Magufuli na Lissu kukutana Kigoma kwa mara ya kwanza leo

Magufuli na Lissu kukutana Kigoma kwa mara ya kwanza leo

PAZIA 3

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2018
Posts
1,102
Reaction score
1,919
Kwa mjibu wa ratiba Tundu Lissu atakuwa na kampeni Kigoma mjini leo jioni katika maeneo ya Mwanga center. Wakati huo huo Rais Magufuli atakuwa Lake Tanganyika, atakuwa na Rais wa Burundi ambaye amealikwa katika uzinduzi wa jengo la mahakama.

Hofu yangu ni, je, CHADEMA wataruhusiwa kufanya maandalizi mazuri kwa kumpokea mgombea wao wa uraisi?

Polisi wajipange kukabiliana na vurugu zinazoweza kutokea kwa mashabiki Hawa wa vyama.
 
Tundu Lisu itabidi apishe shughuli ya kitaifa kwanza.

Yeye aendelee ni mkutano wake kesho maana hawezi kuingilia shughuli mahsusi ya mkuu wa nchi ambaye tayari yuko Kigoma
 
Tundu Lisu itabidi apishe shughuli ya kitaifa kwanza.

Yeye aendelee ni mkutano wake kesho maana hawezi kuingilia shughuli mahsusi ya mkuu wa nchi ambaye tayari yuko Kigoma!
Hii kama siyo fujo ni nini.

Ratiba ya NEC inasoma Lissu atakuwa Kigoma,Magufuli ndiye kaingilia kalazimisha kubaki Kigoma,

Kabaki kupokea wageni na kuzindua jengo la mahakama tangu lini wageni wakapokewa uwanja wa mpira na tangu lini jengo la mahakama likazinduliwa uwanja wa mpira.
 
Lisu anahofu sana ameenda kishingo upande
 
Kwa mjibu wa ratiba Tundu Lissu atakuwa na kampeni Kigoma mjini leo jioni katika maeneo ya Mwanga center. Wakati huohuo Mh Magufuri atakuwa Lake Tanganyika, atakuwa na RAISI wa Burundi ambaye amealikwa katika uzinduzi wa jengo la mahakama, hofu yangu Ni, je CHADEMA wataruhusiwa kufanya maandalizi mazuri kwa kumpokea mgombea wao wa uraisi? Police wajipange kukabiliana na vurugu zinazoweza kutokea kwa mashabiki Hawa wa vyama.
Japokuwa hapo Lake Tanganyika ataondoka saa sita ila ratiba ni yeye anaivuruga. Mara akate pumzi siku tano, mara aahirishe kule Bukoba na leo tena anapoteza siku Kigoma. Alitakiwa awe ameshafika Katavi leo. Yani mpaka leo alitakiwa hata asiwepo Rukwa! Any way ni kwakuwa hana sera na afya ni mgogoro!
 
Kwa mjibu wa ratiba Tundu Lissu atakuwa na kampeni Kigoma mjini leo jioni katika maeneo ya Mwanga center. Wakati huohuo Mh Magufuri atakuwa Lake Tanganyika, atakuwa na RAISI wa Burundi ambaye amealikwa katika uzinduzi wa jengo la mahakama, hofu yangu Ni, je CHADEMA wataruhusiwa kufanya maandalizi mazuri kwa kumpokea mgombea wao wa uraisi? Police wajipange kukabiliana na vurugu zinazoweza kutokea kwa mashabiki Hawa wa vyama.
Dah!!

Huku lazima kinuke huku..

Lissu is very strategic.
 
Back
Top Bottom