Mahafali ya 53 UDSM: Wanawake vipanga waongoza kwa ufaulu na kuwabwaga wanaume

Bado Kuna mtihani mwingine mkubwa wa maisha ambao upo baada ya kumaliza Shule, wajue kuwa Ili ufanikiwa mtaani lazima "ufanye mambo yawe" otherwise wakubebe.
 
Ujumbe muhimu na inaendelea Hadi Leo hii
Sawa sawa jitahada zinahitajika kunyanyua watoto wa kiume

Tusije kuwa kama nchi za Ulaya na Marekani, kule watoto wa kiume

Wengine wanabidi wabembelezwe ndio waende chuo. Wanawake ndio
wengi zaidi vyuo vikuu kule.
 
Bado Kuna mtihani mwingine mkubwa wa maisha ambao upo baada ya kumaliza Shule, wajue kuwa Ili ufanikiwa mtaani lazima "ufanye mambo yawe" otherwise wakubebe.
Mfumo wa sasa unambebe mwanamke zaidi hata kwenye ajira na
maisha ya mtaani.
 
Hivi mnasahau huyo unayemsimanga ndio mama wa watoto wako, sasa mnapenda awe mbumbumbu?
 
Mhhhh, kozi zenyewe za kimama mama, commerce, business!
Mi nirifikiri vitu heavy kama mechanical, electrical civil,
 

View: https://youtu.be/nNphQMdV-XU?si=BC8seLkzHdaRp6sy
 
Unawaza Ndoa, Badala ya kuwaza maendeleo.
 
Sychology = psychology
 
Nakumbuka mwaka 2009 wakati naenda kusoma udsm nilifurahi sana nikajua maisha nimeshatoboa tayari... Leo 2024 maisha yananishona mbaya, kila iitwayo Leo maisha yananifua mbaya...
Pole sana mwamba, mimi nimeona hiyo GPA 4.8 nikakumbuka matokeo yangu ya 1st Semester miaka hiyo.
Baada ya hapo God knows.
Sio kwa nusurika nusurika zile za Kudisco 🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…