderator:
Although Xi Jinping read English, he can barely speak it. That is the president of China.

 
mnajua ya kwamba huyu magufuli ana doctorate ya chemistry, halafu tunabeza au hatujui hayo masomo waswahili wana msemo'mnyonge mnyongeni haki yake mpeni"
 

Yeye anachojua ni kupiga push up tu...kumbe kichwani ni empty/vacuum/void.
 
Lowassa kuna interview na TV ya Kenya kasema "our people are more poorer"

Nikasema duuh.
Hii angalau unaweza msamehe, ukiongea na mzungu aliyezaliwa na lugha atakuelewa ulikuwa unamaanisha nini.
 

Acha wazimu, nadhani umelogwa na wazungu. Maraisi wa North Korea na China hizo lugha unazoshadadia hawazijui!
 
Ikulu hakuna kazi ya kuongea kiingereza.tunataka kazi tu basi.kama shida ni kiingereza tutaweka mkalimani na rais ataongea kwa Kiswahili msitubabaishe. Mbona lowasa hata Kiswahili hawezi kuongea.

Hatutaki rais ambaye ataenda kutuaibisha UN!!! magufuli hafai hata kuwa balozi wa nyumba kumi kumi.
 
Hatutaki rais ambaye ataenda kutuaibisha UN!!! magufuli hafai hata kuwa balozi wa nyumba kumi kumi.

Ishu iliyoibuka ni elimu ya kupeana, ila JPM anazo sifa zote za kuwa rais na ameonesha kuwa ni mtendajizuri. Kura yangu bado anayo.
 
Rais wa awamu hii ni kituko kwelikweli km akichaguliwa nitatamani miaka kumi iishe haraka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…