Mahakama itoe semina maalumu kwa waandishi wa habari namna ya kuripoti habari za kimahakama maana wanapotosha na kuzua taharuki katika jamii

Uwezo unafahamika kaka, hakuna mwenye shida na ww kujiamini, ila kiukweli ww ni taswira halisi ya uwezo duni wa waandishi wetu.
Huyu alipata degree akiwa mkubwa mkuu. Alikuwa anakuja chuo UDSM na lipikipiki lake likubwa! Hakuwa na lolote zaidi ya kuwa TISS.
 
Hawajashindwa maombi yao yameondolewa mahakamani hayakufuata taratibu za kisheria.

Shauri lao halijasikilizwa bado.
Kweli wapumbavu mpo wengi nchi hii halafu mnavyojiona wajuaji sasa[emoji23][emoji23][emoji23] hizi huruma zako kwa wapinzani zimeanza lini
 
Huyu alipata degree akiwa mkubwa mkuu. Alikuwa anakuja chuo UDSM na lipikipiki lake likubwa! Hakuwa na lolote zaidi ya kuwa TISS.

Ahaaa ahaaa, yaani imebidi nicheke. Na kama ni kweli huyu jamaa ni Tiss, na jambo ambalo hata yeye anapenda afahamike hivyo, basi kuna tatizo kubwa kama nchi.
 
uadilifu wa majaji na mahakimu wetu unapaswa uangaliwe kwenye maamuzi yao pia. kuna wakati maamuzi yanayo tolewa yanatia mashaka na wasiwasi mkubwa.
 
halafu mahakama bado zinatumia lugha ya kizungu kwa nini wakati sheria ilishapitisha na bunge?! lengo lao nini haswa?
 
Utawalipia ada?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…