Mahakama Kuu Divisheni ya Uhujumu Uchumi na Rushwa yatupilia mbali mapingamizi 2 kesi ndogo ya Mbowe na Wenzake. Jaji Siyani ajitoa kuendelea na kesi

kama mnakumbuka yule Jecha Salim Jecha atakumbukwa kwa kufuta matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar mwaka 2015 kwa sababu mbalimbali.

kilicho ni mkumbuke na kuona leo kwa jaji kiongozi swala la kesi inayoendelea
 
Your browser is not able to display this video.
 
Sheria ni msumeno.

Chadema waacheni Mahakama wachape kazi.

Kama tumeridhika na hukumu ya Ole sabaya kwanini tuwe na mashaka na pingamizi la akina Mbowe?

Mungu ni mwema wakati wote!
 
Hii nchi ya haki sana! Mbowe aliupiga vita uDC wa Sabaya, sasa anaenda kumuongoza kama nyapara huku akijua mipango yake ya kumuua. Mamlaka yanatoka kwa Mungu... 🤣🤣
 
Makosa ya kigaidi ni the same na uhaini makosa kama haya hukumu yake ni kunyongwa mama asisite kutia wino , tupo pamoja naye kabisa
 

..uamuzi mbaya zaidi ni pale Jaji aliposema kuwa maelezo ya Adamoo yalitolewa kwa hiyari.
 

Ni hatari sana kuwekeza matumaini kwenye hukumu ambayonni maoni ya watu hasa palupo na mhimili uliojichimbia zaidi
 
Hivi maamuzi ya ile kesi ndogo ni lini?
Mkuu hujafuatilia maelezo yote ya jaji yakiwa na hukumu mwishoni?!
AMEYATUPILIA MBALI NA KUJITOA KUENDELEA NA SHAURI KUU yaani atafutwe judge mwingine
 
wembe uliomnyoa Sabaya utumike huo huo kumnyolea Mbowe [emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…