Magufuli na Lissu kukutana Kigoma kwa mara ya kwanza leo

Division four ya 33 ktk ubora wako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ooooh Yes [emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Umemuua hapa
 
Tundu Lisu itabidi apishe shughuli ya kitaifa kwanza.

Yeye aendelee ni mkutano wake kesho maana hawezi kuingilia shughuli mahsusi ya mkuu wa nchi ambaye tayari yuko Kigoma
Kwani huyo mwenekiti wako matako hakujua ratiba ya NEC? Kwa nini aalike mgeni wakati anajua kuna mkutano wa kampeni? Hii ni fujo unatumia madaraka vibaya. Kama anataka kupima kukubalika kwa Lissu leo ataachiwa uwanja mtupu! Unafikri mwananchi gani mjinga atakubali kusikiliza ugolo hapo badala ya kwenda kupokea madini?
 
Magu lazima ale kona hapo. Anamuogopa Lissu kama Baba Mkwe. Wamepishana mno kiakili na hoja.
 
Ratiba za kampeni ziko wazi. Hivyo Jiwe hawezi kuingilia utaratibu wa Chadema
Naona Mzee mzima pumzi ina karibia kukata. Kaamua kuingiza wapiga kampeni toka nje ya nchi.
Shikamoo Lissu, Shikamoo Chadema. Ccm mna semaje? Upinzani upo au umekufa?
Yaani kwa sababu kuna uchaguzi Rais wa Nchi atitekeleze majukumu yake?! Ratiba za Nchi ziko palepale acha atuwakilishe kukutana na mgeni wetu!
 
Hii ya Leo kaki eti mgeni wake Rais kutoka burundi anzindua mahakama hii imeanza lini?
Je tumewahi kusikia uzinduzi wa mahakama?
 
Lissu anapenda fujo sana. Hivi kwann asingeenda kesho ili kusubiri Rais amalize shughuli ya kitaifa kwanza?
Unajipendekeza wewe Bint
Lissu haendi yeye hio ni ratiba ya NEC
Hata Kama isingekua kuna mahakama angesema anaweka jiwe la Msingi ilimradi magu anataka amsikie lissu mubashra amechoka kuhadithiwa pia inasemekana afya yake sio nzuri kwa laana za watu
Magu anawakati mgumu Sana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ooooh Yes [emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Umemuua hapa
Hajielewi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…