Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,271
Enzi ya ukoloni kulikuwa na elimu ya ukweli sasa hivi CCM imeshusha elimu yetu chini. Hatutaki shule kama za Magufuli akili zake zimejaa ujinga na maguvuguvu utafikiri ikulu anakwenda kupigana kumbe kuna hitajika busara na akili. Huna tofauti na IQ ya Magufuli au Kikwete
Ukiweka hotuba ya kiingereza ya Mbowe najinyonga.
You are one of those savages that, upon reaching London, become amazed and flabbergasted to discover that even children, waiters and garbage collectors speak English fluently. Wake up from your colonial stupor! #HapaKaziTu
Juzi kati walitembeza bakuli Mlimani City, na hapo ni kabla ya kushika dola. Wakishika dola je itakuweje?
Jamani mnamcheka Magufuli na Kiingereza chake,mkimsikia Lowasa ndo kabisaaaa!Magufuli nafuu mnaweza hata kutumia mkalimanı,Lowasa hata mkalimali atasumbuka,labda mtaalam wa lugha za alama.
Magufuli bana...
Karatasi anaita rikaratasi....
Kizungu atawezaje?
Maneno mengi lakini hakuna cha maana unachoongea.Vyama vingi vya siasa huwa vinafanya michango kwa ajili ya wagombea wao (fundraising) sasa CCM wamefanyia wapi fundraising? Chadema haiendi nje ya nchi kuombaomba michango, wanachofanya ni kuomba wananchi wachangie ili mabadiliko yatimie, mambo hayo hata nchi za nje zilizo tajiri huwa wanafanya kukusanya michango kwa ajili ya mgombea wao kwenye vyama vyao, chadema kufanya hivyo sio kosa. Kosa kubwa na aibu ni kwenda nje ya nchi kuomba wakati rasilimali tunazo. bajeti ya kuomba, vyandarua vyakuomba, barabara zinazojengwa za kuomba, kujenga vyoo vya shule kuomba, kila kitu kuombaomba ndio sera ya CCM kuomba
Rungu - You seemed to be extremely :confused2:hallucinated and exhausted :mvutaji:, go back to the rehab, your sweet home .You are one of those savages that, upon reaching London, become amazed and flabbergasted to discover that even children, waiters and garbage collectors speak English fluently. Wake up from your colonial stupor! HapaK[URL="https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=HapaKaziTu"]#aziTu[/URL]
Haya jinyonge
Imenishangaza sana, sijui ile sera namba moja ya ccm kuombaomba kwa wazungu ataitekeleza vipi kama akichaguliwa kuwa rais. sijui atakuwa anaomba kwa kiswahili au atakuwa anatembea na mkalimani kwa kazi maalumu ya kuombaomba
Haya jiue basi