Mahakama itoe semina maalumu kwa waandishi wa habari namna ya kuripoti habari za kimahakama maana wanapotosha na kuzua taharuki katika jamii

Mahakama itoe semina maalumu kwa waandishi wa habari namna ya kuripoti habari za kimahakama maana wanapotosha na kuzua taharuki katika jamii

Uwezo unafahamika kaka, hakuna mwenye shida na ww kujiamini, ila kiukweli ww ni taswira halisi ya uwezo duni wa waandishi wetu.
Huyu alipata degree akiwa mkubwa mkuu. Alikuwa anakuja chuo UDSM na lipikipiki lake likubwa! Hakuwa na lolote zaidi ya kuwa TISS.
 
Hawajashindwa maombi yao yameondolewa mahakamani hayakufuata taratibu za kisheria.

Shauri lao halijasikilizwa bado.
Kweli wapumbavu mpo wengi nchi hii halafu mnavyojiona wajuaji sasa[emoji23][emoji23][emoji23] hizi huruma zako kwa wapinzani zimeanza lini
 
Huyu alipata degree akiwa mkubwa mkuu. Alikuwa anakuja chuo UDSM na lipikipiki lake likubwa! Hakuwa na lolote zaidi ya kuwa TISS.

Ahaaa ahaaa, yaani imebidi nicheke. Na kama ni kweli huyu jamaa ni Tiss, na jambo ambalo hata yeye anapenda afahamike hivyo, basi kuna tatizo kubwa kama nchi.
 
uadilifu wa majaji na mahakimu wetu unapaswa uangaliwe kwenye maamuzi yao pia. kuna wakati maamuzi yanayo tolewa yanatia mashaka na wasiwasi mkubwa.
 
  1. Judgment
  2. High court tanzania
  3. 2022
  4. Halima James Mdee & Others vs Board of Trustee of Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) & Others (Misc. Cause 16 of 2022) [2022] TZHC 10206 (22 June 2022);

Court name

Haya JamiiForums tunaonesha mfano kwa kuleta hukumu ya Mahakama Kuu kanda ya Dar es Salaam nakala yake ya kurasa 33 (thelathini na tatu) iliyotolewa Jaji J Mgeta na kutiwa saini na mhuri.

Court name
High Court of Tanzania
Registry
High Court Dar es Salaam Main Registry
Case number
Misc. Cause 16 of 2022

Halima James Mdee & Others vs Board of Trustee of Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) & Others (Misc. Cause 16 of 2022) [2022] TZHC 10206 (22 June 2022);​

Media neutral citation
[2022] TZHC 10206




RULING

13 & 22 June 2022

MGETTA, J:

On 12th May, 2022, this application for leave to apply for judicial review was brought by way of chamber summons supported by affidavits and accompanied with applicants' joint statement. The application is brought against the Board of Trustees of Chama cha Demokrasia na Maendeleo (hereinafter referred interchangeably by its acronym as CHADEMA and or as the 1st respondent);

the National Election Commission (hereinafter referred interchangeably by its acronym as NEC and or as the
2nd respondent); and,

the Attorney General (the 3rd respondent).

If leave is granted, the applicants intend to apply for prerogative orders of Certiorari and Mandamus against the whole process and decision passed on 11th May, 2022 by 1st respondent's General Council for allegedly expelling them from membership of CHADEMA.In reply, CHADEMA appeared through its advocates equipped with a set of seven preliminary objections challenging the application that was brought by the applicants. Thus, in this ruling, I have endeavored to determine them. For the sake of clarity, I would like to reproduce the seven preliminary objections as hereunder ...... ....... .... READ MORE : Source : Halima James Mdee & Others vs Board of Trustee of Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) & Others (Misc. Cause 16 of 2022) [2022] TZHC 10206 (22 June 2022); | Tanzlii
halafu mahakama bado zinatumia lugha ya kizungu kwa nini wakati sheria ilishapitisha na bunge?! lengo lao nini haswa?
 
Ukisoma vichwa vya habari vya magazeti mengi basi unapata picha kwamba Mdee na wenzake wameshashindwa kesi jambo ambalo kitaalam sio sahihi.

Sasa wakionekana huko Bungeni wananchi wataanza kuiona serikali kama inafanya ndivyo sivyo.

Jambo hili ni hatari kwani upotoshaji ukizidi unageuka kuwa ukweli.

Ni muda muafaka sasa Mahakama kuu ikakaa na waandishi wa Habari na wahariri na kuwapa semina namna ya kuandika habari za kimahakama ili kuepukana na upotoshwaji kama unavyofanyika sasa.
Utawalipia ada?
 
Back
Top Bottom