Magufuli ni Rais muoga haijawahi tokea katika nchi hii

Kwani ni kifungu gani cha Katiba ya JMTZ Raisi wa JMTZ alichovunja kwenye kupitishwa kwa huo Mswada?


Naomba upaki pembeni, wenye kujua kuendesha na kujadili mambo waendelee, kwani yeye ni vingapi anavunja bana wewe? kwani ni katiba ipi anaifutatilia
 
Naomba upaki pembeni, wenye kujua kuendesha na kujadili mambo waendelee, kwani yeye ni vingapi anavunja bana wewe? kwani ni katiba ipi anaifutatilia


Huo ushauri ulipaswa ujipe wewe na siyo mimi, isitoshe kila mtu Ana haki ya kutoa maoni yake, wewe ni nani utake kunizuia?
 
Tatizo Bunge limejaza wajinga wengi, watu wasio na uelewa wowote lakini wenye maneno mengi ya mtaani. Fikiria bunge lenye watu wafuatao:

Kibajaji
Ngamia
Musukuma
Ja People
Marehemu Maji Marefu, n.k..

Unategemea nini cha maana kutoka kwa watu kama hao? We are in a big shit as a nation.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mh Magufuri angeongoza vizuri sana Tanzania kosa alilifanya ni kwenda Rwanda nilisikitika sana yeye kwenda kule huwezi kuwa na rafiki anaetangaza kuua ukafanikiwa kabisa Tanzania imekua Nchi ya laana watu wanafanya matukio ya ajabu kila kukicha na viongozi wa Juu au viongozi wa dini huoni kukemea mfano mauaji ya watoto Njombe mnaona poa tuu na majibu yenu mepesi eti Visasi?
 
Ni kweli kabisa na tatizo kubwa ni kwamba ana uwezo mdogo sana wa kiuongozi, akili ndogo kuongoza akili kubwa huwa inashindikana na kukimbilia vitendo vya kuficha udhaifu wake kama tunayoshudia, vitisho, utekaji, utesaji, mauaji, sheria kandamizi nk
 
Haya anayofanya Rais JPM ungejua ni zigo alitwishwa na mtangulizi wake wala usingeona haja ya kuanzisha hii topiki.

Kagame kanza kubadilika, jiulize baada ya miaka mingapi ya kuinyodha Rwanda.

Mh endelea kunyosha nchi hii usirudi nyuma maana ilishafikishwa kuingia kuzimu na mtangulizi wako. Utabadilika ile miaka yako ya nyongeza baada ya hii 10 kwisha.
 
Kwani Mabadiliko haya yamemzuia mtu kuongea?
Tusipokuwa makini na kutafuta mbinu za kumdhibiti huyu Rais ambaye anajiiona ni invicible, itakuja kutucost when it is too late.
Mlaumu Rais siku atakapo usaini kuwa Sheria lakini ukimlaumu sasahivi na wakati hakuwepo bungeni mule wala hajashiriki kuupisha mule Bungeni unamuonea.

Licha ya kuwa na Mapungufu ila ni kidogo kuliko mazuri! Mfano mwaka 2015 NGO zote ambazo zilikuwa zinataka kutoa elimu juu ya uchaguzi mkuu ziliomba kibali toka tume huku wakiambatanisha maudhui ya elimu hiyo! bila shakha sioni tatizo hapa kwenye hili japo nilimshangaa Mdee akilalamikia hili kwa kuweka hoja kuwa vyama vyetu vinaungwa mkono pia na vyama vya nje ya nchi vyenye itikadi tofauti..! Hapa nikashikwa na mshangao ina maana leo kipengere kitapingwa kwa lengo lipi? aliyekubali Ushoga huko Ughaibuni aje tu kwenye siasa zetu akaombe kura kwa mashoga eti atawapa ruhusu ya kupumuliana visogoni..! Hapana kwa kweli
Nilijiuliza swali la msingi; Kwanini huyu Rais anatumia nguvu nyingi kunyamazisha dissenting voices? Ni kweli kwamba kwenye siasa kuna propaganda, uzushi na uongo mwingi sana lakini hiki hakipaswi kuwa chanzo cha Serikali ya Magufuli kuweweseka.
Tukiendekeza propaganda za kimagharibi tutapotea na hatutokuja kufanya kitu cha maana! Huko kwao wakianya uchaguzi husikii wanapita barabarani kupingapinga wenyewe wanafanya kazi! Japo Trumple anapigiwa kelele sana na ripoti Transparency imeonyesha Marekani ufisadi umezidi kipindi chake lakini hujamsikia Hillary Clinton akihamasisha maandano wala mikutano..! hawa wanajiita nchi zilizo starabika lakini nchi zisizo starabika tunaishi kiholela mno! mara terrible Teen mara nini yani vituko tupu!

Hivi kweli mara ngapi tumesikia chama fulani kila serikali inapotoa ruzuku imekuwa ikipita kwenye ac ya mtu fulani? Mara ngapi cheo cha juu cha uenyekiti kimekuwa kaa la moto kila unapotaka kukigombea?
 
Kama hauna hoja za kushawishi watu kuwaongoza lazima uwe muoga kama huku shinda uchaguzi kihalali lazima uwe muoga
 
Tuna system mbovuuu sana, ingekuwa imara isingeruhusu huyu shetani kuwa na madaraka over watu 50M
 
Tuwekee hizo Act zenye matatizo katika mswaada huo, na jinsi gani zitaleta effects. Pia tuthibitishie ni jinsi gani rais na huyo mpwa wake wameishikilia hazina.

Kama itakupendeza tuambie unamaanisha nini unaposema "rais waache watu wazungumze" kwan kawaziba midomo?? Tundu lissu anaongea, juzi mnyika pale kimara kaongea waz mbele ya rais, zitto na wenzie wameongea huko zanzibar, tena wametoka na azimio. Fafanua hapa
Tukukumbushe tu, hakuna nchi duniani iliendelea kwa misaada na mikopo, kwahyo usiforce nchi ikope au kuendelea kupata misaada, kwanza vya kupewa ni ghali na vinadhalilisha.

Njoo utuambie serikali ifanye nini kwenye kilimo kuongeza productions, serikali ifanye nini kukuza utalii tuongeze kipato, viwanda, teknolojia nk.

Hakuna nchi mtu anaongea bila mipaka, kamuulize snowden wa marekani, si ndo baba yenu wa demokrasia??

La mwisho, Magufuli ni mtu kama wewe atamaliza kipindi chake atasepa, nchi itabaki. Tundu lissu atakufa nchi itabaki, wapo akina nyerere?? Nchi hii upinzani unalegea sana, vyama vyao ni kama vikundi vya wahuni!! Wajanja Wajanja tu, wenyekiti ni wale wale toka tunazaliwa miaka ya 90s



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayakua maigizo... maana hiyo ndio ilikua his style of leadership toka alivokuwa waziri wa ujenzi....
Style ya kudanganya idadi ya samaki mtoni, maziwani na baharini? Au kutaja kms za kufurahisha umma kwa fix?

Kwanza nijicheke na Mimi nilikuwa naamini ati! Angeishia kwenye uwaziri ningekuwa naamini mpaka leo, ila sasa nimejua kumbe ilikuwa fix!
 
Kwa Γ kili yako hapa unaonyesha kutokujua vitu, Snowden alikuwa mwandishi sio? Au Agent wa CIA aliyeamua kuwa double agent?
 
Aende akaogopee huko chato sisi atuachie nvhi yetu.
 
Nikukumbushe tu ndio hawa wabunge walipitisha issues nyingi ambazo zinagharimu taifa mpaka sasa, japo wachache walipinga kwa hoja lakini walijibiwa kwa kejeli na kuitwa sio wazalendo. Na ni wabunge hawa hawa leo wanasifu juhudi hewa za kupambana uozo waliouweka wenyewe. Wabunge wa CCM wapo kwajili ya Chama na sio taifa. Utakua limbukeni sana kama huyaoni haya. Wabunge wenye nia ya dhati kutetea taifa awawezi kwasababu wakijarubu watakutana na panga la mwenyekiti kwenye mchakato wa kupitishwa na Chama.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ ndio hao hao walishiriki kuinga katiba ya Warioba kwa sababu ilikuwa inawabana kwenye elimu
 
Mswada wa kikokotoa sijui ulipitishwa kwa mbwembwe huwa nafurahi nikiona mkuu a nakaa pembeni Ana watch live bunge wanapitisha alafu na yeye anaita watu wengine tena live anauuhairisha. Sitamani kuwa mbunge hata kidogo. Bora niwe na profession yangu nitapata Baraka kwa Mungu
 
mtapata tabu sana na akimaliza 2025 TUNAMUONGEZEA.
 
Kwa nini unamlaumu Raisi Magufuli kwa Maswada uliopitishwa na Bunge la JMTZ?

Hivi hata hii demokrasia mnaielewa kweli?
Aliyeleta huo mswada wa sheria bungeni ni nani kama si serikali. Hii serikali yetu ya sasa nani asiyejua kuwa imenywea kwa mtu mmoja tu.!! Na huu mswada na sasa inaenda kuwa sheria ndo uleule mkakati wa kuhakikisha vyama vya upinzani vitafutika 2019 kwa mujibu wa kauli za jiwe mwenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninyi ndio mnazidi kutia hasira, ina maana hujui siku hizi Magufuli ndio jaji, spika, na hata ndio waziri wa wizara zote?
Hadi umiliki wa wamachinga. Mwisho wa siku atakuja kumiliki hadi nyumba za watu na hapo ndo itatungwa sheria ya kuwa na siku rasmi ya ibada ya kusifu na kumtukuza kwa kazi zake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji382][emoji382][emoji382] Umeongea kweli tupu mkuu.. Mtu mzima hajiamini kawafundisha hadi wafuasi wake mikwara na ubabe ndio safe defense.. Wasichojua this is 21st century aibu kuu iko around the corner [emoji848]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…