Hii kama siyo fujo ni nini.Tundu Lisu itabidi apishe shughuli ya kitaifa kwanza.
Yeye aendelee ni mkutano wake kesho maana hawezi kuingilia shughuli mahsusi ya mkuu wa nchi ambaye tayari yuko Kigoma!
Tundu Lisu itabidi apishe shughuli ya kitaifa kwanza.
Yeye aendelee ni mkutano wake kesho maana hawezi kuingilia shughuli mahsusi ya mkuu wa nchi ambaye tayari yuko Kigoma!
Wakati wa kampeni huu.Ukuu wa nchi ndio unao tafutwa siyo kufungua mahakamaTundu Lisu itabidi apishe shughuli ya kitaifa kwanza.
Yeye aendelee ni mkutano wake kesho maana hawezi kuingilia shughuli mahsusi ya mkuu wa nchi ambaye tayari yuko Kigoma!
Bwashe kwani Ratiba ya NEC inaonyeshaje leo......mwambie mzee aondoke ampishe Rais mtarajiwa
Japokuwa hapo Lake Tanganyika ataondoka saa sita ila ratiba ni yeye anaivuruga. Mara akate pumzi siku tano, mara aahirishe kule Bukoba na leo tena anapoteza siku Kigoma. Alitakiwa awe ameshafika Katavi leo. Yani mpaka leo alitakiwa hata asiwepo Rukwa! Any way ni kwakuwa hana sera na afya ni mgogoro!Kwa mjibu wa ratiba Tundu Lissu atakuwa na kampeni Kigoma mjini leo jioni katika maeneo ya Mwanga center. Wakati huohuo Mh Magufuri atakuwa Lake Tanganyika, atakuwa na RAISI wa Burundi ambaye amealikwa katika uzinduzi wa jengo la mahakama, hofu yangu Ni, je CHADEMA wataruhusiwa kufanya maandalizi mazuri kwa kumpokea mgombea wao wa uraisi? Police wajipange kukabiliana na vurugu zinazoweza kutokea kwa mashabiki Hawa wa vyama.
Dah!!Kwa mjibu wa ratiba Tundu Lissu atakuwa na kampeni Kigoma mjini leo jioni katika maeneo ya Mwanga center. Wakati huohuo Mh Magufuri atakuwa Lake Tanganyika, atakuwa na RAISI wa Burundi ambaye amealikwa katika uzinduzi wa jengo la mahakama, hofu yangu Ni, je CHADEMA wataruhusiwa kufanya maandalizi mazuri kwa kumpokea mgombea wao wa uraisi? Police wajipange kukabiliana na vurugu zinazoweza kutokea kwa mashabiki Hawa wa vyama.
Maajabu ya karne haya ndo huyu huyu alijiaminisha upinzani utakufa kabla ya uchaguzi teh,teh,teh.....Hiz sasa fujo,NEC walipanga hii ratiba ya kufungua jengo la mahakama uwanjani?![emoji2956][emoji1]au ndo figisu za mbogamboga?