Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,271
Kama kawaida yetu, kujua au kutojua kitu kunahusianishwa na uwezo wa mtu kulonga kidhungu. Kidhungu chake kinatosha sana.
Kingereza ni practice atajua tu, kaweza Diamond ashindwe Dr. Magufuri!!!!?
kipau mbele ELIMU,ELIMU,ELIMU.
Imenishangaza sana, sijui ile sera namba moja ya ccm kuombaomba kwa wazungu ataitekeleza vipi kama akichaguliwa kuwa rais. sijui atakuwa anaomba kwa kiswahili au atakuwa anatembea na mkalimani kwa kazi maalumu ya kuombaomba
Magufuli hachaguliwi na waingereza. Pole sana.Tunamtaka Magufuri kwenye mdahalo wa wagombea Urais utakaofanyika kwa Umombo.
Hivi kuongea kiingereza ndio qualification za kuwa Rais? Ndio maana wachina na wale jamaa wa far east wanatuacha hapa tulipo. Tuendelee kulingia uwezo wetu wa kuongea kiingereza
Kizungu au kisubi na hyo PhD aliipataje so shame shame kabisa english ni official language na international language.
Tuache porojo.dunia ya sasa kiingereza hakikwepeki. yaani ni muhimu kuliko unavyofikiriaNyinyi UKAWA tukiwachagua mtatuturudisha enzi ya ukoloni kwa jinsi mnavyoshadadia Kiingereza kama majuha. #HapaKaziTu
Tunamtaka Magufuri kwenye mdahalo wa wagombea Urais utakaofanyika kwa Umombo.
we ------ tu unawasilishaje research yake na kiswahili kuwa makini huenda wewe umeishia form four kaa kimya tu maana hauna lololtekumbe hajui kabisa kiingereza!. Nimeshangaa aliwasilisha vipi reseach zake? Ninaona harufu ya karibu ya degree za mizani aka bao la mkono.
kumbe jasiri haachi asili!. Ccm ni ccm tu wamezoea vya kunyonga!
Du, kweli sikuwah kufikiria. Kumbe ccm walianza zamani kuchakachua!.
Hahaaa. Wana dhani bado tupo kwenye zama za magome.Kumbe hajui kabisa kiingereza!. Nimeshangaa aliwasilisha vipi reseach zake? Ninaona harufu ya karibu ya degree za mizani aka bao la mkono.
Kumbe jasiri haachi asili!. Ccm ni ccm tu wamezoea vya kunyonga!
Du, kweli sikuwah kufikiria. Kumbe ccm walianza zamani kuchakachua!.
Sawa, lakini kufikiria eti kukijua kiingereza ndio sifa ya kuwa kiongozi wa nchi ni akili ya kitumwa sana. Haya mawazo yanapatikana sana katika nchi zilizotawaliwa na waingereza. Hiyo tunaiita kasumba ya kikoloni. Ni aibu kubwa kwa mwafrika wa leo kuendelea kuwa na mawazo ya kitumwa kwa kiwango hiki. Hebu msikilize Ban Ki Moon (katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa). Unataka kuniambia huyo hafai kuwa na cheo hicho eti kwa sababu tu Kiingereza chake kimepinda? Acheni utani.Tuache porojo.dunia ya sasa kiingereza hakikwepeki. yaani ni muhimu kuliko unavyofikiria