Mahakama inasema nini kuhusu kesi ya Tundu Lissu kwa sasa?

Mahakama inasema nini kuhusu kesi ya Tundu Lissu kwa sasa?

Pamoja na maandamano hakiwezi kufanyika kingine kama vile wanchi kugomea shughuli kadhaa za watawala na maswaiba wao, kwa kipindi maalum.
Nielewe kama mtu anayetaka sheria ifuate mkondo wake ikiwemo kunyongwa hadi kufa huo mhaini!
Basi subiri ya Samia mhalifu; hii nyingine haikuhusu wewe mtoto nguruwe yatima.
 
Ni kweli lakini ule mswada Una protocols zake ambazo hauzidi 180 days , sasa huku kwetu si unajua watu wanafanya KAZI kwa kukomoa, na moja Lissu aliwahi kuiongelea kuhusu moja bajeti, pili Majaji au jaji WA appeal korti kupewa hiyo Kesi ndio ianze. Mahakama zetu zinafanya kazi kwa shinikizo, sio kihaki haki, Nia ikiwa kumkomoa Lissu. Shinikizo toka chadema na TLS na watu wengine zipo.
Kama hukunielewa mwanzo, ni kuwa haya ya "Mswada wa vikwazo" hauna msaada mkubwa kwetu kama nchi.
Mswada utakuwa na maana tu pale tutakapoutumia sisi wenyewe utusaidie kubadili hali yetu hapahapa..

Kwa Samia huo mswada unamsaidia kuwa na uhakika wa kumaliza 2030 kama sisi wenyewe hatutajishughulisha na kumkatalia hili takwa lake..

Hakuna anachotamani Samia sasa hivi kama kuendelea kukaa madarakani kwa mabavu, akitumia mitutu ya bunduki kumlinda. Chochote kinachomhakikishia hilo; kama huo mswada, ni faida kwake. Baada ya hapo anakwenda zake Oman. Mswada baada ya hapo labda utusaidie tu kushughulika na CCM; kuhakikisha haiendelei kutuwekea akina Samia wengine kuendeleza uovu.
 
Pamoja na maandamano hakiwezi kufanyika kingine kama vile wanchi kugomea shughuli kadhaa za watawala na maswaiba wao, kwa kipindi maalum.
Yatunze vizuri haya maneno yako.

Tutayajadili siku moja kama hali inaendelea kuwa siyo ya kueleweka.
 
Je, kuna taarifa zozote mpya za hivi karibuni toka mahakamani kuhusu mwenendo wa kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA?

Kama mahakama ni chombo cha kulinda haki ya kila mtu haiwezi kunyamaza tu bila ya taarifa yoyote kuhusu mtu anayeshikiliwa mahabusu bila ya maelezo yoyote; na hasa wakati kesi yake ilishaanza kusikilizwa.

Mahakama inatoa taarifa zipi kuhusu kesi hii?

Kama hakuna taarifa, CHADEMA hawawezi kwenda huko mahakamani kuuliza maswali ili wapate majibu?

Kama walishauliza; je walijibiwa nini?

Na kama walishauliza, na hawakujibiwa chochote kuna njia zipi zinazoweza kutumika ili swala la mwenyekiti wa chama lisionekane kuwa amekwisha hukumiwa kifungo jela.

Kuna njia za kutumia mahakama hiyo hiyo zinazoweza kutumika ili kesi hii isipuuzwe na mahakama na wanaotaka Tundu Lissu aendelee kukaa jela?


jambo kubwa ninalotaka kukazia kwenye mada hii ni kwamba kesi isiachwe ipoe, ni muhimu swala la Tundu Lissu liwe kwenye ajenda kuu ya chama, na hasa katika mikutano yao yote ni lazima ligusiwe ili liwe mbele ya fikra za wananchi wote.
Mahakama Kubwa zaidi ya zote, ya mamlaka ya wananchi inaweza kuingilia hatma ya kesi hii?
Tujipe angalau wiki moja mbele mbivu na mbichi ama nyeti lazima kufunuliwa na upepo mkali unaovuma!
 
Back
Top Bottom