Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heri ya kula kigfungo cha duniani kuliko kifungo cha akheeeraaawote jela wanakula vifungo virefu kidogo
Huna lolote lile.Wacha kurusha ngumi hewani basi dogo
Sawa shangaziHuna lolote lile.
Mbona lile basi la Lisu (alilopewa zawadi huko Ubelgiji) tumelitelekeza bandarini?Sawa shangazi
Habari ya akheeera hiyo ni hadithi inaweza ikawepo ama isiwepo......Heri ya kula kigfungo cha duniani kuliko kifungo cha akheeeraaa
Ina maana Subaya atakuwa senior.....Hii nchi ya haki sana! Mbowe aliupiga vita uDC wa Sabaya, sasa anaenda kumuongoza kama nyapara huku akijua mipango yake ya kumuua. Mamlaka yanatoka kwa Mungu... 🤣🤣
jaji: Kwa Upande wangu naona kuwa Ucheleweshaji katika Shauri hili palikuwa na Sababu, Matakwa ya Sheria yalikuwa yamezingatiwa.
Muda wa Masaa Manne hautojumuishwa kwa sababu za Usafirishaji.
Kwa hiyo walikamatwa tarehe 5 wakahojiwa tarehe 7, na jaji anaona masaa 48 kutoa 4 unabaki na masaa 44 ambayo ndiyo muda wa kumsafirisha mtu kutoka Moshi hadi dsm? Tena kwa gari la serikali siyo public transport.
Kwa kuwa ni maoni yake, tuyaheshimu, kwenye rufaa anaweza jaji mwingine akawa na maoni tofauti
Tenda haki. Amezungumzia pia muda uliotumika kumtafuta mtuhumiwa mwingine. Kutumia 'maneno maoni yangu' ni lugha za kawaida za kisheria na kimahakama. Hukumu ni tafsiri ya sheria na tafsiri inatolewa na Jaji siyo sheria yenyewe. Sheria inatungwa na Bunge, tafsiri yake inatolewa na mahakama kwa maana ya Jaji baada ya kupata maoni pia ya mawakili.
Mkuu hujafuatilia maelezo yote ya jaji yakiwa na hukumu mwishoni?!Hivi maamuzi ya ile kesi ndogo ni lini?
Utaendelea kuwa mtetezi wa sheitwaanHabari ya akheeera hiyo ni hadithi inaweza ikawepo ama isiwepo......
usisahau kuna sala za vitubio pia
Lissu yupi huyo unaye mkumbuka mpaka leo?Mbona lile basi la Lisu (alilopewa zawadi huko Ubelgiji) tumelitelekeza bandarini?
Njoo tukuzeeshe wewe basiWanamzeesha Kibatala wa watu buree.