peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Ratiba ya NEC ,TL anahitajika kigoma leo. Na JPM alitakiwa awe Katavi leo.Hivi ulichoandika kiko sahihi? Ratiba ya NEC inasemaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ratiba ya NEC ,TL anahitajika kigoma leo. Na JPM alitakiwa awe Katavi leo.Hivi ulichoandika kiko sahihi? Ratiba ya NEC inasemaje?
Division four ya 33 ktk ubora wakoTundu Lisu itabidi apishe shughuli ya kitaifa kwanza.
Yeye aendelee ni mkutano wake kesho maana hawezi kuingilia shughuli mahsusi ya mkuu wa nchi ambaye tayari yuko Kigoma
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ooooh Yes [emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Umemuua hapaDivision four ya 33 ktk ubora wako
Kwani huyo mwenekiti wako matako hakujua ratiba ya NEC? Kwa nini aalike mgeni wakati anajua kuna mkutano wa kampeni? Hii ni fujo unatumia madaraka vibaya. Kama anataka kupima kukubalika kwa Lissu leo ataachiwa uwanja mtupu! Unafikri mwananchi gani mjinga atakubali kusikiliza ugolo hapo badala ya kwenda kupokea madini?Tundu Lisu itabidi apishe shughuli ya kitaifa kwanza.
Yeye aendelee ni mkutano wake kesho maana hawezi kuingilia shughuli mahsusi ya mkuu wa nchi ambaye tayari yuko Kigoma
Magu lazima ale kona hapo. Anamuogopa Lissu kama Baba Mkwe. Wamepishana mno kiakili na hoja.Kwa mjibu wa ratiba Tundu Lissu atakuwa na kampeni Kigoma mjini leo jioni katika maeneo ya Mwanga center. Wakati huo huo Rais Magufuli atakuwa Lake Tanganyika, atakuwa na Rais wa Burundi ambaye amealikwa katika uzinduzi wa jengo la mahakama.
Hofu yangu ni, je, CHADEMA wataruhusiwa kufanya maandalizi mazuri kwa kumpokea mgombea wao wa uraisi?
Polisi wajipange kukabiliana na vurugu zinazoweza kutokea kwa mashabiki Hawa wa vyama.
Loud and clearTundu Lisu itabidi apishe shughuli ya kitaifa kwanza.
Yeye aendelee ni mkutano wake kesho maana hawezi kuingilia shughuli mahsusi ya mkuu wa nchi ambaye tayari yuko Kigoma
Yaani kwa sababu kuna uchaguzi Rais wa Nchi atitekeleze majukumu yake?! Ratiba za Nchi ziko palepale acha atuwakilishe kukutana na mgeni wetu!Ratiba za kampeni ziko wazi. Hivyo Jiwe hawezi kuingilia utaratibu wa Chadema
Naona Mzee mzima pumzi ina karibia kukata. Kaamua kuingiza wapiga kampeni toka nje ya nchi.
Shikamoo Lissu, Shikamoo Chadema. Ccm mna semaje? Upinzani upo au umekufa?
Hii ya Leo kaki eti mgeni wake Rais kutoka burundi anzindua mahakama hii imeanza lini?Kwa mjibu wa ratiba Tundu Lissu atakuwa na kampeni Kigoma mjini leo jioni katika maeneo ya Mwanga center. Wakati huo huo Rais Magufuli atakuwa Lake Tanganyika, atakuwa na Rais wa Burundi ambaye amealikwa katika uzinduzi wa jengo la mahakama.
Hofu yangu ni, je, CHADEMA wataruhusiwa kufanya maandalizi mazuri kwa kumpokea mgombea wao wa uraisi?
Polisi wajipange kukabiliana na vurugu zinazoweza kutokea kwa mashabiki Hawa wa vyama.
Unajipendekeza wewe BintLissu anapenda fujo sana. Hivi kwann asingeenda kesho ili kusubiri Rais amalize shughuli ya kitaifa kwanza?
Hata Like huna[emoji81][emoji81][emoji81]Lisu anahofu sana ameenda kishingo upande
Kazi unayo kwanza kumuelimusha mpenzi wako Ndio baadae muanze kutafuta watoto la sivyo mtazaa MA__JIWEJane my love [emoji7]
KampeniHii ya Leo kaki eti mgeni wake Rais kutoka burundi anzindua mahakama hii imeanza lini?
Je tumewahi kusikia uzinduzi wa mahakama?
[emoji38][emoji38]Kazi unayo kwanza kumuelimusha mpenzi wako Ndio baadae muanze kutafuta watoto la sivyo mtazaa MA__JIWE
Hajielewi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ooooh Yes [emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Umemuua hapa