Mahakama inasema nini kuhusu kesi ya Tundu Lissu kwa sasa?

relax gentleman,
uvundo unaupata vizuri sana tena kule korokoroni aliko mahabusu choroko, haijawahi kukupa updates kidogo za kule?🤣

tuliza mihemko nonsense bana ikiwa huna maoni mapya na fikra mbadala bora zaidi ya comment yangu mujarabu sana šŸ’
Nilishakueleza toka siku nyingi; wewe ni mzoga wa nguruwe anayeoza mtaani na unaliwa na mapaka na mbwa wa huko mitaani.

Huna lolote unaloweza kuchangia katika mada yotote hapa JF.
Wewe ni mzoga tu unaoeneza taharuki. na maudhi
 
Jambo kubwa ninalotaka kukazia kwenye mada hii ni kwamba kesi isiachwe ipoe, ni muhimu swala la Tundu Lissu liwe kwenye ajenda kuu ya chama, na hasa katika mikutano yao yote ni lazima ligusiwe ili liwe mbele ya fikra za wananchi wote.
Mahakama Kubwa zaidi ya zote, ya mamlaka ya wananchi inaweza kuingilia hatma ya kesi hii?
Mkuu.
Nafikiri hili linaweza kuwa chagizo zuri kwa mahakama na watawala. Mamlaka ya wananchi inaweza kutumika kushinikiza kesi hii na kupitia kwayo na nyingine, ziendelee ili hatma yake ifahamike.

Kama ulivyosema hili liwe endelevu katika mikutano inayoendelea na chama ama wananchi wanaweza kupendekeza njia nzuri ya kuliendea hili.

Pamoja na maandamano hakiwezi kufanyika kingine kama vile wanchi kugomea shughuli kadhaa za watawala na maswaiba wao, kwa kipindi maalum.

Nimevutiwa na hatua ya Sugu, kuahidi kwamba hatachana au kunyoa nywele zake hadi Lissu atoke gerezani!
 
Nitamwomba mkuu 'Quinine' katika ile mada yake ya "Shukrani kwa wanamapambano" asisahau mchango mkubwa unaotolewa na watu kama hawa, akina 'Mshana Jr'. na wengi wengine.
Asante sana mkuu
 
Je, kuna taarifa zozote mpya za hivi karibuni toka mahakamani kuhusu mwenendo wa kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA?

Kama mahakama ni chombo cha kulinda haki ya kila mtu haiwezi kunyamaza tu bila ya taarifa yoyote kuhusu mtu anayeshikiliwa mahabusu bila ya maelezo yoyote; na hasa wakati kesi yake ilishaanza kusikilizwa.

Mahakama inatoa taarifa zipi kuhusu kesi hii?

Kama hakuna taarifa, CHADEMA hawawezi kwenda huko mahakamani kuuliza maswali ili wapate majibu?

Kama walishauliza; je walijibiwa nini?

Na kama walishauliza, na hawakujibiwa chochote kuna njia zipi zinazoweza kutumika ili swala la mwenyekiti wa chama lisionekane kuwa amekwisha hukumiwa kifungo jela.

Kuna njia za kutumia mahakama hiyo hiyo zinazoweza kutumika ili kesi hii isipuuzwe na mahakama na wanaotaka Tundu Lissu aendelee kukaa jela?

jambo kubwa ninalotaka kukazia kwenye mada hii ni kwamba kesi isiachwe ipoe, ni muhimu swala la Tundu Lissu liwe kwenye ajenda kuu ya chama, na hasa katika mikutano yao yote ni lazima ligusiwe ili liwe mbele ya fikra za wananchi wote.
Mahakama Kubwa zaidi ya zote, ya mamlaka ya wananchi inaweza kuingilia hatma ya kesi hii?
Walishapewa taarifa kuwa kesi itaendelea tarehe 11/6/2026..

Hii ni kwa mujibu wa Katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika..

Alisema, kinachosubiriwa kwa sasa ni summons tu kwa mtuhumiwa ambapo tangu ile wiki jana wakati anatoa taarifa baada ya kutoka mahakamani kwenye kesi ya mgawanyo wa Mali ya kina Said Issa Mohamed na wenzake vs Bodi ya Wadhamini na Katibu Mkuu CHADEMA Tundu Lissu alikuwa na taarifa...

Kumbuka kupewa taarifa kuwa kesi yako impegangwa kuendelea tarehe fulani ni hatua moja, hatua ya pili inapaswa kutolewa wito (summon) ya kufika mahakamani kusikiliza shauri lako..

JIBU: Shauri la Jinai - uhaini (Namba.................) ya mwaka 2025 kati ya Tundu Lissu vs Jamhuri litaendelea tena kuanzia tarehe 11/6/2026 kwa kusikiliza rufaa ya Jamhuri ya mapitio ya kupinga uamuzi mdogo wa mahakama kuu juu ya shahidi kuongeza/kutia nyama katika ushahidi ambao alishautoa tayari..
 
Wakiwa pembeni wanaongea wakiwa katika nafasi ya kuzungumza na wanapiga kimya, miimili imejaa unafikia na kunafikiana, linakuwa kama kaa la moto kila mtu analitupa ila ukweli wanaujua
 
Unaweka uvundo hapa wa umzoga wa nguruwe.
Huna lolote unaloandika wewe ninaloweza kulisoma tena.
We ndo unaweka uvundo
Unataka kuwaaminisha watanzania kuwa mzee wa kukinukisha ni mahabusu bora sana kuliko wengne..

Kwenye kamati zenu si mnamuita rais mara mandela...mandela alikaa gerezani miaka 27, sasa mnalia lia nini wafuasi wa mandela maudenda!
 
Na huu ndiyo ukweli wenyewe, Mahakama ingekuwa huru hii kesi ingeshakwisha zamani lakini kwa vile majaji wamekuwa kama mahouseboy wa rais wanasubiria madam anasemaje.
Pamoja na hayo; tusisahau pia mahakama hiyo hiyo imeamua kesi nyingine inayoihusu CHADEMA (Mgawanyo wa mali).
Ndani ya mahakama pia kuna waTanzania wa aina mbalimbali.
Ni muhimu kuwatia moyo wanaopambana juu ya nchi yao wakiwa huko huko.
 
We ndo unaweka uvundo
Unataka kuwaaminisha watanzania kuwa mzee wa kukinukisha ni mahabusu bora sana kuliko wengne..

Kwenye kamati zenu si mnamuita rais mara mandela...mandela alikaa gerezani miaka 27, sasa mnalia lia nini wafuasi wa mandela maudenda!
Kwa hiyo wewe nikueleweje; kwamba ni mtoto nguruwe yatima aliyeachwa na huo mzoga niliouelezea hapo juu?
 
Nielewe kama mtu anayetaka sheria ifuate mkondo wake ikiwemo kunyongwa hadi kufa huo mhaini!
 
Kwa nini DPP mwenyewe asimal8ze shauri, mwenye kujua Sheria na uzito WA ushahidi kuna mwingine zaidi yake na Majaji wa Mahakama zetu.
Tatzo tunaishi kwa maelekezo masta ! Amalize kinyemela, hatakuwa na uhakika wa kibarua chake! Mihimili haina nguvu , ipo kama picha tu
 
Samahani sana mkuu 'August', kuweka matumaini kwa huo mswada ni kuendelea kukubali Samia Suluhu Hassan amalize muda wake hadi 2030. 'Luxury' ya namna hiyo haipo.
Ni kweli lakini ule mswada Una protocols zake ambazo hauzidi 180 days , sasa huku kwetu si unajua watu wanafanya KAZI kwa kukomoa, na moja Lissu aliwahi kuiongelea kuhusu moja bajeti, pili Majaji au jaji WA appeal korti kupewa hiyo Kesi ndio ianze. Mahakama zetu zinafanya kazi kwa shinikizo, sio kihaki haki, Nia ikiwa kumkomoa Lissu. Shinikizo toka chadema na TLS na watu wengine zipo.
 
Nilishakueleza toka siku nyingi; wewe ni mzoga wa nguruwe anayeoza mtaani na unaliwa na mapaka na mbwa wa huko mitaani.

Huna lolote unaloweza kuchangia katika mada yotote hapa JF.
Wewe ni mzoga tu unaoeneza taharuki. na maudhi
relax basi muerevu manukato ya hoja 🤣
 
Walishapewa taarifa kuwa kesi itaendelea tarehe 11/6/2026..

Hii ni kwa mujibu wa Katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika..

Alisema, kinachosubiriwa kwa sasa ni summons tu kwa mtuhumiwa ambapo tangu ile wiki jana wakati anatoa taarifa baada ya kutoka mahakamani kwenye kesi ya mgawanyo wa Mali ya kina Said Issa Mohamed na wenzake vs Bodi ya Wadhamini na Katibu Mkuu CHADEMA Tundu Lissu alikuwa na taarifa...

Kumbuka kupewa taarifa kuwa kesi yako impegangwa kuendelea tarehe fulani ni hatua moja, hatua ya pili inapaswa kutolewa wito (summon) ya kufika mahakamani kusikiliza shauri lako..

JIBU: Shauri la Jinai - uhaini (Namba.................) ya mwaka 2025 kati ya Tundu Lissu vs Jamhuri litaendelea tena kuanzia tarehe 11/6/2026 kwa kusikiliza rufaa ya Jamhuri ya mapitio ya kupinga uamuzi mdogo wa mahakama kuu juu ya shahidi kuongeza/kutia nyama katika ushahidi ambao alishautoa tayari..
Nami niliona hii taarifa, ya mgawanyo wa mali ingekuwa 2.6.2026 na ya uhaini ingekuwa 11.6.2026. Habari njema ni kwamba ya mgawanyo wa mali imeisha leo.
 
Pamoja na hayo; tusisahau pia mahakama hiyo hiyo imeamua kesi nyingine inayoihusu CHADEMA (Mgawanyo wa mali).
Ndani ya mahakama pia kuna waTanzania wa aina mbalimbali.
Ni muhimu kuwatia moyo wanaopambana juu ya nchi yao wakiwa huko huko.
Hizi judgements mbili za majuzi na ya leo ni Ted Cruz effect,
 
Back
Top Bottom