Ukisoma vichwa vya habari vya magazeti mengi basi unapata picha kwamba Mdee na wenzake wameshashindwa kesi jambo ambalo kitaalam sio sahihi.
Sasa wakionekana huko Bungeni wananchi wataanza kuiona serikali kama inafanya ndivyo sivyo.
Jambo hili ni hatari kwani upotoshaji ukizidi unageuka kuwa ukweli.
Ni muda muafaka sasa Mahakama kuu ikakaa na waandishi wa Habari na wahariri na kuwapa semina namna ya kuandika habari za kimahakama ili kuepukana na upotoshwaji kama unavyofanyika sasa.
Mimi nilidhani uzi wako umelenga kutoa elimu hiyo kumbe inaonekana hata wewe hujui. Kama unategemea mahakama kutoa elimu hiyo usiyoijua, umejuaje kuwa waandishi wanapotosha umma?Ukisoma vichwa vya habari vya magazeti mengi basi unapata picha kwamba Mdee na wenzake wameshashindwa kesi jambo ambalo kitaalam sio sahihi.
Sasa wakionekana huko Bungeni wananchi wataanza kuiona serikali kama inafanya ndivyo sivyo.
Jambo hili ni hatari kwani upotoshaji ukizidi unageuka kuwa ukweli.
Ni muda muafaka sasa Mahakama kuu ikakaa na waandishi wa Habari na wahariri na kuwapa semina namna ya kuandika habari za kimahakama ili kuepukana na upotoshwaji kama unavyofanyika sasa.
Ukisoma vichwa vya habari vya magazeti mengi basi unapata picha kwamba Mdee na wenzake wameshashindwa kesi jambo ambalo kitaalam sio sahihi.
Sasa wakionekana huko Bungeni wananchi wataanza kuiona serikali kama inafanya ndivyo sivyo.
Jambo hili ni hatari kwani upotoshaji ukizidi unageuka kuwa ukweli.
Ni muda muafaka sasa Mahakama kuu ikakaa na waandishi wa Habari na wahariri na kuwapa semina namna ya kuandika habari za kimahakama ili kuepukana na upotoshwaji kama unavyofanyika sasa.
Naunga mkono hoja, ila vitu vingine ni sisi waandishi wenyewe, Wahariri na newsroom zetu tuu kutokuwa makini, court reporting is a specialised training, tatizo la media yetu hatuna specialization kila mwandishi anaripoti kila kitu, thanks God, mimi ni miongoni mwa tuliona ombwe hili and very soon tutalipunguza kwa utoaji elimu kwa umma kuhusu issues mbalimbali za Kisheria.Ukisoma vichwa vya habari vya magazeti mengi basi unapata picha kwamba Mdee na wenzake wameshashindwa kesi jambo ambalo kitaalam sio sahihi.
Sasa wakionekana huko Bungeni wananchi wataanza kuiona serikali kama inafanya ndivyo sivyo.
Jambo hili ni hatari kwani upotoshaji ukizidi unageuka kuwa ukweli.
Ni muda muafaka sasa Mahakama kuu ikakaa na waandishi wa Habari na wahariri na kuwapa semina namna ya kuandika habari za kimahakama ili kuepukana na upotoshwaji kama unavyofanyika sasa.
Naunga mkono hoja, ila vitu vingine ni sisi waandishi wenyewe, Wahariri na newsroom zetu tuu kutokuwa makini, court reporting is a specialised training, tatizo la media yetu hatuna specialization kila mwandishi anaripoti kila kitu,
Hapa najiuliza Kuwa inakuaje wanasheria wanakuwa hawajasoma Katiba za taasisi husika hadi wanakosea wamshtaki nani??Acha utapeli kasome rulling uone ukweli wa Mambo. Unafungua judicial review kwa private body ulisikia wapi?. Unashtaki board of trustees baadala ya registered trustiees?.
Hapa nachozungumza ni reporting ya court decisions.Hapa najiuliza Kuwa inakuaje wanasheria wanakuwa hawajasoma Katiba za taasisi husika hadi wanakosea wamshtaki nani??
Shida ni kuwa umekalia siasa tu kila kitu.Acha utapeli kasome rulling uone ukweli wa Mambo. Unafungua judicial review kwa private body ulisikia wapi?. Unashtaki board of trustees baadala ya registered trustiees?.
this ia rubbish statement from a fake phd speaker..maelezo ya Spika Tulia Ackson.
Labda anataka mahakama itoke itangaze yenyeweKwani hawajashindwa kesi? Case waliyofungua imepigwa chini. Mjomba wao ameonekana Carpenaumu ahikiji, awaite huko