Mahakama inasema nini kuhusu kesi ya Tundu Lissu kwa sasa?

Kalamu

Platinum Member
Joined
Nov 26, 2006
Posts
22,898
Reaction score
33,309
Je, kuna taarifa zozote mpya za hivi karibuni toka mahakamani kuhusu mwenendo wa kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA?

Kama mahakama ni chombo cha kulinda haki ya kila mtu haiwezi kunyamaza tu bila ya taarifa yoyote kuhusu mtu anayeshikiliwa mahabusu bila ya maelezo yoyote; na hasa wakati kesi yake ilishaanza kusikilizwa.

Mahakama inatoa taarifa zipi kuhusu kesi hii?

Kama hakuna taarifa, CHADEMA hawawezi kwenda huko mahakamani kuuliza maswali ili wapate majibu?

Kama walishauliza; je walijibiwa nini?

Na kama walishauliza, na hawakujibiwa chochote kuna njia zipi zinazoweza kutumika ili swala la mwenyekiti wa chama lisionekane kuwa amekwisha hukumiwa kifungo jela.

Kuna njia za kutumia mahakama hiyo hiyo zinazoweza kutumika ili kesi hii isipuuzwe na mahakama na wanaotaka Tundu Lissu aendelee kukaa jela?

jambo kubwa ninalotaka kukazia kwenye mada hii ni kwamba kesi isiachwe ipoe, ni muhimu swala la Tundu Lissu liwe kwenye ajenda kuu ya chama, na hasa katika mikutano yao yote ni lazima ligusiwe ili liwe mbele ya fikra za wananchi wote.
Mahakama Kubwa zaidi ya zote, ya mamlaka ya wananchi inaweza kuingilia hatma ya kesi hii?
 
Tundu Lissu ni mwanasheria, bila shaka anafahamu hatua zote za kisheria zinazopaswa kuchukuliwa kipindi hiki chote ambacho yupo chini ya ulinzi, Kama suala lake limepoa kiasi hiki fahamu kuna jambo jingine linalo-endelea.
 
Gentleman,
ndani ya mahabusu mbalimbali nchi, kuna watuhumiwa wa kila aina, na kila mtuhumiwa alioko mahabusu, ana haki na stahili sawa na za mahabusu mwingine kwenye usikilizaji wa kesi au tuhuma zinazomkabili. Hakuna mahabusu au mtuhumiwa alie bora zaidi ya mwingine. Wote ni wahalifu sawa tu mbele ya mahakama.

Hakuna mahabusu hata moja alietumwa na mahakama kuvunja au kukiuka sheria. Kila mahabusu ataubeba msalaba wake mwenyewe, kadiri ya uzito wa makosa yake. Na mashauri yote yaliyoko mahakamani yatafanyiwa kazi kwa mujibu wa sheria na kulingana na utaratibu wa mahakama huru za Tanzania.

Na hakuna mahabusu yeyote yule anaweza kuifundisha, kuilekeza au kuishinikiza mahakama huru ya Tanzania, kufanya kazi kama anavyotaka yeye huyo mahabusu choroko, aliekiuka sheria za nchi kwa utashi wake mwenyewe.

Ni muhimu sana mahabusu wote na wapambe wao, kua na adabu kidogo kwa mahakama huru za Tanzania, na kutii sheria na katiba ya nchi bila shuruti.🐒

Mungu Ibariki Tanzania
 
Mkuu,
Pale amna kesi ! Ishu ni mkuu wa kaya apige simu moja tu kwa DDP, jamaa kesho yake anaachiwa !
 
Tundu Lissu ni mwanasheria, bila shaka anafahamu hatua zote za kisheria zinazopaswa kuchukuliwa kipindi hiki chote ambacho yupo chini ya ulinzi, Kama suala lake limepoa kiasi hiki fahamu kuna jambo jingine linalo-endelea.
Ninachoelewa kwenye bandiko lako ni kwamba Tundu Lissu mwenyewe ameridhia ukimya uliopo juu ya kesi yake kwa sababu kaelezwa kila linaloendelea juu ya kesi hiyo; ikiwa ni pamoja na sharti la yeye kutoeleza habari hizo alizoambiwa yeye.

Jibu lako hili ni vigumu kulikubali; hasa kwa mtu kama tundu Lissu asiyekubali kufanya mambo gizani. Lakini naelewa pia hali ngumu inayomkabili kuwekwa gerezani bila ya hatia yoyote. Kazi ya kupima uzito juu ya swali lake ni yeye mwenyewe.

kapewa matumaini kuwa atatolewa gerezani karibuni; pamoja na masharti kuwa asieleze lolote juu yake?

Najuwa Tundu Lissu anauelewa ulaghai mwingi wa Samia ulivyo hadi sasa.
 
Gentleman,
ndani ya mahabusu mbalimbali nchi, kuna watuhumiwa wa kila aina, na kila mtuhumiwa alioko mahabusu, ana haki na stahili sawa na za mahabusu mwingine kwenye usikilizaji wa kesi au tuhuma zinazomkabili. Hakuna mahabusu au mtuhumiwa alie bora zaidi ya mwingine. Wote ni wahalifu sawa tu mbele ya mahakama.

Hakuna mahabusu hata moja alietumwa na mahakama kuvunja au kukiuka sheria. Kila mahabusu ataubeba msalaba wake mwenyewe, kadiri ya uzito wa makosa yake. Na mashauri yote yaliyoko mahakamani yatafanyiwa kazi kwa mujibu wa sheria na kulingana na utaratibu wa mahakama huru za Tanzania.

Na hakuna mahabusu yeyote yule anaweza kuifundisha, kuilekeza au kuishinikiza mahakama huru ya Tanzania, kufanya kazi kama anavyotaka yeye huyo mahabusu choroko, aliekiuka sheria za nchi kwa utashi wake mwenyewe.

Ni muhimu sana mahabusu wote na wapambe wao, kua na adabu kidogo kwa mahakama huru za Tanzania, na kutii sheria na katiba ya nchi bila shuruti.🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Unaweka uvundo hapa wa umzoga wa nguruwe.
Huna lolote unaloandika wewe ninaloweza kulisoma tena.
 
relax gentleman,
uvundo unaupata vizuri sana tena kule korokoroni aliko mahabusu choroko, haijawahi kukupa updates kidogo za kule?🤣

tuliza mihemko nonsense bana ikiwa huna maoni mapya na fikra mbadala bora zaidi ya comment yangu mujarabu sana 🐒
 
Je, kuna taarifa zozote mpya za hivi karibuni toka mahakamani kuhusu mwenendo wa kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA?

Kama mahakama ni chombo cha kulinda haki ya kila mtu haiwezi kunyamaza tu bila ya taarifa yoyote kuhusu mtu anayeshikiliwa mahabusu bila ya maelezo yoyote; na hasa wakati kesi yake ilishaanza kusikilizwa.

Mahakama inatoa taarifa zipi kuhusu kesi hii?

Kama hakuna taarifa, CHADEMA hawawezi kwenda huko mahakamani kuuliza maswali ili wapate majibu?

Kama walishauliza; je walijibiwa nini?

Na kama walishauliza, na hawakujibiwa chochote kuna njia zipi zinazoweza kutumika ili swala la mwenyekiti wa chama lisionekane kuwa amekwisha hukumiwa kifungo jela.

Kuna njia za kutumia mahakama hiyo hiyo zinazoweza kutumika ili kesi hii isipuuzwe na mahakama na wanaotaka Tundu Lissu aendelee kukaa jela?

jambo kubwa ninalotaka kukazia kwenye mada hii ni kwamba kesi isiachwe ipoe, ni muhimu swala la Tundu Lissu liwe kwenye ajenda kuu ya chama, na hasa katika mikutano yao yote ni lazima ligusiwe ili liwe mbele ya fikra za wananchi wote.
Mahakama Kubwa zaidi ya zote, ya mamlaka ya wananchi inaweza kuingilia hatma ya kesi hii?
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, imeahirisha shauri jipya la Tundu Lissu hadi Juni 2, 2026, huku ikitoa amri kwa wajibu maombi kuwasilisha viapo vyao kinzani ndani ya siku saba.
 
Huyo Rais wenu ameharibu kila Kitu kwenye Nchi Yetu.
Amevuruga Taifa Letu.

Hatuaki kutawaliwa Tena na hao wazenji
Naelewa unachojaribu kueleza; lakini sikubaliani na mambo mawili katika haya uliyoandika hapa.
"Huyo rais wenu", na "hao wazenji"
sina haja ya kuyaeleza, yatafakari mwenyewe.
 
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, imeahirisha shauri jipya la Tundu Lissu hadi Juni 2, 2026, huku ikitoa amri kwa wajibu maombi kuwasilisha viapo vyao kinzani ndani ya siku saba.
Nitamwomba mkuu 'Quinine' katika ile mada yake ya "Shukrani kwa wanamapambano" asisahau mchango mkubwa unaotolewa na watu kama hawa, akina 'Mshana Jr'. na wengi wengine.
 
Back
Top Bottom