Uchaguzi 2020 Magufuli: Wapinzani wakishinda watavunja-vunja madaraja na kuuza scraper!

Yaani we ulichoshindwa kutofautisha ni economic growth and economic development which are different in economic perspective.
Hatua ya kwanza ya maendeleo si vitu bali ni people's welfare being
 
NJAA IMELETA AKILI NAONA HALI YA KUPIGA KURA IMEONGEZEKA BAADA YA UJIO WA TL NA WAUNGA JUHUDI KUCHEZEA UBATIZO WA MOTO
 
Yaani we ulichoshindwa kutofautisha ni economic growth and economic development which are different in economic perspective.
Hatua ya kwanza ya maendeleo si vitu bali ni people's welfare being
UNAANZA KUENDELEZA WATU KWANZA THENI VITU.MAENDELEO YA VITU BILA WATU NI KUUWA UCHUMI WA NCHI.
NDO MADHARA YA KUDHARAU BUNGE TUSINGEFIKIA HAPA. YOTE YALIYOFANYIKA YAMESHINDWA BADILI MAISHA YA WATU.
HII NI KANUNI, UKIWASOMESHA WTU NAMBA NAO WATAKUSOMESHA KWENYE KURA
 
NJAA IMELETA AKILI NAONA HALI YA KUPIGA KURA IMEONGEZEKA BAADA YA UJIO WA TL NA WAUNGA JUHUDI KUCHEZEA UBATIZO WA MOTO
Uzuri wa madhara ya huyu mtu hayachagui ccm wala upinzani, linakukosa wewe linatua kwa ndugu, jamaa ama rafiki. Kuna jamaa zangu walikuwaga na shobo na ccm bahati nzuri woote wamesomeshwa namba sasa hivi akili ziko sawa.

Mmoja huyo mke wake alikuwa na cheti feki yaani yule ndio hata mwaka haukuisha tangu jamaa aingie akanyooshwa, hawa wengine walikuwa na vibiashara vimeuwawa na kodi na uchumi kuyumba, sasa hivi ukiwaimbia ule wimbo wa kusoma namba wanaweza kukutoa roho
 
Mzee mwinyi unaporojo sana yakhee, hiii hapa kazi tu
 
Alimaanisha hata angekuja kiongozi yeyote tofauti na yeye kwa kipindi hata kama ni CCM wangeweza wasimalizie muradi hii kama wao waliyoiasisi.Kwahyo usipotoshe
Yaani sifa ya kuwa mwana CCM ni kuukataa ukweli hata kama unakuchungulia usoni. Nimemsikia Magufuli akidai kuwa wapinzani wakitwaa madaraka watauza hizo meli na watavunja vunja hayo madaraja na kuyauza kama skrepa. Jambo moja nakubaliana naye ni kwamba hakuna kama CCM kwani kuwa mwana CCM ni zaidi ya utumwa. Napendekeza jina walilopewa la nguruwe liwe la kudumu kwa hivi viumbe.

Anadai maendeleo hayana chama lakini hapo hapo anawalaumu waliochagua upinzani na kuapa kutowapa maendeleo na huku kodi zao anazitafuna kama vile hazina mwenyewe...anachota tu kwa mpwa. Yeye aongee tu mbele ya vilaza wanaoitikia chochote anachokitamka hata kama hakina ukweli wowote. Kumbe ndio maana nasikia ukijiunga na CCM akili zote unazipa likizo isiyo na kikomo kwani hutazihitaji.
 
TRUE KUNA MAMA ALIKUWA NA SHOBO NA JAMAA HUKU AKIIMBA MTAISOMA NAMBA KWA NYODO AKASOMESHWA YEYE YAKAMKUTA YA VYETI OUT AJAKAA SAWA BULLDOZA LIKANYOOKA NA NYUMBA YAKE KIMARA STRESS THEN MUNGU AKAMPENDA ZAIDI.
MZEE MAKAMBA MTABATIZWA KWA MOTO MOTO WA MAKA UKAMPTIA HANA HAMU.
WALIPOMBIWA HAKUNA ALIYE SALAMA WALIDHANI HAYAWAHUSU.
yeyeto mwenye akili timamu hayupo salama,thus Ma RC wakatamani ubunge,asingewataadharisha ili waanguke wote kina hapi na chalamila wangekutana na spana
 
Nakubaliana nawe mkuu
 
Aisee inasikitisha sana, uzuri kuna mambo mengi yaliyo kwenye ngazi za kifamilia huyu jamaa kawajeruhi watu na haya hata iweje hawezi kuya resolve kwenye majukwaa, kura atakazo ambulia hataamini!! Nadhani for the first time ccm italalamika kuibiwa kura, kwani kipigo chake hawataamini.
 
unaanza na watu kwanza theni vitu,mfano umiliki kochi huku basic need imekushinda huwezi endelea huwezi kula kochi,shibe kwanza,afya kwanza,then vingine ndo ufuata.Maendeleo yoote ni lazima yaliflect kuboresha maisha ya watu,unajenga nyumba ya kuishi hali unayo tayari tena tosherevu na unaacha kuwaendeleza watoto wako kwa kuwanyima basic need mfano chakula,elimu,mtaji,afya then unaenda kununua vx,kujenga ghorofa la kuishi,kiuchumi hapa vipaumbele avijazingatiwa.Ethopia ,North Korea wana maendeleo ya vitu lakini watu wao wanakufa njaa,hawana ajira,matibabu,elimu hapa ni maendeleo ya vitu na sio watu.USA,ULAYA wana maendeleo ya vitu na watu
 
ameumizamakundi yote kuanzia wakulima,wafanyakazi,wafanyabishara,wahitimu,vijana,jumuiya za kimataifa,nk ndio mtaji sahihi wa mwanasiasa yeyote,amewekeza kwenye dola ambayo nayo haiwezi msaidia,kiongozi makini ukimbilia kumiliki watu na sio dola.Watu wana nguvu kuliko dola.
 


Jiwe speech zenye akili hawezi, achilia mbali kukosa sauti na accent nzuri ya Kiswahili kuvutia wasikilizaji.

Ni mropokaji tu na mtoa matusi kila speech akiamini watanzania wanavutiwa mno na sexual innuendos.

He is definitely not a presidential material. Ndiyo maana atakomea awamu moja tu.
 
Yaani we ulichoshindwa kutofautisha ni economic growth and economic development which are different in economic perspective.
Hatua ya kwanza ya maendeleo si vitu bali ni people's welfare being
Ni wakati wa wanasiasa kuongea, tutasikia ya kusikia😁
 
Mli
Kuna mnyanyembe mmoja alikua amevaa tshirt ya Chadema.aling'oa alama ya barabarani.tulimgongesha kichapo cha kimataifa kisha tukampeleka ngomeni kwa pilato.
Mlivunja sheria kulinda sheria?
 
Yaani we ulichoshindwa kutofautisha ni economic growth and economic development which are different in economic perspective.
Hatua ya kwanza ya maendeleo si vitu bali ni people's welfare being
Umeitoa wapi
 
Mie huwa najua jamaa ana pace maker lakini nadhani sasa wamemuongezea na charger kabisaaa. Duuuh sijui safari hii kutapatikana ile burudani maalumu ya push ups!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…