Mahakama iliamuaje Lissu ana kesi ya kujibu kwenye kosa lisilokuwepo Kisheria?

econonist

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
25,522
Reaction score
40,795
Nimefuatilia submission ya Lissu na nimeshangaa ya kwamba ilikuwaje mahakama ikaona Lissu ana kesi ya kujibu. Kosa analoshtakiwa nalo Lissu halipo kisheria hasa kwenye kosa la Uhaini. Jamhuri inamshtaki Lissu kwa kosa la kuchochea umma ili kuitisha serikali. Ila ukienda kwenye Sheria ya kanuni ya Adhabu kifungu/ Sec.39(2)(b) yenyewe inatambua uchochezi kwa mtu binafsi au kikundi cha watu.

Ina maana Jamhuri inadai Lissu alichochea umma wote wa Tanzania ili kuitisha serikali. Sasa swali langu inakuwaje mahakama ikadai Lissu ana kesi ya kujibu kwenye kosa lisilokuwepo Kisheria?. Kwa maana nyingine Lissu hakuchochea mtu au kikundi cha watu kama inavyosema. Jamhuri imemshtaki Lissu kwa kosa lisilokuwepo kwenye Sheria za Jinai za Tanzania.

Hili ni jambo la kutafakari sana kuhusu uhuru wa mahakama zetu Tanzania.
 
Nimemfuatilia submission ya Lissu na nimeshangaa ya kwamba ilikuwaje mahakama itaona Lissu ana kesi ya kujibu. Kosa analoshtakiwa nalo Lissu halipo kisheria hasa kwenye kosa la Uhaini. Jamhuri inamshtaki Lissu kwa kosa la kuchochea umma ili kuitisha serikali. Ila ukienda kwenye Sheria ya kanuni ya Adhabu kifungu/ Sec.39(2)(b) yenyewe inatambua uchochezi kwa mtu binafsi au kikundi cha watu.

Ina maana Jamhuri inadai Lissu alichochea umma wote wa Tanzania ili kuitisha serikali. Sasa swali langu inakuwaje mahakama ikadai Lissu ana kesi ya kujibu kwenye kosa lisilokuwepo Kisheria?. Kwa maana nyingine Lissu hakuchochea mtu au kikundi cha watu kama inavyosema. Jamhuri imemshtaki Lissu kwa kosa lisilokuwepo kwenye Sheria za Jinai za Tanzania.

Hili ni jambo la kutafakari sana kuhusu uhuru wa mahakama zetu Tanzania.
Samia ndio kiongozi wa mashtaka, majaji ni vipaza sauti tu
 
No kwamba; mahakama ilipewa maelekezo ya kumsikiliza kujua what's up. Dola inataka kupata kitu kutoka katika kesi hiyo; lakini hakuna kesi.
 
No kwamba; mahakama ilipewa maelekezo ya kumsikiliza kujua whatad up. Dola inataka kupata kitu kutoka katika kesi hiyo; lakini hakuna kesi.
Inaweza kuwa kweli. Maana hata Suala la hati lililetwa mapema kwenye kesi, ila majaji wakatupilia mbali kabisa.
 
Iliamua hivyo ili ijifunze kitu na liwe somo kwa wanasheria wengine kipindi wanapowasilisha mashtaka. Watunga sheria pia waone udhaifu uliopo kwenye makosa jinai ya kuhamasisha umma kumbe si kosa kisheria.
 
Nimefuatilia submission ya Lissu na nimeshangaa ya kwamba ilikuwaje mahakama ikaona Lissu ana kesi ya kujibu. Kosa analoshtakiwa nalo Lissu halipo kisheria hasa kwenye kosa la Uhaini. Jamhuri inamshtaki Lissu kwa kosa la kuchochea umma ili kuitisha serikali. Ila ukienda kwenye Sheria ya kanuni ya Adhabu kifungu/ Sec.39(2)(b) yenyewe inatambua uchochezi kwa mtu binafsi au kikundi cha watu.

Ina maana Jamhuri inadai Lissu alichochea umma wote wa Tanzania ili kuitisha serikali. Sasa swali langu inakuwaje mahakama ikadai Lissu ana kesi ya kujibu kwenye kosa lisilokuwepo Kisheria?. Kwa maana nyingine Lissu hakuchochea mtu au kikundi cha watu kama inavyosema. Jamhuri imemshtaki Lissu kwa kosa lisilokuwepo kwenye Sheria za Jinai za Tanzania.

Hili ni jambo la kutafakari sana kuhusu uhuru wa mahakama zetu Tanzania.
Siyo lazima liwepo kisheria, mamlaka toka juu ikisema mahakama inatakiwa itekeleze.
 
Nimefuatilia submission ya Lissu na nimeshangaa ya kwamba ilikuwaje mahakama ikaona Lissu ana kesi ya kujibu. Kosa analoshtakiwa nalo Lissu halipo kisheria hasa kwenye kosa la Uhaini. Jamhuri inamshtaki Lissu kwa kosa la kuchochea umma ili kuitisha serikali. Ila ukienda kwenye Sheria ya kanuni ya Adhabu kifungu/ Sec.39(2)(b) yenyewe inatambua uchochezi kwa mtu binafsi au kikundi cha watu.

Ina maana Jamhuri inadai Lissu alichochea umma wote wa Tanzania ili kuitisha serikali. Sasa swali langu inakuwaje mahakama ikadai Lissu ana kesi ya kujibu kwenye kosa lisilokuwepo Kisheria?. Kwa maana nyingine Lissu hakuchochea mtu au kikundi cha watu kama inavyosema. Jamhuri imemshtaki Lissu kwa kosa lisilokuwepo kwenye Sheria za Jinai za Tanzania.

Hili ni jambo la kutafakari sana kuhusu uhuru wa mahakama zetu Tanzania.
Kwani umma wa Watanzania si kikundi cha watu?

Do you understand that even the universal set is a subset of itself?
 
Reasoning yako itakuwa sahihi tu iwapo unaamini na kukukiri kwamba kila argument anayoleta Tundu Lissu basi iko sahihi kisheria na kwamba yeye ana akili kuliko wanasheria wote waserikali na majaji wote Tanzania.

Ila sasa ukitulia vizuri na kwenda kusoma sheria kwa kina kabisa utaona kwamba Mahakama ndio inayotafsiri Sheria na kama mahakama ikisema kwamba Element ya ni nani umemuhamasiaha kufanya Uhaini imetimia basi inaweza kutoa hukumu.

Ushauri wangu mtazamo Lissu kama mtu anayejitetea,kisha utazame Facts za kisheria anazoleta kisha uone Je mizani ya kisheria inambeba kwa kiwango gani.Kama ukiweza kutazama hivyo basi unaweza elewa ni kwa nini mahakama ilimuona ana kesi ya kujibu.Kuwa na kesi ya kujibu hakumaanishi kwamba Lisu ana hatia.Unaweza kuwa na kesi ya kujibu ila sio lazima uwe na hatia.Mahakama inaweza kumuachia huru.
 
Nimefuatilia submission ya Lissu na nimeshangaa ya kwamba ilikuwaje mahakama ikaona Lissu ana kesi ya kujibu. Kosa analoshtakiwa nalo Lissu halipo kisheria hasa kwenye kosa la Uhaini. Jamhuri inamshtaki Lissu kwa kosa la kuchochea umma ili kuitisha serikali. Ila ukienda kwenye Sheria ya kanuni ya Adhabu kifungu/ Sec.39(2)(b) yenyewe inatambua uchochezi kwa mtu binafsi au kikundi cha watu.

Ina maana Jamhuri inadai Lissu alichochea umma wote wa Tanzania ili kuitisha serikali. Sasa swali langu inakuwaje mahakama ikadai Lissu ana kesi ya kujibu kwenye kosa lisilokuwepo Kisheria?. Kwa maana nyingine Lissu hakuchochea mtu au kikundi cha watu kama inavyosema. Jamhuri imemshtaki Lissu kwa kosa lisilokuwepo kwenye Sheria za Jinai za Tanzania.

Hili ni jambo la kutafakari sana kuhusu uhuru wa mahakama zetu Tanzania.
hii ndio ile iliyoaandikwa kwenye biblia,
katika kitabu cha Hosea na Warumi

Mathalani,
Hosea 4:6,
inasema kwamba,

"Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa; kwa kuwa wewe umeyakataa maarifa, mimi nami nitakukataa wewe, usiwe kuhani kwangu mimi; kwa kuwa umeisahau sheria ya Mungu wako, mimi nami nitawasahau watoto wako"

ama kwa hakika,
kifo cha nyani miti yote huteleza
Unasoma sheria kiujanja ujanja na kujipiga kifua mbele ya wasiojua sheria, na sasa unalialia na kumbwelambwela kujihesabia haki. Aga tu ndugu na wafuasi wako mambo yaishe. huchomoki bana.

Lakini pia,
kiburi, majivuno na ujeuri dhidi ya sheria, katiba na mamlaka za nchi ni kitu mbaya sana,

Na hapa Warumi 13:1-6,
inaeleza kwa kina,

Kila mtu hana budi kutii serikali inayotawala. Kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu; na serikali zote zilizopo zimewekwa na Mungu. Kwa hiyo anayepinga mamlaka inayotawala ana pinga chombo kilichowekwa na Mungu; na watu wanaoasi watajiletea hukumu. Kwa maana watawala hawatishi watu wanaotenda mema bali wale wanaotenda maovu. Kama hupendi kuishi kwa kumwogopa mwenye mamlaka, basi tenda mema naye atakusifu. Maana mwenye mamlaka ni mtumishi wa Mungu kwa manufaa yako. Lakini kama ukitenda maovu, basi ogopa kwa maana hatembei na silaha bure. Yeye ni mtumishi wa Mungu anayetekeleza adhabu ya Mungu juu ya watenda maovu. Kwa hiyo ni lazima kutii wenye mamlaka, si kwa sababu ya kuogopa adhabu tu bali pia kwa ajili ya dhamiri.

Kwa sababu hiyo hiyo mnalipa kodi, kwa maana watawala ni watumishi wa Mungu ambao hutumia muda wao wote kutawala. Wal ipeni wote haki zao; mtu wakodi mlipe kodi; na mtoza ushuru mli pe ushuru; astahilie kunyenyekewa, mnyenyekee; astahiliye heshima, mheshimu.

:1Head:
 
Back
Top Bottom