Magufuli na Lissu kukutana Kigoma kwa mara ya kwanza leo

Uhuru na Kagame?!
 
Mkuu JP magufuli ni Rais na Amiri jeshi mkuu ndio mana leo unaona amevua koti la ugombea kwa ccm na kuvaa koti la Urais, maisha lazima yaendelee Huyo ni Rais ivo hawezi kusimamisha kila jambo kisa kampeni hilo hapana, yeye angalie tu muda wake ili ahakikishe ana perfom duties za Kitaifa kama hizi za leo
 
Lissu anapenda fujo sana. Hivi kwann asingeenda kesho ili kusubiri Rais amalize shughuli ya kitaifa kwanza?
Jitaidi kuficha ujinga ndani ya nguo! Alafu unadhalilisha sana jina la Lowasa, ukoo ule hawana kiwango hiki cha ujinga!
 
Mnasemaga tume yetu ni tume huru,Kama ndivyo Basi "Ratiba ya NEC" iheshimiwe. Vinginevyo CDM watawasumbua Sana,na haki wanayo kufuatana na ratiba ya NEC.
 
In mbinu ya kula hela tu ya hazina Leo hakuna jipya
 
Magufuli mtu wa maajabu sana. Usikute akatumbukia ghafla mkutano wa Lissu na kutangaza kuunga mkono juhudi za Lissu na kujitoa ugombea ili Lissu aje amkumbuke kwenye ufalme wake.
Heri nusu shari kuliko shari kamili.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Lissu anapenda fujo sana. Hivi kwann asingeenda kesho ili kusubiri Rais amalize shughuli ya kitaifa kwanza?
Kuna muda huwa unawashwa sana sio siri!! Unahitaji kujikuna tu sio lazima uandike ushuzi ka huu mdada....

Wagombea wote wanafata ratiba ya kampeni kwa muongozo wa NEC, Mwenyekiti wenu ndo haeleweki anaingiza shughuli zingine katikati ya kampeni, Ko Lissu aache kwenda KG kisa Meko ameita wasaidizi wa nje kumpigia kampeni....?

Sent from my Infinix X5514D using JamiiForums mobile app
 
Hivi ni kwa nn jamaa anapenda kuwaalika madikteta tu tena kipindi hiki cha uchaguzi?πŸ€”πŸ€”
Zaidi ya hilo nasikia museven asili yake ni mhutu..... πŸ˜’πŸ˜’

Tuendelee kujiuliza pamojaπŸ‘πŸ‘
 
Lissu anapenda fujo sana. Hivi kwann asingeenda kesho ili kusubiri Rais amalize shughuli ya kitaifa kwanza?
Hivi ni kwa nn jamaa anapenda kuwaalika madikteta tu tena kipindi hiki cha uchaguzi?πŸ€”πŸ€”
Zaidi ya hilo nasikia museven asili yake ni mhutu..... πŸ˜’πŸ˜’

Tuendelee kujiuliza pamojaπŸ‘πŸ‘
 
Ningekua mm ndio magufuli ningemuomba Mh Tundu Antipas Mugway LISSU tufanye mdahalo leo leo hapo kigoma .......

Nimgekua mpambe wa magufulu na mtafuta vyeo kindakindaki ningemshauri mkuu wangu akubali kufanya mdahalo hukohuko kigoma.....
 
Halinaga akili hilo jitu
 

Ingekuwa ni kwenye Mpira tungesema kuwa kila Mtu acheze Mechi zake ili 'ashinde' ila sijajua huku ( hapa ) katika 'Medani' za 'Siasa' tusemaje pia.
 
Magufuli anapenda sana kujishusha, hata shughuli ambayo ingetakiwa ifanywe na jaji mkuu yeye ndio anataka akauze sura.

Haya ni mambo ya kipuuzi akina Uhuru Kenyatta hawawezi kufanya. Mwisho anaweza akajichelewesha tena hapo tukasikia kuwa anaenda kufungua choo kipya cha shule ya msingi. Very hopeless.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…