Muovu kukushinda wewe unaefanya madhambi yako na bado unasemea uongo kuhukumu mtu ambaye unamjua kwa njia ya picha na video tu za mitandaoni.
Wewe magufuri unamjua personally na ulishayashuhudia maovu yake akiwa anapanga au kuyatekeleza?!
Magufuri hasafishiki mpaka atakapokuja kutokea mbaya zaidi yake hapo story zake zitaisha lakini kama tutaendelea kupata marais ambao wanaitii Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na watu wake ataendelea kuongelewa vibaya.Nimefuatilia Mahojiano ya Lissu, kuna Ile kipande ambapo anaongea vibaya kuhusu Magufuli, sasa nimesoma Comment zaidi ya 2000 katika Comment zote nimeshuhudia ghadhabu ya wananchi juu ya Lissu.
Lissu aliamini kuwa kwa kusema alishambuliwa kwa risasi basi atatia huruma na kuonekana alionewa lakinia ajabu ni kwamba wananchi wamemtukana sana Lissu kisa kumsema vibaya Magufuli. Comment zote zaidi ya 2000 zinamtetea Magufuli.
Kwa hali niliyoona ni wazi kwamba Magufuli hagusiki na ukimgusa jiandae kuchafuka mwenyewe.
Utatukanwa na waroho mkuuNimefuatilia Mahojiano ya Lissu, kuna Ile kipande ambapo anaongea vibaya kuhusu Magufuli, sasa nimesoma Comment zaidi ya 2000 katika Comment zote nimeshuhudia ghadhabu ya wananchi juu ya Lissu.
Lissu aliamini kuwa kwa kusema alishambuliwa kwa risasi basi atatia huruma na kuonekana alionewa lakinia ajabu ni kwamba wananchi wamemtukana sana Lissu kisa kumsema vibaya Magufuli. Comment zote zaidi ya 2000 zinamtetea Magufuli.
Kwa hali niliyoona ni wazi kwamba Magufuli hagusiki na ukimgusa jiandae kuchafuka mwenyewe.
True !Kuwakumbuka wenye haki huwa na baraka; Bali jina la mtu mwovu litaoza. Mithali 10:6.
Jina la JPM, litaendelea ku trend vizazi vingi vijavyo. Ninyi badala ya kufanya kazi, endeleeni kulalamika tu ndicho mtakacho vuna. Watanzania sio wajinga.
Mapungufu kama sifa ya binadamu ilivyo na yeye alikuwanayo !MAGUFULI alikuwa raisi bora kuwahi kutokea Tanzania na nachelea kusema raisi bora wa muda wote!
Nikitaka kuwaza ujuzi na maarifa kwa jamii Magufuli yumo kwenye 5 bora ya taifa, na tundu lisu hayumo hata kwenye 300 ya role model wangu.
Angejifunza hili angefaidika sana....Maana mtu mwenyewe mfu kisha anatetewa hadi na mawe...Hawezi kujiuliza why? JPM aligusa maisha ya mtu wa kawaida kiuhalisia siyo kisiasa....Kila mtu alijisikia salama isipokuwa wahalifu ambao ni population ndogo sanaNimefuatilia Mahojiano ya Lissu, kuna Ile kipande ambapo anaongea vibaya kuhusu Magufuli, sasa nimesoma Comment zaidi ya 2000 katika Comment zote nimeshuhudia ghadhabu ya wananchi juu ya Lissu.
Lissu aliamini kuwa kwa kusema alishambuliwa kwa risasi basi atatia huruma na kuonekana alionewa lakinia ajabu ni kwamba wananchi wamemtukana sana Lissu kisa kumsema vibaya Magufuli. Comment zote zaidi ya 2000 zinamtetea Magufuli.
Kwa hali niliyoona ni wazi kwamba Magufuli hagusiki na ukimgusa jiandae kuchafuka mwenyewe.
Wapo wengi kama JPM ila mifumo iliyopo inawazuia ku excel, si mbali na sasa patafumuka and you wont believe your eyes, critical mass imeshakaribia, huu ujinga hauna muda mrefu, nife au niwe hai weka hii kauli yangu...Walitaka kuuza eneo lote la Oysterbay polisi kuanzia Namanga mpaka Morocco mpaka ubalozi wa Marekani halafu pakishajengwa warudi kama mpangaji wa kipande kidogo cha ofisi. Mwekezaji mwenyewe business plan yake achukue mkopo kutumia collateral ya kiwanja hicho hicho cha polisi!
JPM akawaambia polisi are you freaking imbecilles ? Mnawezaje kujiuza na kuuza nchi yenu kipumbavu namna hiyo?
Meanwhile, nobody in the nation since Nyerere's era saw anything wrong with such state auctioneering. 60 million people but nobody else!
Ingekuja leo hiyo proposal ingepita. Atakumbukwa.
Maisha ya kuiba pesa na kupeleka China ili kujenga Chato iwe nchi huru inayojitegemea kama Rwanda na Burundi.Angejifunza hili angefaidika sana....Maana mtu mwenyewe mfu kisha anatetewa hadi na mawe...Hawezi kujiuliza why? JPM aligusa maisha ya mtu wa kawaida kiuhalisia siyo kisiasa....Kila mtu alijisikia salama isipokuwa wahalifu ambao ni population ndogo sana
Hayo maoni ya watu 2000 ya wanaomtetea muuaji yako wapi? Yaani unataka kusema nchi hii imejaa watu waovu ambao siku zote wanatetea uovu kama ule uliofanywa na marehemu?Nimefuatilia Mahojiano ya Lissu, kuna Ile kipande ambapo anaongea vibaya kuhusu Magufuli, sasa nimesoma Comment zaidi ya 2000 katika Comment zote nimeshuhudia ghadhabu ya wananchi juu ya Lissu.
Lissu aliamini kuwa kwa kusema alishambuliwa kwa risasi basi atatia huruma na kuonekana alionewa lakinia ajabu ni kwamba wananchi wamemtukana sana Lissu kisa kumsema vibaya Magufuli. Comment zote zaidi ya 2000 zinamtetea Magufuli.
Kwa hali niliyoona ni wazi kwamba Magufuli hagusiki na ukimgusa jiandae kuchafuka mwenyewe.
Magufuli kila uchwao, kizazi na vingi vijavyo, kama ilivyokuwa kwa Stallin, jina lake litazidi kutajwa kwa uovu mkubwa alioutenda.Nikitaka kuwaza ujuzi na maarifa kwa jamii Magufuli yumo kwenye 5 bora ya taifa, na tundu lisu hayumo hata kwenye 300 ya role model wangu.
Niliona kwenye tweet ya Lema jamaa kamwambia, "Lema soma mpaka mwisho wa comments na changanua like nyingi zinaLIKE reply aina gani"Nimefuatilia Mahojiano ya Lissu, kuna Ile kipande ambapo anaongea vibaya kuhusu Magufuli, sasa nimesoma Comment zaidi ya 2000 katika Comment zote nimeshuhudia ghadhabu ya wananchi juu ya Lissu.
Lissu aliamini kuwa kwa kusema alishambuliwa kwa risasi basi atatia huruma na kuonekana alionewa lakinia ajabu ni kwamba wananchi wamemtukana sana Lissu kisa kumsema vibaya Magufuli. Comment zote zaidi ya 2000 zinamtetea Magufuli.
Kwa hali niliyoona ni wazi kwamba Magufuli hagusiki na ukimgusa jiandae kuchafuka mwenyewe.
PoleLissu na hayo magolori yake,
Mwamba anajitahid sana kusoma comments [emoji28]Eti umesoma comments zaidi ya 2000 [emoji23]
Ni oil chafu kweli na ameacha uchafu mwingi sana kila mahali.Nimefuatilia Mahojiano ya Lissu, kuna Ile kipande ambapo anaongea vibaya kuhusu Magufuli, sasa nimesoma Comment zaidi ya 2000 katika Comment zote nimeshuhudia ghadhabu ya wananchi juu ya Lissu.