Na huu ndiyo ukweli wenyewe, Mahakama ingekuwa huru hii kesi ingeshakwisha zamani lakini kwa vile majaji wamekuwa kama mahouseboy wa rais wanasubiria madam anasemaje.inawezekana mahakama ina subiri maelekezo kutoka juu.
Tundu Lissu ni mwanasheria, bila shaka anafahamu hatua zote za kisheria zinazopaswa kuchukuliwa kipindi hiki chote ambacho yupo chini ya ulinzi, Kama suala lake limepoa kiasi hiki fahamu kuna jambo jingine linalo-endelea.Je, kuna taarifa zozote mpya za hivi karibuni toka mahakamani kuhusu mwenendo wa kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA?
Kama mahakama ni chombo cha kulinda haki ya kila mtu haiwezi kunyamaza tu bila ya taarifa yoyote kuhusu mtu anayeshikiliwa mahabusu bila ya maelezo yoyote; na hasa wakati kesi yake ilishaanza kusikilizwa.
Mahakama inatoa taarifa zipi kuhusu kesi hii?
Kama hakuna taarifa, CHADEMA hawawezi kwenda huko mahakamani kuuliza maswali ili wapate majibu?
Kama walishauliza; je walijibiwa nini?
Na kama walishauliza, na hawakujibiwa chochote kuna njia zipi zinazoweza kutumika ili swala la mwenyekiti wa chama lisionekane kuwa amekwisha hukumiwa kifungo jela.
Kuna njia za kutumia mahakama hiyo hiyo zinazoweza kutumika ili kesi hii isipuuzwe na mahakama na wanaotaka Tundu Lissu aendelee kukaa jela?
jambo kubwa ninalotaka kukazia kwenye mada hii ni kwamba kesi isiachwe ipoe, ni muhimu swala la Tundu Lissu liwe kwenye ajenda kuu ya chama, na hasa katika mikutano yao yote ni lazima ligusiwe ili liwe mbele ya fikra za wananchi wote.
Mahakama Kubwa zaidi ya zote, ya mamlaka ya wananchi inaweza kuingilia hatma ya kesi hii?
Gentleman,Je, kuna taarifa zozote mpya za hivi karibuni toka mahakamani kuhusu mwenendo wa kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA?
Kama mahakama ni chombo cha kulinda haki ya kila mtu haiwezi kunyamaza tu bila ya taarifa yoyote kuhusu mtu anayeshikiliwa mahabusu bila ya maelezo yoyote; na hasa wakati kesi yake ilishaanza kusikilizwa.
Mahakama inatoa taarifa zipi kuhusu kesi hii?
Kama hakuna taarifa, CHADEMA hawawezi kwenda huko mahakamani kuuliza maswali ili wapate majibu?
Kama walishauliza; je walijibiwa nini?
Na kama walishauliza, na hawakujibiwa chochote kuna njia zipi zinazoweza kutumika ili swala la mwenyekiti wa chama lisionekane kuwa amekwisha hukumiwa kifungo jela.
Kuna njia za kutumia mahakama hiyo hiyo zinazoweza kutumika ili kesi hii isipuuzwe na mahakama na wanaotaka Tundu Lissu aendelee kukaa jela?
jambo kubwa ninalotaka kukazia kwenye mada hii ni kwamba kesi isiachwe ipoe, ni muhimu swala la Tundu Lissu liwe kwenye ajenda kuu ya chama, na hasa katika mikutano yao yote ni lazima ligusiwe ili liwe mbele ya fikra za wananchi wote.
Mahakama Kubwa zaidi ya zote, ya mamlaka ya wananchi inaweza kuingilia hatma ya kesi hii?
Ninachoelewa kwenye bandiko lako ni kwamba Tundu Lissu mwenyewe ameridhia ukimya uliopo juu ya kesi yake kwa sababu kaelezwa kila linaloendelea juu ya kesi hiyo; ikiwa ni pamoja na sharti la yeye kutoeleza habari hizo alizoambiwa yeye.Tundu Lissu ni mwanasheria, bila shaka anafahamu hatua zote za kisheria zinazopaswa kuchukuliwa kipindi hiki chote ambacho yupo chini ya ulinzi, Kama suala lake limepoa kiasi hiki fahamu kuna jambo jingine linalo-endelea.
Unaweka uvundo hapa wa umzoga wa nguruwe.Gentleman,
ndani ya mahabusu mbalimbali nchi, kuna watuhumiwa wa kila aina, na kila mtuhumiwa alioko mahabusu, ana haki na stahili sawa na za mahabusu mwingine kwenye usikilizaji wa kesi au tuhuma zinazomkabili. Hakuna mahabusu au mtuhumiwa alie bora zaidi ya mwingine. Wote ni wahalifu sawa tu mbele ya mahakama.
Hakuna mahabusu hata moja alietumwa na mahakama kuvunja au kukiuka sheria. Kila mahabusu ataubeba msalaba wake mwenyewe, kadiri ya uzito wa makosa yake. Na mashauri yote yaliyoko mahakamani yatafanyiwa kazi kwa mujibu wa sheria na kulingana na utaratibu wa mahakama huru za Tanzania.
Na hakuna mahabusu yeyote yule anaweza kuifundisha, kuilekeza au kuishinikiza mahakama huru ya Tanzania, kufanya kazi kama anavyotaka yeye huyo mahabusu choroko, aliekiuka sheria za nchi kwa utashi wake mwenyewe.
Ni muhimu sana mahabusu wote na wapambe wao, kua na adabu kidogo kwa mahakama huru za Tanzania, na kutii sheria na katiba ya nchi bila shuruti.🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Ahsante sana kwa jibu lako hili. Hiyo taarifa naona ilinipita pembeni.Taarifa zilitika kesi inaendelea mwezi wa sita sikumbuki tarehe rasmi
Huyu mkuu wa kaya (ambaye ni haramu) yupo juu ya mahakama yeye? Kuna sababu gani basi ya kuwepo na mahakama.Mkuu,
Pale amna kesi ! Ishu ni mkuu wa kaya apige simu moja tu kwa DDP, jamaa kesho yake anaachiwa !
relax gentleman,Unaweka uvundo hapa wa umzoga wa nguruwe.
Huna lolote unaloandika wewe ninaloweza kulisoma tena.
Huyu mkuu wa kaya (ambaye ni haramu) yupo juu ya mahakama yeye? Kuna sababu gani basi ya kuwepo na mahakama.
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, imeahirisha shauri jipya la Tundu Lissu hadi Juni 2, 2026, huku ikitoa amri kwa wajibu maombi kuwasilisha viapo vyao kinzani ndani ya siku saba.Je, kuna taarifa zozote mpya za hivi karibuni toka mahakamani kuhusu mwenendo wa kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA?
Kama mahakama ni chombo cha kulinda haki ya kila mtu haiwezi kunyamaza tu bila ya taarifa yoyote kuhusu mtu anayeshikiliwa mahabusu bila ya maelezo yoyote; na hasa wakati kesi yake ilishaanza kusikilizwa.
Mahakama inatoa taarifa zipi kuhusu kesi hii?
Kama hakuna taarifa, CHADEMA hawawezi kwenda huko mahakamani kuuliza maswali ili wapate majibu?
Kama walishauliza; je walijibiwa nini?
Na kama walishauliza, na hawakujibiwa chochote kuna njia zipi zinazoweza kutumika ili swala la mwenyekiti wa chama lisionekane kuwa amekwisha hukumiwa kifungo jela.
Kuna njia za kutumia mahakama hiyo hiyo zinazoweza kutumika ili kesi hii isipuuzwe na mahakama na wanaotaka Tundu Lissu aendelee kukaa jela?
jambo kubwa ninalotaka kukazia kwenye mada hii ni kwamba kesi isiachwe ipoe, ni muhimu swala la Tundu Lissu liwe kwenye ajenda kuu ya chama, na hasa katika mikutano yao yote ni lazima ligusiwe ili liwe mbele ya fikra za wananchi wote.
Mahakama Kubwa zaidi ya zote, ya mamlaka ya wananchi inaweza kuingilia hatma ya kesi hii?
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, imeahirisha shauri jipya la Tundu Lissu hadi Juni 2, 2026, huku ikitoa amri kwa wajibu maombi kuwasilisha viapo vyao kinzani ndani ya siku saba.Je, kuna taarifa zozote mpya za hivi karibuni toka mahakamani kuhusu mwenendo wa kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA?
Kama mahakama ni chombo cha kulinda haki ya kila mtu haiwezi kunyamaza tu bila ya taarifa yoyote kuhusu mtu anayeshikiliwa mahabusu bila ya maelezo yoyote; na hasa wakati kesi yake ilishaanza kusikilizwa.
Mahakama inatoa taarifa zipi kuhusu kesi hii?
Kama hakuna taarifa, CHADEMA hawawezi kwenda huko mahakamani kuuliza maswali ili wapate majibu?
Kama walishauliza; je walijibiwa nini?
Na kama walishauliza, na hawakujibiwa chochote kuna njia zipi zinazoweza kutumika ili swala la mwenyekiti wa chama lisionekane kuwa amekwisha hukumiwa kifungo jela.
Kuna njia za kutumia mahakama hiyo hiyo zinazoweza kutumika ili kesi hii isipuuzwe na mahakama na wanaotaka Tundu Lissu aendelee kukaa jela?
jambo kubwa ninalotaka kukazia kwenye mada hii ni kwamba kesi isiachwe ipoe, ni muhimu swala la Tundu Lissu liwe kwenye ajenda kuu ya chama, na hasa katika mikutano yao yote ni lazima ligusiwe ili liwe mbele ya fikra za wananchi wote.
Mahakama Kubwa zaidi ya zote, ya mamlaka ya wananchi inaweza kuingilia hatma ya kesi hii?
Naelewa unachojaribu kueleza; lakini sikubaliani na mambo mawili katika haya uliyoandika hapa.Huyo Rais wenu ameharibu kila Kitu kwenye Nchi Yetu.
Amevuruga Taifa Letu.
Hatuaki kutawaliwa Tena na hao wazenji
Nitamwomba mkuu 'Quinine' katika ile mada yake ya "Shukrani kwa wanamapambano" asisahau mchango mkubwa unaotolewa na watu kama hawa, akina 'Mshana Jr'. na wengi wengine.Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, imeahirisha shauri jipya la Tundu Lissu hadi Juni 2, 2026, huku ikitoa amri kwa wajibu maombi kuwasilisha viapo vyao kinzani ndani ya siku saba.
Ngoja muswada utokeNa huu ndiyo ukweli wenyewe, Mahakama ingekuwa huru hii kesi ingeshakwisha zamani lakini kwa vile majaji wamekuwa kama mahouseboy wa rais wanasubiria madam anasemaje.