Mangisandy
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 2,652
- 2,273
Uhuru na Kagame?!Ni kweli kila mtu aendelee na ratiba yake. Ila naamini Lissu katika kampeni zake ataondokana na uzushi kuwa Rais Magifuli ameharibu uhusiano wa kimataifa na hata nchi za jirani. Leo Rais wa Burundi kaja. Hivi karibuni Uhuru na Kagame wamekuja Tanzania, tena Chato.