Maombi ya CHADEMA- rejea Kamanda Lema - ulifika wakati nchi yetu itawaliwe na dikteta wakakubaliwa maana wao ati wako karibu na MunguWakuu
Historia ya nchi ina mapito mengi sana mapito mazuri na mapito mabaya, lakini ilikuaje kama nchi tukapata viongozi aina ya watu waliotajwa hapo juu,
Najaribu kuwaza nashindwa kupata jibu ilitokea nini hadi tukaongozwa na watu wa kariba hiyo natamani vizazi vijavyo visipate kufahamu historia za viongozi wa aina hiyo yaani wasikumbukwe kwa lolote kabisa maana ukihadithiwa ukweli unaweza kujikuta unaanza kulia kwa uchungu jinsi walivotuongoza hawa waliotajwa hapo juu.
Nauliza ilikuaje wakawa viongozi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]"Aliserema serema"... Mwanza serema seremaaaa[emoji1787][emoji1787]
Alikuwa anapenda huo wimbo
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Huko sasa zoezi lililopo ni kujenga miundombinu, kusali na kuabudu ni kwihney,[emoji12] Saizi anawaimbisha malaika wadogo ,maana yeye si malaika mkuu alisema!!
Watu wanaujua ukweli ila wanajilazimisha tu kuupinga. Tukipndoa nyerere mtu ambaye hotuba zake zitarudiwarudiwa ni magufuri.Bora wenye kuandika vitabu wameacha legacy ya maana,yule jamaa yeye angeandika kitabu kingekua kimejaa matusi tu.
Zile hotuba zake za We mama unataja kupanuliwa?Nikupanueee?Haya panua,mara nendeni mkakae na mavi yenu nyumbani.Watu wanaujua ukweli ila wanajilazimisha tu kuupinga. Tukipndoa nyerere mtu ambaye hotuba zake zitarudiwarudiwa ni magufuri.
Mungu kavuna,Sasa kushney.Wakuu
Historia ya nchi ina mapito mengi sana mapito mazuri na mapito mabaya, lakini ilikuaje kama nchi tukapata viongozi aina ya watu waliotajwa hapo juu,
Najaribu kuwaza nashindwa kupata jibu ilitokea nini hadi tukaongozwa na watu wa kariba hiyo natamani vizazi vijavyo visipate kufahamu historia za viongozi wa aina hiyo yaani wasikumbukwe kwa lolote kabisa maana ukihadithiwa ukweli unaweza kujikuta unaanza kulia kwa uchungu jinsi walivotuongoza hawa waliotajwa hapo juu.
Nauliza ilikuaje wakawa viongozi?
Mungu kavuna,Sasa kushney.Wakuu
Historia ya nchi ina mapito mengi sana mapito mazuri na mapito mabaya, lakini ilikuaje kama nchi tukapata viongozi aina ya watu waliotajwa hapo juu,
Najaribu kuwaza nashindwa kupata jibu ilitokea nini hadi tukaongozwa na watu wa kariba hiyo natamani vizazi vijavyo visipate kufahamu historia za viongozi wa aina hiyo yaani wasikumbukwe kwa lolote kabisa maana ukihadithiwa ukweli unaweza kujikuta unaanza kulia kwa uchungu jinsi walivotuongoza hawa waliotajwa hapo juu.
Nauliza ilikuaje wakawa viongozi?
Umenikumbusha mbezi,kimaro a k a Trump.Exactly,kwa upande wa Magu Hana hotuba hata moja ya kuvutia,zaidi ya kufoka foka tu,na kauli Kama bakini na "Mavi yenu majumbani"
we hawala wa Sabaya nenda kamuone bwana ako gereza la kisongo, kabakia kichwa tuKwa ranking za kwako usiye na elimu
Dikteta mwendazakeNi heri nionekane nina roho mbaya na kauzu kuliko kufadhili binadamu, binadamu hajawahi kuwa na shukrani hata siku moja ( ni wachache mno). Magufuli alijitoa sana kwa wananchi wa Tanzania alifanya kazi usiku na mchana, aligusa kila nyanja na hakuna kipindi chochote watanzania tulichoshuhudia maendeleo ya haraka kama kipindi cha JPM. Wengi mlioshupaza shingo kutaka kuharibu legacy ya Magu wengi wenu ni wezi, majambazi, wala rushwa, wapinzani msiojielewa au watu msiolitakia mema taifa letu.
NB: mtu kama kikwete anaonekana ndio kipenzi cha wengi kwa sasa ni kwasababu alikua ni kiongozi dhaifu sana, watu walipiga sana hela hali ya kuwa yeye mwenyewe yupo bize akipiga picha na Marais wa dunia. Zaidi na zaidi Magu pia ni binadamu hivyo ana mapungufu ya kiubinadam, ila ukweli ni kwamba ukiachana na nyerere basi rais bora wa muda wote atabaki kuwa ni magufuli, ndiye rais aliyeliliwa na karibu Africa nzima pindi mauti ilipomfika .. RIP MAGUFULI MUNGU AKULAZE MAHALI PEMA PEPONI AMEEN ..
Stupid sod!!Ni heri nionekane nina roho mbaya na kauzu kuliko kufadhili binadamu, binadamu hajawahi kuwa na shukrani hata siku moja ( ni wachache mno). Magufuli alijitoa sana kwa wananchi wa Tanzania alifanya kazi usiku na mchana, aligusa kila nyanja na hakuna kipindi chochote watanzania tulichoshuhudia maendeleo ya haraka kama kipindi cha JPM. Wengi mlioshupaza shingo kutaka kuharibu legacy ya Magu wengi wenu ni wezi, majambazi, wala rushwa, wapinzani msiojielewa au watu msiolitakia mema taifa letu.
NB: mtu kama kikwete anaonekana ndio kipenzi cha wengi kwa sasa ni kwasababu alikua ni kiongozi dhaifu sana, watu walipiga sana hela hali ya kuwa yeye mwenyewe yupo bize akipiga picha na Marais wa dunia. Zaidi na zaidi Magu pia ni binadamu hivyo ana mapungufu ya kiubinadam, ila ukweli ni kwamba ukiachana na nyerere basi rais bora wa muda wote atabaki kuwa ni magufuli, ndiye rais aliyeliliwa na karibu Africa nzima pindi mauti ilipomfika .. RIP MAGUFULI MUNGU AKULAZE MAHALI PEMA PEPONI AMEEN ..
Wewe ndoo ulie mlilia ila sisi huku kwetu mitaani kote ,maofisini wote walishangilia hatari .Ni heri nionekane nina roho mbaya na kauzu kuliko kufadhili binadamu, binadamu hajawahi kuwa na shukrani hata siku moja ( ni wachache mno). Magufuli alijitoa sana kwa wananchi wa Tanzania alifanya kazi usiku na mchana, aligusa kila nyanja na hakuna kipindi chochote watanzania tulichoshuhudia maendeleo ya haraka kama kipindi cha JPM. Wengi mlioshupaza shingo kutaka kuharibu legacy ya Magu wengi wenu ni wezi, majambazi, wala rushwa, wapinzani msiojielewa au watu msiolitakia mema taifa letu.
NB: mtu kama kikwete anaonekana ndio kipenzi cha wengi kwa sasa ni kwasababu alikua ni kiongozi dhaifu sana, watu walipiga sana hela hali ya kuwa yeye mwenyewe yupo bize akipiga picha na Marais wa dunia. Zaidi na zaidi Magu pia ni binadamu hivyo ana mapungufu ya kiubinadam, ila ukweli ni kwamba ukiachana na nyerere basi rais bora wa muda wote atabaki kuwa ni magufuli, ndiye rais aliyeliliwa na karibu Africa nzima pindi mauti ilipomfika .. RIP MAGUFULI MUNGU AKULAZE MAHALI PEMA PEPONI AMEEN ..
Alimzuia nani uyo magufuli tulipigwaNafikiri ilikuwaaje kwa sababu ww ni muuza unga,jambazi ,corrupt .Ilikuaje mpaka Magu akawa RAIS akawazuia kupiga dili.
Tell herKwa taarifa yako hakuna wakati watu wametekwa na kuuawa, unga umeuzwa sana, watu wamebambikiwa kesi za hovyohovyo, watu wameshuhudia uongozi wa kishamba na kiimla, kuminywa kwa vyombo vya habari, watumishi kutopandishwa madaraja na kutopewa nyongeza yao ya mshahara kila muhula, kununuliwa madege mabovu, viongozi kufoka katika kila hotuba na kutukana wananchi na kukejeri, viongozi kutaja jina la Mwenyezi Mungu jukwaani huku wao wakiwa mashetani na wenye roho mbaya ya chuki kwa wengine, wakati wa hao watu walifanya chochote ikiwamo kuiba wake za watu na mbaya zaidi kuanza kutesa wale wanawake waliowakataa, yaani uongozi wa hao watu hawakuwa hata na chembe ya ustaarabu hata kidogo kama viongozi wako hao
Kila zama na kitabu chake ndio maana Marekani kuna democrats (Rais Samia) na Republicans (Rais Magufuli). Aliyoyafanya JPM yalikuwa sahihi kwa wakati wake ila sasa tumuunge mkono mama yetu kipenzi (Democrat) Samia Hassan.
lowasa akiwekwa na chadema ilitosha.Ben na mzee Msoga ndoo tunawalaum na hatutakaa tukawasamehe,wameturudisha nyuma kama miaka 10 iliyopita.Mwaka 2015 wao waliona mwenda zake ndoo alikuwa anafaa couse alionekana hana harufu ya rushwa na ufisadi kumbe walikuwa wanajidanganya.Sasa kilichokuja kutokea ni mara 7 wangemuweka Edward nchi ikaendelewa kuliwa lakini watu wanaishi vizuri .
Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
Hitaji la viongozi hutegemea na hali ya siasa za wakati huo. Kumbuka wakati wa mwalimu Nyerere na mzee Mkapa hapakuwa na social media kama wakati wa JPM hivyo usitegemee kuwa na sera za kufanana baina ya viongozi hao watatu.