Mahakama iliamuaje Lissu ana kesi ya kujibu kwenye kosa lisilokuwepo Kisheria?

Mahakama iliamuaje Lissu ana kesi ya kujibu kwenye kosa lisilokuwepo Kisheria?

jamaa anawapiga kamba wafuasi wake,
in fact hususani mtoa hoja kwasababu hawajui sheria :1Head:
Mkuu kwa uzoefu wako tangu umekuwa unafuatilia hii kesi umemkubali Lissu katika lipi hasa ukitumia logic and common sense kwa sababu hakuna serikali iliyokamilika.
 
Mkuu kwa uzoefu wako tangu umekuwa unafuatilia hii kesi umemkubali Lissu katika lipi hasa ukitumia logic and common sense kwa sababu hakuna serikali iliyokamilika.
namkubali kwa mengi sana gentleman,
kwasababu kwanza ni mTanzania mwenzangu, ndugu na rafiki yangu.
In fact in kaka yangu mkubwa.

lakini namkubali zaidi kwa jinsi ambavyo huwainfluence wasiojua sheria na wakakubali uongo wake. Kwenye hilo aaupiga mwingi sana. But pia namkubali sana huyo muungwana kwa drama hususani za kuattract public sympathy na kujifanya kanakwamba anaonewa kumbe ni mkiuka sheria mkubwa. Jamaa anaiweza hii kazi aise.

Lakini zaidi sana,
namkubali sana kwa uwezo wake mkubwa wa kuwabeba watu wazima kabisa ufala wa kifikra na kuwafanya wote sasa wanatibua minywele kama wendawazimu hali ya kua ni wazima wa afya na wana familia majumbani kwao.
Jamaa anagunja ngumi na kurusha mikono hewani kama mwendawazimu dah

so,
namkubali muungwana kwa mengi licha ya mapungufu mengine madodomadogo ambayo nitayaeleza baadae :1Head:
 
Back
Top Bottom