Samia ndio kiongozi wa mashtaka, majaji ni vipaza sauti tuNimemfuatilia submission ya Lissu na nimeshangaa ya kwamba ilikuwaje mahakama itaona Lissu ana kesi ya kujibu. Kosa analoshtakiwa nalo Lissu halipo kisheria hasa kwenye kosa la Uhaini. Jamhuri inamshtaki Lissu kwa kosa la kuchochea umma ili kuitisha serikali. Ila ukienda kwenye Sheria ya kanuni ya Adhabu kifungu/ Sec.39(2)(b) yenyewe inatambua uchochezi kwa mtu binafsi au kikundi cha watu.
Ina maana Jamhuri inadai Lissu alichochea umma wote wa Tanzania ili kuitisha serikali. Sasa swali langu inakuwaje mahakama ikadai Lissu ana kesi ya kujibu kwenye kosa lisilokuwepo Kisheria?. Kwa maana nyingine Lissu hakuchochea mtu au kikundi cha watu kama inavyosema. Jamhuri imemshtaki Lissu kwa kosa lisilokuwepo kwenye Sheria za Jinai za Tanzania.
Hili ni jambo la kutafakari sana kuhusu uhuru wa mahakama zetu Tanzania.
Inaweza kuwa kweli. Maana hata Suala la hati lililetwa mapema kwenye kesi, ila majaji wakatupilia mbali kabisa.No kwamba; mahakama ilipewa maelekezo ya kumsikiliza kujua whatad up. Dola inataka kupata kitu kutoka katika kesi hiyo; lakini hakuna kesi.
Yes, kama aliambiwa kesi ya kujibu ipo ikiwa haipo, then you can guess what next...Kuna Giza kubwa sana
Siyo lazima liwepo kisheria, mamlaka toka juu ikisema mahakama inatakiwa itekeleze.Nimefuatilia submission ya Lissu na nimeshangaa ya kwamba ilikuwaje mahakama ikaona Lissu ana kesi ya kujibu. Kosa analoshtakiwa nalo Lissu halipo kisheria hasa kwenye kosa la Uhaini. Jamhuri inamshtaki Lissu kwa kosa la kuchochea umma ili kuitisha serikali. Ila ukienda kwenye Sheria ya kanuni ya Adhabu kifungu/ Sec.39(2)(b) yenyewe inatambua uchochezi kwa mtu binafsi au kikundi cha watu.
Ina maana Jamhuri inadai Lissu alichochea umma wote wa Tanzania ili kuitisha serikali. Sasa swali langu inakuwaje mahakama ikadai Lissu ana kesi ya kujibu kwenye kosa lisilokuwepo Kisheria?. Kwa maana nyingine Lissu hakuchochea mtu au kikundi cha watu kama inavyosema. Jamhuri imemshtaki Lissu kwa kosa lisilokuwepo kwenye Sheria za Jinai za Tanzania.
Hili ni jambo la kutafakari sana kuhusu uhuru wa mahakama zetu Tanzania.
Kwani umma wa Watanzania si kikundi cha watu?Nimefuatilia submission ya Lissu na nimeshangaa ya kwamba ilikuwaje mahakama ikaona Lissu ana kesi ya kujibu. Kosa analoshtakiwa nalo Lissu halipo kisheria hasa kwenye kosa la Uhaini. Jamhuri inamshtaki Lissu kwa kosa la kuchochea umma ili kuitisha serikali. Ila ukienda kwenye Sheria ya kanuni ya Adhabu kifungu/ Sec.39(2)(b) yenyewe inatambua uchochezi kwa mtu binafsi au kikundi cha watu.
Ina maana Jamhuri inadai Lissu alichochea umma wote wa Tanzania ili kuitisha serikali. Sasa swali langu inakuwaje mahakama ikadai Lissu ana kesi ya kujibu kwenye kosa lisilokuwepo Kisheria?. Kwa maana nyingine Lissu hakuchochea mtu au kikundi cha watu kama inavyosema. Jamhuri imemshtaki Lissu kwa kosa lisilokuwepo kwenye Sheria za Jinai za Tanzania.
Hili ni jambo la kutafakari sana kuhusu uhuru wa mahakama zetu Tanzania.
hii ndio ile iliyoaandikwa kwenye biblia,Nimefuatilia submission ya Lissu na nimeshangaa ya kwamba ilikuwaje mahakama ikaona Lissu ana kesi ya kujibu. Kosa analoshtakiwa nalo Lissu halipo kisheria hasa kwenye kosa la Uhaini. Jamhuri inamshtaki Lissu kwa kosa la kuchochea umma ili kuitisha serikali. Ila ukienda kwenye Sheria ya kanuni ya Adhabu kifungu/ Sec.39(2)(b) yenyewe inatambua uchochezi kwa mtu binafsi au kikundi cha watu.
Ina maana Jamhuri inadai Lissu alichochea umma wote wa Tanzania ili kuitisha serikali. Sasa swali langu inakuwaje mahakama ikadai Lissu ana kesi ya kujibu kwenye kosa lisilokuwepo Kisheria?. Kwa maana nyingine Lissu hakuchochea mtu au kikundi cha watu kama inavyosema. Jamhuri imemshtaki Lissu kwa kosa lisilokuwepo kwenye Sheria za Jinai za Tanzania.
Hili ni jambo la kutafakari sana kuhusu uhuru wa mahakama zetu Tanzania.
Sasa kama Sa100 alitishika si angekuja mahakamani kuthibitisha?Samia ndio kiongozi wa mashtaka, majaji ni vipaza sauti tu
jamaa anawapiga kamba wafuasi wake,
Mkuu Tlaatlaahjamaa anawapiga kamba wafuasi wake,
in fact hususani mtoa hoja kwasababu hawajui sheria