Mahakama inasema nini kuhusu kesi ya Tundu Lissu kwa sasa?

Pamoja na maandamano hakiwezi kufanyika kingine kama vile wanchi kugomea shughuli kadhaa za watawala na maswaiba wao, kwa kipindi maalum.
Nielewe kama mtu anayetaka sheria ifuate mkondo wake ikiwemo kunyongwa hadi kufa huo mhaini!
Basi subiri ya Samia mhalifu; hii nyingine haikuhusu wewe mtoto nguruwe yatima.
 
Kama hukunielewa mwanzo, ni kuwa haya ya "Mswada wa vikwazo" hauna msaada mkubwa kwetu kama nchi.
Mswada utakuwa na maana tu pale tutakapoutumia sisi wenyewe utusaidie kubadili hali yetu hapahapa..

Kwa Samia huo mswada unamsaidia kuwa na uhakika wa kumaliza 2030 kama sisi wenyewe hatutajishughulisha na kumkatalia hili takwa lake..

Hakuna anachotamani Samia sasa hivi kama kuendelea kukaa madarakani kwa mabavu, akitumia mitutu ya bunduki kumlinda. Chochote kinachomhakikishia hilo; kama huo mswada, ni faida kwake. Baada ya hapo anakwenda zake Oman. Mswada baada ya hapo labda utusaidie tu kushughulika na CCM; kuhakikisha haiendelei kutuwekea akina Samia wengine kuendeleza uovu.
 
Pamoja na maandamano hakiwezi kufanyika kingine kama vile wanchi kugomea shughuli kadhaa za watawala na maswaiba wao, kwa kipindi maalum.
Yatunze vizuri haya maneno yako.

Tutayajadili siku moja kama hali inaendelea kuwa siyo ya kueleweka.
 
Tujipe angalau wiki moja mbele mbivu na mbichi ama nyeti lazima kufunuliwa na upepo mkali unaovuma!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…