Magufuli, Makonda na Sabaya; ilikuwaje tukapata viongozi wa aina hii?

Kuna jamaa flan Tanroad alinisimuliaga magu alivyokuwa waziri alikataa kabisa kusijengwe barabara za waenda kwa miguu (sidewalks) eti ni anasa. Wakati yeye alikua akilamba na kukunja 10%
magu akiwa waziri alisimamia zaidi barabara za kuunganisha mkoa.

hizo sidewalks za jamaa yako wa tanroad mwambie zimejengwa nyingi mno mjini,kwenye mpango wa barabara za manispaa mwaka 2015 kuja juu.
 
TISS mpo?
Si mnaona hata wabunge vilaza wapo tu mjengoni
 
Tanzania hakuna Democrats wala Republicans, wala hakuna mfanano wowote wa aina hiyo. Kuna CCM, CCM B na upinzani halafu kuna CCM Asili na CCM mpya/ makinikia/mataga.
kati ya vyote hivyo chadema iko kundi lipi hapo!!!maana kwa sasa wanakwenda na bi samia[emoji23][emoji23]
 
Chuki tu za watangulizi wake ndiyo zilituletea huyo mtu ambaye alituletea hizo copy zake nyingine

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Nakumbuka sio miaka mingi waziri mmoja wa German alijiuzulu baada ya kugundulika kuwa katika andiko lake la PhD alifanya quotation ya utafiti wa mtu lakini hakukiri, yaani haku declare kuwa sehemu hiyo ni ya mtu mwingine,kwa mzungu asiendelee?
 
wale wauza madawa, vyeti feki na mafisadi lazima wamchukie mwamba
 
Kuna jirani yangu kila usiku nasikia anapiga hotuba za mwendazake, jana nilisikia ile anagawa laki moja kununua jogoo sijui mama yake atamuoza[emoji205][emoji1787][emoji2223]
Hahaha, anaweza kuwa ni yule anayejiita nigastra....something, jina lake la ajabu ajabu humu
 
Katika hao wanunuliwa kuna mmoja hana kariba ya uongozi na anafanana na Musiba
 
Mkuu,
Swali lako ni rahisi.
Kiongozi anapotafutwa hakuna machine inayompima undani wake na malengo yake. Isitoshe Binadamu iwe kwenye uongozi biashara au shughuli yoyote inayohitaji ushirikiano mtu hupendekeza watu wake ' The Pro' umeambiwa katika Maelezo wazi na Dhahiri....Birds of the same Feathers fly together.
Mwl Nyerere aliwahi kusema ..Udictete ni tabia ya kiongozi na makundi yake wanaotengeneza mfumo wa uongozi kwa manufaa yao.
Ukilielewa hill utapata jibu lako kwa usahihi kwamba sabaya na Mamonda waliteuliwa na Magufuli kwa malengo na madhumuni sababu ulikuwa unaona hata akipuuza malalamiko dhidi yao.
Kupata kiongozi no sasa kupata mke unaweza pata mke ukabahatika au ukazama ndani ya tope hivyo usemavyo kuhusu vizazi vijavyo ni kuwaomnea mungu sababu due is ni hii hii ma Binadamu ni huyu huyu.
 
Wadhalimu wafuasi Kayafa...system ijipanfe kwa nini imeshindwa ku groom viongozi tunapelekeshwa na matakwa ya wanasiasa ?? Suala idara kuwa huru ni katiba kwa nini tiss wasishinikize kwa afya Taifa tupate katiba mpya umungu mtu utokomee ? RAIS ndio kila kitu unamfanya aww mungu mtu....ona ukoo wake walivyohomola...Heri James....Mnyeti ....Makonda etc ona waluvyohomola
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…