Hawajashindwa maombi yao yameondolewa mahakamani hayakufuata taratibu za kisheria.Kiufupi wameshashindwa mpaka watakapofungua kesi nyingine, wao kuendelea kuwepo Bungeni ni ukiukwaji mkubwa wa Katiba ambao Samia hapaswi kuufumbia macho.
Naunga mkono hoja, ila vitu vingine ni sisi waandishi wenyewe, Wahariri na newsroom zetu tuu kutokuwa makini, court reporting is a specialised training, tatizo la media yetu hatuna specialization kila mwandishi anaripoti kila kitu, thanks God, mimi ni miongoni mwa tuliona ombwe hili and very soon tutalipunguza kwa utoaji elimu kwa umma kuhusu issues mbalimbali za Kisheria.
P
Stop abusing drugs, shauri lao limefutiliwa mbali.Hawajashindwa maombi yao yameondolewa mahakamani hayakufuata taratibu za kisheria.
Shauri lao halijasikilizwa bado.
Hapa nachozungumza ni reporting ya court decisions.
Waandishi hawafahamu namna ya kuripoti taarifa za kimahakama wanaishia kupotosha tu.
Wewe ndiyo unaonekana huna akili, Waandishi wa Habari wameshatekeleza majukumu yao ya kuripoti,Sipika ameshindwa kutekeleza majukumu yake.Ukisoma vichwa vya habari vya magazeti mengi basi unapata picha kwamba Mdee na wenzake wameshashindwa kesi jambo ambalo kitaalam sio sahihi.
Sasa wakionekana huko Bungeni wananchi wataanza kuiona serikali kama inafanya ndivyo sivyo.
Jambo hili ni hatari kwani upotoshaji ukizidi unageuka kuwa ukweli.
Ni muda muafaka sasa Mahakama kuu ikakaa na waandishi wa Habari na wahariri na kuwapa semina namna ya kuandika habari za kimahakama ili kuepukana na upotoshwaji kama unavyofanyika sasa.
Ukisoma vichwa vya habari vya magazeti mengi basi unapata picha kwamba Mdee na wenzake wameshashindwa kesi jambo ambalo kitaalam sio sahihi.

Mkuu Tindo, kuna mtu unajijua ulivyo na uwezo wako, what you are, what you are capable of and your abilities and capabilities, na kuna vile wengine wanavyo kuona na kuku rate. Unapojiona unaweza kitu fulani, na unajijua unaweza na uwezo huo unao, akitokea mtu mwingine to rate you kuwa wewe si lolote, sii chochote, umejiover rate, lakini in reality ni huna uwezo huo unaojidai unao, the best thing sio kumwambia unao, bali kumshukuru for his/her rating of you, kwa kumwambia thank you.Huna uwezo huo, ww uko kwenye media muda mrefu, lakini husimamii hizo ethics za uandishi zaidi ya kucheza na nyakati. Ww ni sehemu ya tatizo la wazi la waandishi wetu hapa nchini. Kila mara nakusikia ukilalamika kwenye vipindi mbalimbali kuhusu udhaifu huu wa waandishi wa habari, hasa kama kushikilia habari muendelezo, lakini ww binafsi sio mfano wa hilo! Umegeuka kuwa mpiga porojo, na kwenye utawala wa Magufuli ndio ukageuka kuwa kituko. As days goes on, you became from bad to worse.
Misc. Cause 16 of 2022) [2022] TZHC 10206 (22 June 2022);
Mwanasheria msomi Edmund Ngemela katika mahojiano na mwandishi msomi wa Global TV Online kwa pamoja wanaipitia hukumu na kujaribu kwa lugha rahisi kupata maana hukumu ya hii pia kipi kitafuata
Source : Global TV online
Mkuu Tindo, kuna mtu unajijua ulivyo na uwezo wako, what you are, what you are capable of and your abilities and capabilities, na kuna vile wengine wanavyo kuona na kuku rate. Unapojiona unaweza kitu fulani, na unajijua unaweza na uwezo huo unao, akitokea mtu mwingine to rate you kuwa wewe si lolote, sii chochote, umejiover rate, lakini in reality ni huna uwezo huo unaojidai unao, the best thing sio kumwambia unao, bali kumshukuru for his/her rating of you, kwa kumwambia thank you.
Thank you Mkuu Tindo
P
Ukisoma vichwa vya habari vya magazeti mengi basi unapata picha kwamba Mdee na wenzake wameshashindwa kesi jambo ambalo kitaalam sio sahihi.
Sasa wakionekana huko Bungeni wananchi wataanza kuiona serikali kama inafanya ndivyo sivyo.
Jambo hili ni hatari kwani upotoshaji ukizidi unageuka kuwa ukweli.
Ni muda muafaka sasa Mahakama kuu ikakaa na waandishi wa Habari na wahariri na kuwapa semina namna ya kuandika habari za kimahakama ili kuepukana na upotoshwaji kama unavyofanyika sasa.
Tatizo la waandishi wa habari wanaandika kwa malengo ya kuuza tu magazeti.Haya mambo mengine hata hayafahamiki. Nchi hii watu ni mahodari sana kuita kuundwa kwa tume hii na ile, watu fulani na fulani wapatiwe semina hii na ile! why? Mambo mengine ni kupoteza pesa za nchi na wakati tu! Kwani hawa waandishi wa habari hawakusomea kazi zao? Kwani huko walikosomea hawakufunzwa ethical of journalism?
Tatizo la waandishi wa habari wanaandika kwa malengo ya kuuza tu magazeti.
Hawajali authenticity ya habari yenyewe.
Hawafuati ethics za uandishi.
Mwandishi anaona akiandika habari kwamba wameshindwa atauza kuliko akiandika kwamba wananafasi ya kurejesha upya maombi yao.
Si kwamba hawajui cha kuandika bali baadhi wanaandika kwa mihemko kuvutia upande wanaoupendelea. Kwa mfano mwaka jana nilisoma kichwa cha habari 'Kibatala aigaragaza Serikali Mahakamani' wakati hata kesi haijaanza kusikilizwa. Kilichotokea ni kwamba kesi ilifutwa ili Serikali irekebishe mashitaka na kuileta upya..Ukisoma vichwa vya habari vya magazeti mengi basi unapata picha kwamba Mdee na wenzake wameshashindwa kesi jambo ambalo kitaalam sio sahihi.
Sasa wakionekana huko Bungeni wananchi wataanza kuiona serikali kama inafanya ndivyo sivyo.
Jambo hili ni hatari kwani upotoshaji ukizidi unageuka kuwa ukweli.
Ni muda muafaka sasa Mahakama kuu ikakaa na waandishi wa Habari na wahariri na kuwapa semina namna ya kuandika habari za kimahakama ili kuepukana na upotoshwaji kama unavyofanyika sasa.
Kama Mahakama imetupilia mbali mapingamizi yao kuna nini tena kama si kushindwa kesi?Ukisoma vichwa vya habari vya magazeti mengi basi unapata picha kwamba Mdee na wenzake wameshashindwa kesi jambo ambalo kitaalam sio sahihi.
Sasa wakionekana huko Bungeni wananchi wataanza kuiona serikali kama inafanya ndivyo sivyo.
Jambo hili ni hatari kwani upotoshaji ukizidi unageuka kuwa ukweli.
Ni muda muafaka sasa Mahakama kuu ikakaa na waandishi wa Habari na wahariri na kuwapa semina namna ya kuandika habari za kimahakama ili kuepukana na upotoshwaji kama unavyofanyika sasa.
Hiki ndicho na mimi nilicho kisema, ukijijua unaweza, ukiambiwa huwezi chochote, unasema tuu asante.Uswahili tu huu kaka. Na tuna uzoefu na hii tabia ya kuzungusha maneno lakini matokeo ni duni.
Hiki ndicho na mimi nilicho kisema, ukijijua unaweza, ukiambiwa huwezi chochote, unasema tuu asante.
P
The best I can say is a two words sentence "thank you".Uwezo unafahamika kaka, hakuna mwenye shida na ww kujiamini, ila kiukweli ww ni taswira halisi ya uwezo duni wa waandishi wetu.
Ungekuwa mwandishi wa habar ungeandikajeUkisoma vichwa vya habari vya magazeti mengi basi unapata picha kwamba Mdee na wenzake wameshashindwa kesi jambo ambalo kitaalam sio sahihi.